Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

It wasn’t Mengi is wish , Jack alipambana kuzaa na pia alipambania ndoa akiwa na akili zake kichwani watoto ndio wangekuja kumpa chochote baadae , it wasn’t easy kwa Mzee Mengi kukubali kuzaa na Jack Ndumba za Kiswahili zilitumika sana kumpumbaza ndio akakubali kuzaa nae , ndoa bibie alivyoona anapendwa akamtumia Mzee watu wamuombe Mzee amuoe Jack hasipomuoa Jack atajiua
Kwanini JF watu waongo hivi?? Sababu moja wapo ya Mengi kuachana na madam Ritta ilikua ni Ritta hataki kuzaa anasema ataharibu mwili wake. Hii info nilipewa na family friend wa Ritta na yeye alimuuliza kwanini humzalii mzee Ritta akajibu hivyo. Mengi alikua ndio anataka kuzaa na Jack alijua kumshika Mengi hapo kwa kumpa alichokua anakililia kwenye mahusiano yake.
Semeni tu kamuua ila kusema alitishia kujiua kisa Mengi ni uongo
 
Tunatofautiana sana jinsi ya kudeal na maumivu yetu. Watu aina ya Jacque ndo huwa wanadondoka kwa presha ghafla kwa sababu hatoi uchungu wake nje kama wengine tunavyolia kwa makelele. Yule alikuwa mume wake, baba wa watoto wake + good life alilompa; lazima aumie tu. Afu ndo hivyo mama twins sio mnyaki; angewapigia "ejoooooooooooooooooo". On a serious note; kuumia lazima anaumia sana, na kama kulia kuna muda alikuwa analia kwa sauti tu esp kule Moshi; ni vile tumeshazoea mtu lazima ulieeeee
Mimi mshangao wangu ni 1 tu kwa jack...hata km una roho ngumu vip jaman bibie hakuonekana ht kulia..mengine hayanihusu kbs..kwanza jack ķwan yy malaika hakosei..huyo hussein wa elements ni ndoa ngap zina kina hussein hao jaman..tuwe wakwel
 
Tunatofautiana sana jinsi ya kudeal na maumivu yetu. Watu aina ya Jacque ndo huwa wanadondoka kwa presha ghafla kwa sababu hatoi uchungu wake nje kama wengine tunavyolia kwa makelele. Yule alikuwa mume wake, baba wa watoto wake + good life alilompa; lazima aumie tu. Afu ndo hivyo mama twins sio mnyaki; angewapigia "ejoooooooooooooooooo". On a serious note; kuumia lazima anaumia sana, na kama kulia kuna muda alikuwa analia kwa sauti tu esp kule Moshi; ni vile tumeshazoea mtu lazima ulieeeee



Heaven spare my ribs jaman...hahahh...dah..Ila amekuwa mjane akiwa mdogo sana..lazima aolewe tu..huwez ishi hvyo had uzeen
 
[emoji849][emoji849][emoji849] Hicho kibao kikoje.
Kwenye bridal showers huwa wanawake tunabeba vibao fulani hivii. Kama Single, Taken, I'm next (hiki ni cha anaefuatia kuolewa baada ya bibi harusi). Umenielewa hapo eeh. Sasa kwa Mengi alikua anaonekana afya yake kuwa hana muda mrefu atafuatia kufa baada ya Ruge
 
Na pale utamu upo kisogoni kabisa asee. She's how old saivi?

Hivi hako ka avatar dah!!


huo ni umri mtamu sana ..ingawa sijaufikia..ila ni mtamu kimahaba...unajua unachofanya kbs kitandani mzee baba..skwiting km zote😂😂...yaan unaburuzwa unaburuzikaaa...dah...💪💪..mradi mkutane pipa na mfuniko
 
Heaven spare my ribs jaman...hahahh...dah..Ila amekuwa mjane akiwa mdogo sana..lazima aolewe tu..huwez ishi hvyo had uzeen
Kuna comments aliandika Sky jana mpaka leo naitafakari. Kuwa kwa status aliyokua amefikia Jack na umri na kila kitu inaweza kumchukua muda au asipate kabisa kupata mwanaume atakaempenda kama Mengi.
 
Back
Top Bottom