Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Ni rahisi ku-quote watu na kujibu ujinga; wakati mimi nimekueleza hilo ni kosa based on Tanzania ‘penal code’Weka akiba ya maneno. Kutamka maneno: actus reus haikudhibitishi kwamba wewe unajua lolote juu ya sheria ya jinai.
Lissu siyo saizi yako
I don’t call people stupid for no reason, rather for their intuition writings instead use of logic in justifying their arguments.
Unfortunately wengi wenu huo ndio uandishi wenu, nikuokota vitu tu kutoka vichwani kwenu; badała ya ku-justify mambo based on established rules.