Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada, kwenye wale maadui watatu ambao Mwl alituambia nadhani UMASKINI ni moja wapo. Hivyo hujakosea kabisa..Brooo tangu hili sakata limeanza; nafuatilia kwa makini comments zako na nimeamua kuziamini. Binadamu hatuna huruma; sijui kwa nini hatumwachi Jacque amlilie mumewe kwa amani. Kufiwa tu kunavyoumiza jamani, bado mineno ya binadamu. Huu umaskini unatufanya tuwe na roho mbaya sana jamani; me siutaki kabisa.
Kwahiyo mke wa askofu ni mimi mkuu au sijakuelewa.Wote hatuwezi kuwa na akili kama za Mke wa askofu, si wewe amino hivyo
Dada hana machozi kbsSio kidogo yule alifuata pesa pale, jeneza linaingia kaburini ye anachungulia tu
Alafu hauhitaji kuwa na akili nyingi wala weledi kuwapandikizia uongo..Watanzania ni rahisi sana kuwapandikiza taarifa za umbea
Kwani da'Mage anasemaje?
MkuuAlafu hauhitaji kuwa na akili nyingi wala weledi kuwapandikizia uongo..
Imagine mtu anayewadanganya ni Mange, a failure on her marriage and failure in life..
Wewe mtaani kwako,una uhakika wanandoa wote wanalala chumba/kitanda kimoja ?
Mambo ya wanandoa kutokulala chumba sio big deal. Wakina pangu pakavu tia mchuzi wengi tu wanaishi hivo.wewe nae,kwa hio ulikua unataka kusema nini?
Mambo ya wanandoa kutokulala chumba sio big deal. Wakina pangu pakavu tia mchuzi wengi tu wanaishi hivo.
Nachoomanisha misuguano na matatizo kama hayo yapo kila mahali kwa wanandoa. Kwa watu wa juu na wa chini. Yakifanyika kwa watu chini, tunajitia upofu. Yakifanywa na matajiri hata kama si ya kweli inakuwa talk of the town kama ilivyo sasa.Kwa hio unaoa na kuolewa..mkakae vyumba tofauti?
Nachoomanisha misuguano na matatizo kama hayo yapo kila mahali kwa wanandoa. Kwa watu wa juu na wa chini. Yakifanyika kwa watu chini, tunajitia upofu. Yakifanywa na matajiri hata kama si ya kweli inakuwa talk of the town kama ilivyo sasa.
Nakuja Arusha kwenye Akhwari Marathon.. sasa pombe ya bei rahisi ilikia savanna na nimeacha nahamia kwenye kubwa itakuaje sasa hapo ndugu?
Kupata watoto zaidi ya mmoja kwa sababu mbegu zaingizwa nyingi si kweli....kwa PCB yangu tu ile ya miaka 10 iliyopita bado sikumbuki kitu kama hicho kuwepo.IVF ni lazima upate zaidi ya mtoto mmoja maana ni mbegu nyini zinaingizwa kwa hiyi by chance zitazokuwa hai ndio hizo zinazotoa watoto unaweza kupata hata wanne
Ulikuwaga na ndoto za kuwa doc ?Kupata watoto zaidi ya mmoja kwa sababu mbegu zaingizwa nyingi si kweli....kwa PCB yangu tu ile ya miaka 10 iliyopita bado sikumbuki kitu kama hicho kuwepo.
. Nitakucheck nikija huko mkuuNiko tayari kupokea ugeni wako
. Nitakucheck nikija huko mkuu
Sijui ukomuokotea...True na kanitupa na wanangu kafuata mwarabu