Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,774
2,000
Habari wana JF

Usiku huu katika pita pita kwenye twitter nakutana na baadhi ya tweet za Daudi T. Balali.

Kipindi kile cha kifo cha Dokta Mengi nilipata wasaa wa kukutana na mdada mmoja mnyarwanda. Katika kuongea naye aliniambia kwa kinyarwanda maana ya 'Ntuyabaliwe' ni 'hujaambiwa wewe'. Nilipomdodosa akaniambia kwa Rwanda wanapozaliwa watoto hupewa majina kutokana na siku na hali utakapozaliwa.
Mfano ukizaliwa wakati wa shida na kama wewe ni mhutu utapata majina ya kinyonge, matumaini, majina ya kukata tamaa n.k huo hakuna ukoo ukizaliwa unapata jina lako mpaka ufe mtoto wako anapata jina lingine

Kwa watutsi ukizaliwa unapata majina ya kifahari, majina ya kiheshima, majina ya makwezi. Hivyo wanajuana wanyarwanda kwa majina yao huyu ni mhutu au ni mtutsi.

Sasa nilipewa historia kidogo ya haya makabila mawili ya maziwa makuu ila yenye majinamizi makubwa. Mfano mtutsi yoyote hawaoagi mhutu vile vile na wahutu. Kama ikitokea mtutsi kaoa mhutu basi watoto watazaa kwa mtutsi.

Sasa najaribu kuunganisha doti kwa tweet hizo hapo je kuna jambo ambalo hatulijui linaendelea chini chini kwa familia ya Mengi..

Asante View attachment 1096851
Screenshot_20190514-002138.jpeg
Screenshot_20190514-002146.jpeg
Screenshot_20190514-002153.jpeg
Screenshot_20190514-002201.jpeg
 

G.Jacob

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
3,495
2,000
Ulikuwaga na ndoto za kuwa doc ?

By the way IVF ni nini mkuu ?
Ndio mkuu ila ndoto haikutimia.

In vitro fertilization (IVF) is the joining of a woman's egg and a man's sperm in a laboratory dish.

Kitendo/mfumo wa kuchavusha yai la mwanamke kutumia mbegu ya mwanaume nje ya mwili wa mwanamke ambao hufanyika maabara kwa kutumia vifaa maalumu vya kitabibu.

Baada ya hapo yai lililorutubishwa/chavushwa hupandikizwa kwenye mji wa uzazi(kondo) wa mwanamke na hatua za ukuaji mimba huendelea kama kawaida.
 

Chrismoris

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
13,201
2,000
Huyu Jack amechafuka sana na ili kumtakasa basi ni vyema kifo cha our icon kichunguzwe ili ukweli upatikane. Kama hausiki itakuwa ni vyema sana na familia ya marehemu itakuwa na amani DSM na Machame. Toauti na hapa kila tuhuma na matendo ya Jack toka msiba unafika Ariport, Kuaga Karimjee na kule Moshi ibada ya Mazishi inaleta maswali mengi sana. Hata pale ambapo hakujitokeza hata mmachame mmoja kukaa karibu na mjane basi kuna walakini hapo. Ni kama aliachwa peke yake na huyo Shimimana wake na attention kubwa kuanzia Airport, Karimjee na kule Machame ilikuwa kwa watoto wakubwa na wadogo wa Mengi. Kuna kitu ambacho kipo na familia haijakiweka wazi public ila ndani ya closed circle ya familia kipo. Benjamini na wengine hawawezi kunyamaza yapite hivihivi. Muda utatupa majibu.

Kwa heri Reginald Abraham Mengi
Kama hausiki
mlioshiriki kumchafua mpo tayari kumuomba msamaha hadharani ?
 

Chrismoris

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
13,201
2,000
Ndio mkuu ila ndoto haikutimia.

In vitro fertilization (IVF) is the joining of a woman's egg and a man's sperm in a laboratory dish.

Kitendo/mfumo wa kuchavusha yai la mwanamke kutumia mbegu ya mwanaume nje ya mwili wa mwanamke ambao hufanyika maabara kwa kutumia vifaa maalumu vya kitabibu.

Baada ya hapo yai lililorutubishwa/chavushwa hupandikizwa kwenye mji wa uzazi(kondo) wa mwanamke na hatua za ukuaji mimba huendelea kama kawaida.
Asante kwa majibu murua
 

drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
1,972
2,000
Wanawake waislamu wasomi wengi hawataki kutumia dini wengi hutaka mirathi iende mahakamani
wanawake wa kiislamu wanaoenda mahakamani hao ni waislamu jina. kuna muislamu muumin na muislam jina. muislamu muumin huwezi kwenda mahakamani wala hawezi kunywa pombe wala kuzini. waislamu jina ni hao anaitwa abdallah au amina lakini mambo yake hayaendani na mafundisho: nakuomba usimchezee muislamu muumin hatari wako wazi hawaogopi ila wanamuogopa mungu tu mfano CAG HUYO NI muislam muumin wakina ramadhani dau na wengi
 

TAECOLTD

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
1,065
2,000
Uko sahihi sana family ni mke mme na watoto sasa hii ya mtoto wa aunt,mara shemeji,mtoto wa baba wa kipaimara, mtoto wa dada.....hao ni mdugu acha house girl anayesaidia kazi nyumbani plus shamba boy anayetunza mifugo....kiujumla ni head ache unakaribisha character tofauti nyumbani kwako ambazo zitaathiri tabia ya wana familia (mke ,mme na watoto).Hata kulea watoto wako inakuwa tabu coz nyumba ina tabia mseto za kutosha wewe unawafundisha umuhimu wa Elimu house boy anawaambia elimu bongo diamond form two katusua maisha.

