Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Ety wanafurahi nirudi kijijini njaa ilishanitesa mno sikurudi sembuse mchina

Yaan muuziwe vitu bei rahisi tuu, afu sioni viti ghali kkoo mimi yaan wabongo bhn akili za panzi baadhi yao

WALE WOTE MLIO QOUTE NIRUDI KIJIJINI NENDENI CHINA KAMA RAHISI MKAFUNGE MA KONTENA HATA LOOSE CARGO MJE NAZO HAPA!

MNAFIKIRI WATU WANAENDA KUPEWA HELA BURE AU ? AU KUNA KIWANDA CHA MZAZI WA MTU AU CHA USHIRIKA ......

HAO WACHINA MNAOWAKUMBATIA WALISHAKUWEPO TZ NA HUKO KKOO MAGUFULI AKATIMULIA MBALI, SIO KWAMBA NI WAGENI MJINI, LABDA NYIE NDO WAGENI MJE TARATBU

MTU MZIMA WAKAA MONETARY DOCTOR NIRUDI KIJIJINI, HUNA AIBU NJAA YAKO, ULIPO PANGU PAKAVU, HUKAI MOJA WALA MBILI FANYENI KAZI MIMI HATA KARIAKOO SIPO ILA MNAVYO NIANDAMA UTAFKR MM VUNJA BEI

NYIE KASAULENI MITUMBA ILALA BOMA, AFU MBONA KARIAKOO UNA CHAGUO LA KUNUNUA UNAPOTAKA NA KWA YOYOTE,

KAMA RAHISI NENDENI HATA NAIROBI MKANUNUE MITUMBA MJE MTURINGISHIE AU MUENDE ZANZIBAR AMA UGANDA VITU BEI RAHISI

MUDA WA KUSHINDANA NA WATU WAZIMA SINA WAKUU

NILALE SASA
Kumbe mchambaji mzuri mkuu 😹😹😹
Basi wameacha hawarudii tena, kwanza wanabishana vipi na mtu mwenye mtaji wa kufunga kontena china??

Chanaaaa nao wakakojoe walale 🤣
 
Tatizo linakuja hapa

Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,

Sema moja, Purchasing price

Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,

Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20

Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa

Atalipia wharfage charges kama inahitajika

Atalipia shipping line charges,

Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,

Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,

Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,

Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,

Kuna makato wakati analipia mzgo

Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
Kwani wachina hizo bidhaa wanazouza zinasafirishwa kwa njia tofauti na wanazotumia wabongo mpaka watofautiane bei?
 
Tatizo linakuja hapa

Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,

Sema moja, Purchasing price

Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,

Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20

Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa

Atalipia wharfage charges kama inahitajika

Atalipia shipping line charges,

Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,

Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,

Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,

Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,

Kuna makato wakati analipia mzgo

Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
Dawa itawaingia taratibu tu mtaelewa. Hizo zote ulizotaja, kwani unakatwa bidhaa moja kwa shilingi ngapi? Unajua ninyi mmekuja kujikuta mna akili sana kuliko sisi wengine, ila muda wenu waja, mtabaki mkisimulia tu tulikuwaga tunafanya hivi
 
Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana kariakooo, na walizunguka media mbali mbali kuonyesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...

Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa saana wakiuza jumla....

Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.

Cadet za kiume jeans wanauza 20,0000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.

Wafanyabiashara wa china wameanza kuonyesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Subutuuu yako kuna kibwengo anaitwa TRA huyu ana utitiri wa Kodi Hadi basi, kuna jiji na Manispaa....kuna Luku Kama kuku, LAZIMA Tu uuze laki nne kiatu
 
Wanao unga mkono wachina kufanya biashara kariakoo dar es salam tanzania wakapimwe akili, kutatokea athari kubwa sana kwa wazawa kwani licha ya kuwa wanalipa kodi kuwa kwa serikali yao ila watafunga biashara kwa kukosa wanunuzi,matokeo yake serikali itakosa mapato,ajira zitapungua,litazaliwa kundi kubwa la uharifu kwani hao matajiri waliofunga biashara zao watakosa kazi za kufanya,na kwa vile wana connection kubwa basi watafanya kila mbinu kufanya uhalifu. Uhalifu na umasikini utaongezeka nchini.
Hawa wachina wafukuzwe.
 
Bongo tunaumizana kisa njaa, alafu shangaa mtu akishapata mamilioni ya fwedha kwa njia ya haramu baada ya muda nafsi inaanza kumsuta unashangaa anaanza kugawa hovyo hovyo.. waliokulia kanisani utawaona wanavunga kutoa sadaka.. wale wenzangu na mm ndo kutwa kuzungusha bia bar, wasio na dini utaskia wanalisha watoto yatima etc..

Ila ukimuangalia anaetoa hizo sadaka hafananii na mtu mwenye hela, yaan uso hauna nuru, Body language bado ya kimaskini.. unagundua tu huyu hajawa blessed naturally, anatoa sababu keshapata alichokua anakitaka akahisi kitampa furaha saizi anateswa na hatia..

Just Earn a decent income, an income that is rightfully yours then rejoice in every way possible!!

To be free in life is to detach yourself from it, and not to succumb in its material thingz!

