Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Tatizo linakuja hapa

Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,

Sema moja, Purchasing price

Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,

Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20

Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa

Atalipia wharfage charges kama inahitajika

Atalipia shipping line charges,

Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,

Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,

Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,

Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,

Kuna makato wakati analipia mzgo

Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
hakuna kazi ngumu yoyote...Hawa silent ocean wanacharge mzigo kwa CBM moja 350-450 USD na hapo imecover kilakitu kuanzia usafiri,kodi,kushusha ,warehousing n.k na faida kibao wanapata... Ndio itakuwa hao wanaofunga wenyewe container la 20ft/40ft
 
Kuna siku supermarkets na supply chain yote ya nchi hii ITASHIKILIWA NA WACHINA.

Hiyo siku ikifika mtakuwa kama mbwa kwenye nchi yenu na mtalia na kusaga meno maana WACHINA ndo watapanga bei za viberiti na condoms.

Kwa kifupi mtatawaliwa tena kama ambavyo hali ilikuwa kabla ya 1961. Matajiri wakubwa watakuwa wachina na wata-influence hadi mnachokula maana chain yote watakuwa wao tu.

Wachina watakuwa wana-fund kampeni za wanasiasa, watakuwa na lobbying groups zenye nguvu na watapanga hadi Rais awe nani. Maelekezo ya kuhusu nani awe Rais yatakuwa hayatoki Dodoma, yatatoka BEIJING

Mwafrika ni kama kenge. Huwa haamini kitu mpaka kimkute.

Ukoloni sio lazima watu waje na vifaru. Just control the supply chain and you are good
 
leo hii nikiagiza pikipiki kutoka china inafika hapa na kila kitu kwa sh 1.5M inabaki usajili tu ila nyinyi wabongo mnakuja kutuumiza kwa sh 2.8-3.3M.

Sasa bora wachina waje wenyewe hapa bongo ili mshike adabu
 
Tatizo linakuja hapa

Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,

Sema moja, Purchasing price

Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,

Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20

Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa

Atalipia wharfage charges kama inahitajika

Atalipia shipping line charges,

Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,

Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,

Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,

Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,

Kuna makato wakati analipia mzgo

Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
Unapoteza nguvu bure kuwaeleza, jibu ni moja wapande ndege wakanunue China kwa 5000.
 
Wanaongea tuu mfano kariakoo we ndo supplier umeagiza sisi tutachukua kwako,

Wanafikiri zile fremu ni elfu kumi au hamsini, Kodi za Tra hawaoni usumbufu, naona wanajizima data Hawa

Mfn mrahisi wanashangaa

Tulikuwa tukinunua paracetamol mchina anatengeneza kwa USD 0.44 wakati mwingine 0.56 kidonge kimoja sasa yeye atatengeneza kwenye Tablet then box lijae

Uki convert unakuta hela ishakuwa nyingi,

Box la paracetamol lilifika mpk laki tano kasoro 2023 lenye tablet 200

Watu huwa wanaongea Ila ukiwa kwenye field ndo unaelewa vzr
 
Bongo tunaumizana kisa njaa, alafu shangaa mtu akishapata mamilioni ya fwedha kwa njia ya haramu baada ya muda nafsi inaanza kumsuta unashangaa anaanza kugawa hovyo hovyo.. waliokulia kanisani utawaona wanavunga kutoa sadaka.. wale wenzangu na mm ndo kutwa kuzungusha bia bar, wasio na dini utaskia wanalisha watoto yatima etc..

Ila ukimuangalia anaetoa hizo sadaka hafananii na mtu mwenye hela, yaan uso hauna nuru, Body language bado ya kimaskini.. unagundua tu huyu hajawa blessed naturally, anatoa sababu keshapata alichokua anakitaka akahisi kitampa furaha saizi anateswa na hatia..

Just Earn a decent income, an income that is rightfully yours then rejoice in every way possible!!

To be free in life is to detach yourself from it, and not to succumb in its material thingz!

Kudadeki! Nimetema yai la Mbuni, kwa hisani ya watu wa Marekani!!
Kongole sana kwa ujumbe mzuri sana.
Hakuna raha kama kuwa na hela hata kama ni shilingi mia mbili uliyoipata kihalali.
 
Kuna siku supermarkets na supply chain yote ya nchi hii ITASHIKILIWA NA WACHINA.

Hiyo siku ikifika mtakuwa kama mbwa kwenye nchi yenu na mtalia na kusaga meno maana WACHINA ndo watapanga bei za viberiti na condoms.

Kwa kifupi mtatawaliwa tena kama ambavyo hali ilikuwa kabla ya 1961. Matajiri wakubwa watakuwa wachina na wata-influence hadi mnachokula maana chain yote watakuwa wao tu.

Wachina watakuwa wana-fund kampeni za wanasiasa, watakuwa na lobbying groups zenye nguvu na watapanga hadi Rais awe nani. Maelekezo ya kuhusu nani awe Rais yatakuwa hayatoki Dodoma, yatatoka BEIJING

Mwafrika ni kama kenge. Huwa haamini kitu mpaka kimkute.

Ukoloni sio lazima watu waje na vifaru. Just control the supply chain and you are good
Hata sasa mnafurahia mnavyotunyonya enyi wakoloni weusi kwa kutuuzia kitu cha buku kwa 50k?.

Unaona nongwa mlaji wa bidhaa/huduma kupata ahueni toka kwa Mchina?.

Miaka 1000 kwa Mchina kama nyie wakoloni weusi mtaendeleza tabia zenu za ulanguzi kwa WaTanganyika wenzenu.
 
Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana kariakooo, na walizunguka media mbali mbali kuonyesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...

Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa saana wakiuza jumla....

Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.

Cadet za kiume jeans wanauza 20,0000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.

Wafanyabiashara wa china wameanza kuonyesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Ni kweli usemacho kwa kwelii
 
Back
Top Bottom