Kikubwa ni kuwasaidia wakiwa kwao pale inapowezekana ila kuwaleta nyumbani kwako ni kujitafutia majanga.
Hii kitu wakati nasoma miaka ile nilikua namuona kaka yangu wa kwanza kama mkoloni yaaan hatujali sie wadogo zake maana msemo wake ulikua ni "familia yangu ni mke wangu na watoto wangu basi hao wengine nawasaidia mbali lakini sio kuishi kwangu " nilikua simpendiiiii ila baada ya kukua na kujionea ya walimwengu nikasema kumbe bro ni kichwa sana maana husema "najua ndugu kibao wananichukia ila sijali hakuna anayenisomeshea wala kunitunzia familia" basi nimecopy maisha yake kwakweli kwangu ndugu njoo usalimie usepe siku hiyo hiyo hamna kulala... Maisha ya extended family ni kujitafutia kuvunja nyumba yako iliyokua na amani kisa hao ndugu
 

IROKOS

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
8,283
2,000
Mjane nasikia kapewa nyumba ya Kinondoni ambayo imetumika pia kama dhamana ya mkopo kwenye makampuni ya IPP... So hiyo nyumba haiwezi uzwa.
Ukiona mali inaleta utata wa mirathi ujuwe si ya halali au warithi si wa halali.

Uislam raha sana, kwanza maiti azikwe kwa mali yake, pili ilipe madeni yake yote, itayobaki kama ni madeni au mali basi warithi watagawana kama ilivyoandikwa kwenye Qur'an, hesabu zake zipo wazi kabisa ndani ya Qur'an.

Urithi ni hata madeni, si mali tu. "Tajiri" Kama Mengi utakuta alikuwa anacheza na mikopo tu, sasa wacha warithi wagombanie madeni.

Tutaona muda si mrefu kila mmoja akijitoa kwenye mirathi.
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
22,590
2,000
wanawake wa kiislamu wanaoenda mahakamani hao ni waislamu jina. kuna muislamu muumin na muislam jina. muislamu muumin huwezi kwenda mahakamani wala hawezi kunywa pombe wala kuzini. waislamu jina ni hao anaitwa abdallah au amina lakini mambo yake hayaendani na mafundisho: nakuomba usimchezee muislamu muumin hatari wako wazi hawaogopi ila wanamuogopa mungu tu mfano CAG HUYO NI muislam muumin wakina ramadhani dau na wengi
Ramadhani wanafunga mbona utawaitaje waislamu jina? Wewe mwenyezi Mungu?
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
22,590
2,000
ukristo ni dini nzuri tu ila wapoingia waafrica wakaichafua kama wanavyochafua mazingira
Ushoga na usagaji umehalalishwa na nchi za wakristo waafrica au wazungu ulikotoka ukristo? Waafrica wakristo hatutaki ushoga wazungu wanashogana Hadi wanna miaskofu mishoga na misagaji
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,454
2,000
Lisemwalo lipo....kama Jaq kafanya hayo madudu basi ni hatari....Ngoja Tusubiri Chahali wa Twitter atupe update na tukisubiri update ya Mange baada ya kufungulia.
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
22,590
2,000
jacky ebu wabuluze mahakan hao 'wanandugu' udai chako, yaani mali zoote za mumeo na wala si nusu wala robo mali....eheee huo ndo ukweli wenyewe.... jacky ndiyo alikuwa mke halali wa marehem, yaani beba na chukua kila kitu cha marehem ili liwe fundisho kwa madingi wanao waacha wake zao 'waliochuma' kwa shida kisha wanakimbilia vibintiii vibichi..............ukweli un
Haki yake Ni kile walichochuma wote baada ya kuolewa Sio kabla .Kama Kuna chochote akipewa Cha kilichochumwa kabla hawajaoana ni huruma ya watoto wakubwa wa mengi na ndugu zake.Hizo mali alizozikuta zimechumwa na Mengi na Mike mkubwa na wanawe wakubwa Sio zake akipewa Ni huruma tu.Ila Kama kipindi kaolewa kuna kipya walichuma wote ruksa kuchukua chote
 

De Kriging

Member
Feb 7, 2019
56
125
Uislamu sio
Ramadhani wanafunga mbona utawaitaje waislamu jina? Wewe mwenyezi Mungu?
Uislamu sio kufunga tu ni pamoja na kusoma na kuujua uislamu wako.Unaweza kuta mtu kafunga hasali,haachi uongo na mengineyo huyo atakuwa muislamu jina.
 

Mwana

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
5,246
2,000
Ha ha ha ha bwege aliyewatibua WACHAGGA na wakamwonyesha kwamba yeye si lolote.
Huyo lazima alale tofauti kwa sababu hawezi lolote maana hana tofauti na huyo mwanamke anaelala nae
Naye aliwaonyesha wao si chocote. Ulishuhudia kuomba msamaha pale?
 

Mwana

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
5,246
2,000
It
Ni ujinga mtupu, in Africa kila kifo lazima kizue maneno ya kijinga watu wajinga waliwahi kukosa adabu kwa mtu muhimu kama Nyerere na kusema ukimwi, itakuwa Mengi. Angekuwa mpiga debe usingesikia chochote
Its not about Africa. It is about circumstances. Hivi wewe na akili zako tinamu. Ulishuhudia kabisa dk. Mengi afya yako ilivyokuwa je wewe binafsi ungeweza kumzurulisha mpaka Zanzibar?! Kama hiyo haitoshi unaburura mpaka Dubai. TYatizo ni nini kupendwa kupita kiasi. It was not fair at all!!!! Hilo tu linaweza kuku-lable kama muuaji!
 
Top Bottom