Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,774
2,000
Habari wana JF

Usiku huu katika pita pita kwenye twitter nakutana na baadhi ya tweet za Daudi T. Balali.

Kipindi kile cha kifo cha Dokta Mengi nilipata wasaa wa kukutana na mdada mmoja mnyarwanda. Katika kuongea naye aliniambia kwa kinyarwanda maana ya 'Ntuyabaliwe' ni 'hujaambiwa wewe'. Nilipomdodosa akaniambia kwa Rwanda wanapozaliwa watoto hupewa majina kutokana na siku na hali utakapozaliwa.
Mfano ukizaliwa wakati wa shida na kama wewe ni mhutu utapata majina ya kinyonge, matumaini, majina ya kukata tamaa n.k huo hakuna ukoo ukizaliwa unapata jina lako mpaka ufe mtoto wako anapata jina lingine

Kwa watutsi ukizaliwa unapata majina ya kifahari, majina ya kiheshima, majina ya makwezi. Hivyo wanajuana wanyarwanda kwa majina yao huyu ni mhutu au ni mtutsi.

Sasa nilipewa historia kidogo ya haya makabila mawili ya maziwa makuu ila yenye majinamizi makubwa. Mfano mtutsi yoyote hawaoagi mhutu vile vile na wahutu. Kama ikitokea mtutsi kaoa mhutu basi watoto watazaa kwa mtutsi.

Sasa najaribu kuunganisha doti kwa tweet hizo hapo je kuna jambo ambalo hatulijui linaendelea chini chini kwa familia ya Mengi..

Asante View attachment 1096851
Screenshot_20190514-002138.jpeg
Screenshot_20190514-002146.jpeg
Screenshot_20190514-002153.jpeg
Screenshot_20190514-002201.jpeg
 
Lite

Member
Oct 21, 2010
80
125
IVF ya kupanga kupata mapacha tena wawe wa jinsia moja hiyo ni sayansi ya wapi mkuu mbona unatuingiza chaka? Huyo kapata mapacha by chance kama wanawake wengine wanavyopata.
Usikatae aisee, Mapacha wanawezekana kabisa- Kwanzia mwanzon wanaweza kudhamiria na kuweka embryo mbili ila mapacha wakizaliwa hawatafanana.
Pia gender selection inawezekana - wanachukua seli moja kutoka embyro na kuangalia chromosomes xx, xy.
(Ingawa kuna nchi hawakubali kabisa wakati wa ivf uchague gender selection bila sababu nzuri ya kueleweka kwanini unachagua sex e.g magonjwa wa kurithi yanaoathiri gender moja tu.)
Kuna uwekezano mwingine: kutoa cells kuangalia chromosomes sometimes itasababisha yai lisplit na mama akapata mapacha wawili au hata watatu wanaofanana. Kama hao mapacha wetu wamachame wanafanana basi inawezekana ivf iliongeza maradufu uwezo wa nature na kufanya embryo ikajigawa. Kama hawafanani bibie aliekewa embyro mbili.
 
Ralph Tyler

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
2,079

Ngoja niwasikie wenzio wanaojua zaidi
 
Top Bottom