Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,827
- 17,452
Unajua gharama za kuweka kiwanda, naweza kununua mzigo wa Dola bilioni ngapi mkuu , hamna hela inabidi mletewe tu hakuna namna.
Hamna uwezo wa kununua mzigo mkastahili kujengewa kiwanda. Mafuta yamechukuliwa Uganda yanaenda nje yanasafishwa ndipo yanauzwa Tena Uganda so why wasijenge kiwanda cha kuchakata Uganda. Watu wanapiga hesabu na namba ndizo zinazoamua na sio akili yako wewe