Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

Kifo cha Dk. Reginald Mengi: Kuna nini nyuma ya pazia?

"Waswahili" wengi tunayajua hayo, soma post namba 16, labda wanaojifanya Waswahili lakini si Waswahili maana wengi utakuta lugha mama zao si Kiswahili halafu anajiona Mswahili, Kiswahili utakuta kaanza kukisikia anapoanza shule. Waswahili 100% ni Waislam na hayo yapo ndani ya Qur'an.

Ukoo wa Mengi na hata huyo mkewe mdogo si Waswahili. Kumbuka hilo.

Hujaacha utata tu? Hata awamu ya tano bado Unaendeleza libeneke
 
Daudi T. Balali alikuwa anaishi nao kwenye nyumba, Likizo Zanzibar alienda nao na walipoenda Dubai alikuwepo, inawezekana kuwa pia alikuwa akilala nao ila yeye alilala chumba cha kati kati.

Tanzania kwa Udaku
 
Mzee siku hizi kazi hakuna ila fursa zipo!!!!! Na fursa zenyewe ndio hizo za kuwa Tulizo la Wajane mara utasikia Kibenten mara ooohooh Chawa. Vijana wana mambo usijeshangaa huyo bimdada akaanza kuhangaishwa na Kibenteni cha paleee Manzese Kwa Mfuga Mbwa!

Nchi imekuwa nzito sana hii
 
😉😉😉
The only way kuondoa tongo tongo...kama ndugu wa Mengi wana suspicion kwamba mzee ameuwawa option waliyonayo ni kulalamika polisi....jalada la uchunguzi linafunguliwa upelelezi unafanyika Jack anahojiwa....baas...what comes next itadepend na upelelezi....that's all
 
Daudi T. Balali alikuwa anaishi nao kwenye nyumba, Likizo Zanzibar alienda nao na walipoenda Dubai alikuwepo, inawezekana kuwa pia alikuwa akilala nao ila yeye alilala chumba cha kati kati.

Tanzania kwa Udaku
Kwa dunia ya sasa watu ni wagumu sana kukaa na habari/taarifa za siri. Jack hawezi kufanya kitu alone, lazima anamtu wa karibu anayemshirikisha mambo yake. Huyo mtu wa karibu nae ana mtu wake, so hiyo chain imefika hadi kwa huyo Balali, nae ametufikishia sisi.
 
Habari wana JF

Usiku huu katika pita pita kwenye twitter nakutana na baadhi ya tweet za Daudi T. Balali.

Kipindi kile cha kifo cha Dokta Mengi nilipata wasaa wa kukutana na mdada mmoja mnyarwanda. Katika kuongea naye aliniambia kwa kinyarwanda maana ya 'Ntuyabaliwe' ni 'hujaambiwa wewe'. Nilipomdodosa akaniambia kwa Rwanda wanapozaliwa watoto hupewa majina kutokana na siku na hali utakapozaliwa.
Mfano ukizaliwa wakati wa shida na kama wewe ni mhutu utapata majina ya kinyonge, matumaini, majina ya kukata tamaa n.k huo hakuna ukoo ukizaliwa unapata jina lako mpaka ufe mtoto wako anapata jina lingine

Kwa watutsi ukizaliwa unapata majina ya kifahari, majina ya kiheshima, majina ya makwezi. Hivyo wanajuana wanyarwanda kwa majina yao huyu ni mhutu au ni mtutsi.

Sasa nilipewa historia kidogo ya haya makabila mawili ya maziwa makuu ila yenye majinamizi makubwa. Mfano mtutsi yoyote hawaoagi mhutu vile vile na wahutu. Kama ikitokea mtutsi kaoa mhutu basi watoto watazaa kwa mtutsi.

Sasa najaribu kuunganisha doti kwa tweet hizo hapo je kuna jambo ambalo hatulijui linaendelea chini chini kwa familia ya Mengi..

AsanteView attachment 1096851View attachment 1096852View attachment 1096853View attachment 1096854View attachment 1096855
Nyuma ya pazia kuna madirisha mengine ni majungu tu.
 
Back
Top Bottom