Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,409
Hahaha umempa jibu mujaraab kabisa.Em uone basi hata aibu kupoteza muda wako kutunga uongo wote huo. Eti alimtishia atajiua!; kamtishie bwana ako na wewe uone kama atakuoa
Hahaha umempa jibu mujaraab kabisa.Em uone basi hata aibu kupoteza muda wako kutunga uongo wote huo. Eti alimtishia atajiua!; kamtishie bwana ako na wewe uone kama atakuoa
Kweli mkuu kwenye msiba wa Ruge hata tembea yake alionekana ni mgonjwa mno labla watuambie walikuwa wanataka mzee aishi kwa miaka mingapi? Ila kwenye huu msiba nimejifunza kitu.Sijui walitegemea mzee ataishi miaka 50 mbele.
Msibani kwa Ruge alikuwa anatembea kwa kujisukuma bado watu hawaoni hilo.
Ushauri wako ni mzuri lakini huku kwenye dini tutoe [emoji120]"Waswahili" wengi tunayajua hayo, soma post namba 16, labda wanaojifanya Waswahili lakini si Waswahili maana wengi utakuta lugha mama zao si Kiswahili halafu anajiona Mswahili, Kiswahili utakuta kaanza kukisikia anapoanza shule. Waswahili 100% ni Waislam na hayo yapo ndani ya Qur'an.
Ukoo wa Mengi na hata huyo mkewe mdogo si Waswahili. Kumbuka hilo.
Asante mkuu picha hiyo walimwengu waje na umbea mwingine
Em uone basi hata aibu kupoteza muda wako kutunga uongo wote huo. Eti alimtishia atajiua!; kamtishie bwana ako na wewe uone kama atakuoa
Wiki moja kabla yule mzee hajafa nilikuwa na mmoja ya wafanyakazi wake nilimwambia boss wenu mbona anaonekana mgonjwa hata yeye anakiri kuwa kweli mzee kachoka.Kweli mkuu kwenye msiba wa Ruge hata tembea yake alionekana ni mgonjwa mno labla watuambie walikuwa wanataka mzee aishi kwa miaka mingapi? Ila kwenye huu msiba nimejifunza kitu.
Nasimama na yule dada alijitahidi kujenga heshima ya yule baba fikilia ndoa ile angepata Wema ingekuwa na Skendo ngapi.hahahaa umechafukwa ...kukosa kazi...mm kwakweli huwa had nasisimka..mtu unashupaza shingo weee...pyee..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Em uone basi hata aibu kupoteza muda wako kutunga uongo wote huo. Eti alimtishia atajiua!; kamtishie bwana ako na wewe uone kama atakuoa
Nasimama na yule dada alijitahidi kujenga heshima ya yule baba fikilia ndoa ile angepata Wema ingekuwa na Skendo ngapi.
hahahaa umechafukwa ...kukosa kazi...mm kwakweli huwa had nasisimka..mtu unashupaza shingo weee...pyee..
Dunia ina viumbe wa ajabu sana yote kwa sababu ni tajiri angekuwa pangu pakavu nyumba mbavu za mbwa wala maneno yasingekuwepo.Wiki moja kabla yule mzee hajafa nilikuwa na mmoja ya wafanyakazi wake nilimwambia boss wenu mbona anaonekana mgonjwa hata yeye anakiri kuwa kweli mzee kachoka.
Dk. Siku zake zilikuwa mikono mwa Muumba wake..
Tatizo watu wanatoa hukumu bila usibitisho best kuhusu swala la kutokulia labla hana machozi ila ana maumivu kuliko wale wanao lia hapo MsibaniMimi mshangao wangu ni 1 tu kwa jack...hata km una roho ngumu vip jaman bibie hakuonekana ht kulia..mengine hayanihusu kbs..kwanza jack ķwan yy malaika hakosei..huyo hussein wa elements ni ndoa ngap zina kina hussein hao jaman..tuwe wakwel
Tatizo watu wanatoa hukumu bila usibitisho best kuhusu swala la kutokulia labla hana machozi ila ana maumivu kuliko wale wanao lia hapo Msibani
naona leo umekasirika...!! pole mdogo wangu..!!Em uone basi hata aibu kupoteza muda wako kutunga uongo wote huo. Eti alimtishia atajiua!; kamtishie bwana ako na wewe uone kama atakuoa
Tatizo watu wanatoa hukumu bila usibitisho best kuhusu swala la kutokulia labla hana machozi ila ana maumivu kuliko wale wanao lia hapo Msibani
Jamani kuna sehemu alilia unaona kabisa machozi yanatoka kumoyo.Mimi mshangao wangu ni 1 tu kwa jack...hata km una roho ngumu vip jaman bibie hakuonekana ht kulia..mengine hayanihusu kbs..kwanza jack ķwan yy malaika hakosei..huyo hussein wa elements ni ndoa ngap zina kina hussein hao jaman..tuwe wakwel
Rafiki yangu anasma kwenye msiba wa Ruge alimuona mzee Mengi kashika kibao cha I'm Next. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui walitegemea mzee ataishi miaka 50 mbele.
Msibani kwa Ruge alikuwa anatembea kwa kujisukuma bado watu hawaoni hilo.
Jamani kuna sehemu alilia unaona kabisa machozi yanatoka kumoyo.
Baada ya kusoma huu uzi sasa naanza kuelewa jambo moja wanawake ndo wana run duniaHabari wana JF
Usiku huu katika pita pita kwenye twitter nakutana na baadhi ya tweet za Daudi T. Balali.
Kipindi kile cha kifo cha Dokta Mengi nilipata wasaa wa kukutana na mdada mmoja mnyarwanda. Katika kuongea naye aliniambia kwa kinyarwanda maana ya 'Ntuyabaliwe' ni 'hujaambiwa wewe'. Nilipomdodosa akaniambia kwa Rwanda wanapozaliwa watoto hupewa majina kutokana na siku na hali utakapozaliwa.
Mfano ukizaliwa wakati wa shida na kama wewe ni mhutu utapata majina ya kinyonge, matumaini, majina ya kukata tamaa n.k huo hakuna ukoo ukizaliwa unapata jina lako mpaka ufe mtoto wako anapata jina lingine
Kwa watutsi ukizaliwa unapata majina ya kifahari, majina ya kiheshima, majina ya makwezi. Hivyo wanajuana wanyarwanda kwa majina yao huyu ni mhutu au ni mtutsi.
Sasa nilipewa historia kidogo ya haya makabila mawili ya maziwa makuu ila yenye majinamizi makubwa. Mfano mtutsi yoyote hawaoagi mhutu vile vile na wahutu. Kama ikitokea mtutsi kaoa mhutu basi watoto watazaa kwa mtutsi.
Sasa najaribu kuunganisha doti kwa tweet hizo hapo je kuna jambo ambalo hatulijui linaendelea chini chini kwa familia ya Mengi..
AsanteView attachment 1096851View attachment 1096852View attachment 1096853View attachment 1096854View attachment 1096855
Aisee ya kweli hayaRafiki yangu anasma kwenye msiba wa Ruge alimuona mzee Mengi kashika kibao cha I'm Next. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]