Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,406
Hivi umesoma hata nilichokwambia ?!!! Let alone elfu 5 hata ukiamua uuze milioni tano hio ni haki yako wala sikupangii; wewe ndio unajua gharama ya muda wako na if people can buy, fair to you; cost sio pesa pekee na wewe ndio unajua gharama (overheads na muda wako)Haya bado ni maneno mengi huna ignoa cost nilizotumia kupata hiyo bidhaa ya 5000 unataka nikuuuzie kwa hiyo hiyo 5000 nini mana ya biashara yaani sioni faida hata nikiuza elfu Saba nani anarudisha cost nilizotumia ?.
Bei ni bei kutoka na availability na uhitaji kwahio narudia tena rudia kusoma nilichoandika mimi nimesema sikupangii bei hata ukitaka kuuza gari kama nyongeza mtu akinunua nyanya au kuuza trilioni kadhaa kwa kusema kwamba limebarikiwa na maji na barakaMbona umeficus na kiatu tu vipi kuhusu pikipiki na magari unaonaje gharama ya kuingiza hizo gari na pikipiki? Alafu nikuuzieje?
Aisee nasema rudia tena kusoma, nimesema tungekuwa tunaangalia a true value of a product nanasi lisingeuzwa mia tano (achana tu na overhead costs za pesa bali kuna muda na mahangaiko ya mkulima) na mwisho wa siku sababu ni perishable na yanakuja kwa msimu huenda akapata hasara asipate hata sumni hence anaweza kujikuta anauza hata mia mia ili kurudisha bei ya mbegu (ndio maana kila siku anaendelea kuwa chini); lakini sababu ni kasumba mtu ukiambiwa buku unasema hili dogo hivi punguza bana (lakini ukiambiwa upande lako mwenyewe, je utaweza) ? Je hio noti ya mia tano ni sawa na ghiriba alizopata huyo mkulima plus photosynthesis iliyotumika; je ni sawa na vitu ambavyo vinakuwa mass produced at a press of a button ? (utagundua hapo issue ni marketing na peception) hio Nike au Adidas ukitoa ile logo bei yake huenda ikashuka maradufu...Mkuu wewe hufahamu bishara, ukiyoa mfano wa nanansi kwani anauza Moja ? Si anayonmengi nanasi lshambani nikichukua kwa 300, mananasi elfu kumi nikqpiga hesabu ya faida ya 200 manake mwisho wa siku MAUZO yawe 500 kwa kila nanasi nauza jumla au kama ninreja auze 1000 n.k humo Kuna pesa ya usafiri, mlulinzi na any expense Sasa unataka nikuuuzie nanasi kwa 300 wakati nomechukua kwa 300 au 500 napata wapi faida?
Ebu rudia kusoma nilichoandika uone kama utajibu ulichojibu... narudia sentensi niliyosema Ad verbatimNdio mana mteja ndie anaamua na muuzaji ana maamuzi kwahiyo usifeve mteja zaidi angalia na muuzaji
Issue yangu inakuja iwapo mimi sikulazimishi wewe kuniuzia bei unayotaka basi na wewe usinilazimishe mimi au kunizibia kununua pale ambapo kuna unafuu...; Give me a Choice.., Usitumie Uzawa wakati wewe unaniuzia, Wakati mimi Mzawa mwenzako unajua kabisa sina disposable income ya kununua hivyo vitu (kwahio ikija bei ndogo, huyu mwenye bei ndogo kwangu atakuwa mkombozi)