Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Kifo hakikosi sababu..hasa hiki cha mtu kama MENGI alie na pesa na MALI ni lazima yatasemwa mengi tu kuhusu kifo chake ila Tutambue tu UONGO ni dhambi na ni chukizo mbele za MUNGU kama haujui kitu usimuhukumu mtu,kaa soma habari,sikiliza tetesi ila usithubutu kuchangia nadhani hiyo itakua moja ya zawadi kubwa utakayompa Marehemu na kumfurahisha MUNGU aliyekuumba...usimsingizie mwenzako wala msiendeshwe kwa hisia Tuache ndugu wapo,watoto wa Reginald wapo kama mbaya wao yupo watampata TU ila kama ni mapenzi ya MUNGU basi MUNGU atajidhihirisha.
 
Kwani wangapi siku hizi hawalali na wake zao chumba kimoja? Kwani huwezi kula mzigo na kwenda kulala mbali na mashuzi ya mwanamke. Hata huyu nani bwege aliye watibua wachaga mbona yuko hivyo



Ha ha ha ha bwege aliyewatibua WACHAGGA na wakamwonyesha kwamba yeye si lolote.
Huyo lazima alale tofauti kwa sababu hawezi lolote maana hana tofauti na huyo mwanamke anaelala nae
 
Madogo wana sura ya mzee kabisa
Na katika vitu ambavyo wanawake wanazingatia sana kama una Mali lazima tu watoto wawe wako ili kuondoa utata kwenye kurithi Mali
Hata kama mwanamke awe kicheche vp lazima watoto wawe damu yako
Dingilai alifeli sana kuoa uyo mtt

Kifo cha mengi kwa wanaume kinatupa somo kubwa sana hapakuwa na sababu za msingi mzee na pesa zake kwenda kufunga ndoa na kale kabint mzee na pesa zake kachapiwa mke...

Zile pacha mbili inasemekane sio wake....

By ze way Mwenye picha za Jacky akiwa mjamzito hebu hawekee hapa atutoe tongo tongo...
 
Kuhamishia mali kwa mtu ambaye hakuchuma ni discretion ya mwenye mali, ana uwezo wa kuamua kumpa yeyote mali yake kwa kadri atakavyoona inafaa katika wosia. Kwa ambaye hajaandika wosia, urithi unapewa kwa mwenye haki hiyo ambaye ni yule aliyeshiriki kuchuma au wale wanaomtegemea. Sasa kuna mantiki gani kuwapa wategemezi madeni, si watazidi kufilisika?
Mkuu kwani deni lisilokuwa na bima nalo pia hufa ama kufutika kutokana na kifo cha mdaiwa?
Kama sivyo, ni nani sasa anayestahili kulipa hilo deni la marehemu?
 
Ukifatilia kwa makini utagundua wanaume wa kichaga wenye pesa wanapofariki hata kama ni Mapenzi ya Mungu,ndugu,majirani husema Marehemu kauliwa..na wanaopewaga lawama zote ni Wanawake,yani PESA bwana ila akifa Maskini wala hutosikia mtu akisema lolote,yani Kifo cha tajiri wa Kichaga hutokana na mwanadamu ila kifo cha maskini wa kichaga ni Mapenzi ya Mungu..shubaaamit

i Wish Jackline angekua ndugu yangu Alafu nikutane na hao fyoko fyoko wanaomsema mtoto wa watu bila kuwa na uhakika,mseme kama una uthibitisho ila kama huna ujuacho you better all shut the fuckup.
 
Hivi mna hakika alikuwa anaishi kwa Mzee au ndio mmesoma mitandaoni na kusadiki?

Huyo dada na familia yake wanaishi nje ya nchi wala sio kwa Mengi..
Mhh ina maana Jack alikua haishi na Mengi mkuu?
 
Mohammed hajui kusoma wala kuandika
Hangaikeni na maisha yenu na jinsi ya kutengeneza pesa... Angalieni interview ya Jeff Koinange na Mengi.. Mengi kwa kinywa chake anasema yeye ndie alianza mfukuzia Jacky na siku za mwanzo Jacky alitoa nje kuonana na Mengi.. Sasa kama Marehemu alimpenda mwenyewe na alijua age difference Yao na kutokana na Hilo alijua pia atatangulia kabla ya Jacky. Lakini bado alifunga naye ndoa miaka 7 ilihopita... Sasa nyinyi Leo ndio mnajifanya mna akili kushinda Mengi na mna uchungu na Mali zake kuliko yeye mwenyewe? PAMBANENI NA HALI ZENU MUIACHE FAMILIA IOMBOLEZE KWA ANANI
 
Kama mkopo ni wa riba kwa uslamu ni aramu sawa ndo mana waislamu wengi wanaojua dini hawana madeni ya benki kwa kuwa ya riba na ni haramu
Hivi kwa mfano Marehemu muislamu alikopa kwa mtu mfano mkopo wa kulipa kidogo kidogo kwa mwezi kwa miaka 20 akiwa na kaduka kake kadogo akifa mfano mwezi wa kwanza wa Deni Hilo Deni atalipa Nani Kama Mali za Marehemu hazifikii hata asilimia moja ya deni?
 