Kudadeki! Nimetema yai la Mbuni, kwa hisani ya watu wa Marekani!!
Kulisha na kusaidia masikini ni sadaka kiimani kabisa iwe msikitini au wa kanisani, sio lazima sadaka itolewe kanisani au msikitini....yaani kusaidia wasiojiweza ni sadaka kubwa na Mungu anaibariki
 
Hapo bado ukienda kariakokoo, ukiachana na bei wanazotubamiza sisi walaji, utakitana na watu wengi wanaojiita mawinga, nao wanataka kufanikiwa kwenye hela yako ndogo hiyo hiyo, Kila mtu analiwa hawa wachina japo ni wapuuuzi lakini ngoja wawanyooshe wabongo sometimes, walishaona gap hapa nchini tunavyopenda rushwa n.k wameingia Kila sector sasaivi ni mnyoosho hata uko mashambani wanakuja kudadeki mpaka mkome.
 
Kuna siku supermarkets na supply chain yote ya nchi hii ITASHIKILIWA NA WACHINA.

Hiyo siku ikifika mtakuwa kama mbwa kwenye nchi yenu na mtalia na kusaga meno maana WACHINA ndo watapanga bei za viberiti na condoms.

Kwa kifupi mtatawaliwa tena kama ambavyo hali ilikuwa kabla ya 1961. Matajiri wakubwa watakuwa wachina na wata-influence hadi mnachokula maana chain yote watakuwa wao tu.

Wachina watakuwa wana-fund kampeni za wanasiasa, watakuwa na lobbying groups zenye nguvu na watapanga hadi Rais awe nani. Maelekezo ya kuhusu nani awe Rais yatakuwa hayatoki Dodoma, yatatoka BEIJING

Mwafrika ni kama kenge. Huwa haamini kitu mpaka kimkute.

Ukoloni sio lazima watu waje na vifaru. Just control the supply chain and you are good
Serikali yako wazee wa 10% wanajali baasi
 
Wachina wake tu,hawa wabongo wenzetu wanatuzinguA sana.hisense tv inchi 50 china ni laki Moja tu huku wanatuuzia milioni Moja na nusu
Wanasingiziaga ushuru sijui TRA ila ukipiga 18% bei ya kununulia bidhaa ukijumlisha kwenye bei ya kuuzia bado utakuta kila bidhaa inauzwa kwa zaidi ya 120% ya bei ya ununuzi!

Mtu ananunua 3000 china kisha jumla anauza 14,000 reja ndio 18000-25000! Wizii!!!

Mchina kaja anauza 8000 reja reja lazma kilio kiwe kikali.
 
Wanao unga mkono wachina kufanya biashara kariakoo dar es salam tanzania wakapimwe akili, kutatokea athari kubwa sana kwa wazawa kwani licha ya kuwa wanalipa kodi kuwa kwa serikali yao ila watafunga biashara kwa kukosa wanunuzi,matokeo yake serikali itakosa mapato,ajira zitapungua,litazaliwa kundi kubwa la uharifu kwani hao matajiri waliofunga biashara zao watakosa kazi za kufanya,na kwa vile wana connection kubwa basi watafanya kila mbinu kufanya uhalifu. Uhalifu na umasikini utaongezeka nchini.
Hawa wachina wafukuzwe.
Kwani serikali Yako haioni mzee? Bahati mbaya sisi hatuna uwezo wa kuwazuia.
 
Wanasingiziaga ushuru sijui TRA ila ukipiga 18% bei ya kununulia bidhaa ukijumlisha kwenye bei ya kuuzia bado utakuta kila bidhaa inauzwa kwa zaidi ya 120% ya bei ya ununuzi!

Mtu ananunua 3000 china kisha jumla anauza 14,000 reja ndio 18000-25000! Wizii!!!

Mchina kaja anauza 8000 reja reja lazma kilio kiwe kikali.
Hapo bado winga hajakubamiza.
 
Wanao unga mkono wachina kufanya biashara kariakoo dar es salam tanzania wakapimwe akili, kutatokea athari kubwa sana kwa wazawa kwani licha ya kuwa wanalipa kodi kuwa kwa serikali yao ila watafunga biashara kwa kukosa wanunuzi,matokeo yake serikali itakosa mapato,ajira zitapungua,litazaliwa kundi kubwa la uharifu kwani hao matajiri waliofunga biashara zao watakosa kazi za kufanya,na kwa vile wana connection kubwa basi watafanya kila mbinu kufanya uhalifu. Uhalifu na umasikini utaongezeka nchini.
Hawa wachina wafukuzwe.
Huna akili waende wapi kiatu cha 5000 unauza 120000 nani atakuelewa
 
Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana kariakooo, na walizunguka media mbali mbali kuonyesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...

Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa saana wakiuza jumla....

Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.

Cadet za kiume jeans wanauza 20,0000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.

Wafanyabiashara wa china wameanza kuonyesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Watu Wana asili ya kuibia wengine Ila wanajiita ni wafanyabiashara.
Mfuko wa sukari unanunua kwa 135k unauza 137k, ukiuza mifuko 50-100 kwa siku unayo laki 1-2 kwa siku ndio biashara cheki mzunguko wa biashara,wachina waje wengi na wanayo mitaji hata wapandishe Bei za fremu. Subiria na jengo la UBUNGO zamani likamilike. Maisha hayatakiwi kuwa magumu kabisa , Kuna blenda china inauzwa 15k bongo 120k.
Kwa ULIMWENGU huu wa wasomi na mtandao wataroga watu,
Yaani inabidi watu waumize kichwa zaidi.
Saivi wachina wanadai kuwa wazungu wananunua kwao vitu like Gucci bags wakifika kwao wanaandika made in Italy or France so wanauza mbaya.
Hata mie Kuna sahani nikinunua za Durex zimeandikwa made in France kumbe ni za kichina na nikavimba kuwa nanunua bidhaa ya france kumbe ni za kwa mtogole.
 
Back
Top Bottom