Haitambui kwa kuwa mwenyezi mungu atambui zinaa na zinaa ni haramu ndo mana katika uislamu tumeamrishwa kuoa wake zaidi ya wanne kama mtot akipatikana nje ya ndoa amepatikana kwa kuzini na uislamu aujamnyima hako umempa mamlaka mzazi wa kuandika mirathi na kuweza kumjumuisha mtoto wake wa nje kama ikitokea akafa bila kuandika mirathi mdo inakuja swala la mtoto wa nje kuto tambulika katika mali za baba ake
KWANI WAMEKWAMBIA kunautata wowote kwenye mirathi yao au ulikuwepo wakati wanagawana.halafu hiyo quran ambayo inawatenga watoto wa kike haitambui mtoto wa nje wakati mtoto hana makosa yoyote ,hiyo njia ya dhuluma ndio unaona ina tija,cjui waislam mtaburuzwa hadi lini
 
Haitambui kwa kuwa mwenyezi mungu atambui zinaa na zinaa ni haramu ndo mana katika uislamu tumeamrishwa kuoa wake zaidi ya wanne kama mtot akipatikana nje ya ndoa amepatikana kwa kuzini na uislamu aujamnyima hako umempa mamlaka mzazi wa kuandika mirathi na kuweza kumjumuisha mtoto wake wa nje kama ikitokea akafa bila kuandika mirathi mdo inakuja swala la mtoto wa nje kuto tambulika katika mali za baba ake
mtoto ana kosa gani? amezini na nani ? kwanini umuadhibu kwa kosa la wazazi wake ? Allah ni mkatili sana anashindwa hata na mahakimu wa kawahida mahakamani.mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hana kosa,baba yake akifa eti dini inasema hausiki na mirathi yani aache shule kwa kukosa ada ,afe kwa maradhi kwa kukosa pesa za matumizi wakati marehemu babayake alikua na uwezo mkubwa kosa lake tu ni mtoto wa nje ya ndoa ,yeye hiyo ndoa inamuhusu nini
 
Habari wana JF

Usiku huu katika pita pita kwenye twitter nakutana na baadhi ya tweet za Daudi T. Balali.

Kipindi kile cha kifo cha Dokta Mengi nilipata wasaa wa kukutana na mdada mmoja mnyarwanda. Katika kuongea naye aliniambia kwa kinyarwanda maana ya 'Ntuyabaliwe' ni 'hujaambiwa wewe'. Nilipomdodosa akaniambia kwa Rwanda wanapozaliwa watoto hupewa majina kutokana na siku na hali utakapozaliwa.
Mfano ukizaliwa wakati wa shida na kama wewe ni mhutu utapata majina ya kinyonge, matumaini, majina ya kukata tamaa n.k huo hakuna ukoo ukizaliwa unapata jina lako mpaka ufe mtoto wako anapata jina lingine

Kwa watutsi ukizaliwa unapata majina ya kifahari, majina ya kiheshima, majina ya makwezi. Hivyo wanajuana wanyarwanda kwa majina yao huyu ni mhutu au ni mtutsi.

Sasa nilipewa historia kidogo ya haya makabila mawili ya maziwa makuu ila yenye majinamizi makubwa. Mfano mtutsi yoyote hawaoagi mhutu vile vile na wahutu. Kama ikitokea mtutsi kaoa mhutu basi watoto watazaa kwa mtutsi.

Sasa najaribu kuunganisha doti kwa tweet hizo hapo je kuna jambo ambalo hatulijui linaendelea chini chini kwa familia ya Mengi..

AsanteView attachment 1096851View attachment 1096852View attachment 1096853View attachment 1096854View attachment 1096855
UKISIKIA WANADAMU N PUNDA

SAAA NNAJIBISHANA NA MTU ALIEKUFA KITAMBO KHA

HERI WAFU FWAOO KTK BWANA
 
TENGENEZENI MAISHA YENU NYIE MAREHEMU WATARAJIWA.MENGI AMEMALIZA KAZI ZAKE DUNIAN WEWE UKIIFA UNAENDA WAPI NA KIBANDA CHAKO CHA MKAA NDIO SWALA LA KUJIULIZA ACHANANEN NA MTU ASIEWEZA HATA KUJITETE. KWETU TUNAWAUTA MAKAFIRI MNAOJADILI MAREHEMU NA MALIZAKE NA JEHANUM YA MOTO INAWASUBIR

HERI WAFU WAFWAO KTK BWANA PUMZIKA KWA AMANI REGINALD MENGI

BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE
 
1.png
2.png
3.png
 
Back
Top Bottom