Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,938
- 288,085
Inadaiwa ni MgandaKatunga ,hii ni kagera au wapi?
Inadaiwa ni MgandaKatunga ,hii ni kagera au wapi?
😂😂😂😂😂 mie nikajua ni askari na ana no ya usajiri ktk jeshi hilo.Kilaza Kaguta wa mama anasema Lissu asielezee historia yake wakati ni moja ya vitu vya msingi katika utetezi.
Hawa vilaza wanasema eti Lissu ni askari wa akiba maana ana kiapo cha JKT hivyo anatakiwa kumtii amiri jeshi mkuu.
Hawa vilaza hata basics za uraia hawajui tofauti ya utii na uzalendo?
hivi kisheria neno kukinukisha tunasemaje kwa kiingereza maana niliwakuta akiana gatuga waki googleYeye Lissu amekiri kutamka kua ATAKINUKISHA,sasa shughuli ipo hapo kwenye HAYO MANENO na UHAINI.
Sasa itakuwaje yale mabilioni waliyolipwa mashahidi wa gizani? Hii haikubaliki warejeshe pesa hizo bhanaBaada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya hadhara aliyofanya katika Kanda zote alizotembelea na mazungumzo yote aliyofanya na vyombo vya habari.
Kwa mshangao wa Mawakili wa Serikali Lissu amekubali yote na sasa wana jukumu la kuchimbua katika vitabu vya sheria kama je matamshi yake ni uhaini? Hapo nawaona Mawakili wa Serikali jasho jembamba likiwatoka na misuli ya vibofu vya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!
Kazi kwao Mawakili wa Serikali, na kwa hakika Lissu ni Big Brain Defender!
Inawezekana , hii mikoa ya mpakani kuna mwingiliano sana, mfano kapo kabinti kangu kapo uganda ila nilikapata miaka iyo nikiwa mpakani mwa nchi hizi mbili , sema kanajitambua ,Mama alipatia mimba tz ,kakazaliwa uganda , ila sasa ,katoto kangu very brain kamewashinda daily dady dady , ngoja nafanya utaratibu kawe nchini ili uko badae kaje pambana na mafisadi wa nchi hii hasa watoto waoInadaiwa ni Mganda
Kwa mfano mtu yeyote akitoa ushuzi hadharani huko ni kukinukisha, Je na huo ni Uhaini?hivi kisheria neno kukinukisha tunasemaje kwa kiingereza maana niliwakuta akiana gatuga waki google
wewe mwekundu wa Sheria twambie...Utakua mweupe wa sheria lakini
that guy anajua bwanaAhaha Lissu the big thinker
Hatari sanaPilato: Je wewe ni Mfalme wa Wayahudi?
Yesu Kristo: Wewe wasema
Tangu saa ile Pilato akatafuta namna ya kumuachia bila ya kuwaudhi Wayahudi
Biblia inasema 🙏
Hao ndio mawakili vilaza wa mama .😂😂😂😂😂 mie nikajua ni askari na ana no ya usajiri ktk jeshi hilo.
Kumbe JKT ya mujibu? Khaaaah.
Mkuu pesa za walipa kodi zinafujwa kwenye mambo ya kipumbavu sana.Ni aibu kubwa. Mmi nilisikia nikashangaa.
Na hatotokea hilo nina uhakika nalo.Na ndiyo maana huyo amir jeshi akaitwa aje ajieleze ni wapi alipokosewa
Labda watafanya rejea ya Benard Membe ile.Hivi kamusi ya Kiswahili ina neno kukinukisha?
😂😂😂😂😂Hao ndio mawakili vilaza wa mama .
To cause something to smellhivi kisheria neno kukinukisha tunasemaje kwa kiingereza maana niliwakuta akiana gatuga waki google
Kati ya CHADEMA na serikali/CCM wakuona aibu Ni nani???YAANI MNATUMIA MSULI MKUBWA KWENYE KESI AMBAYO NIA YAKE NI KUUMPOTEZEA MUDA TU UCHAGUZI UPITE HALAFU MTAKUJA KUJISIFU KUWA LISSU KASHINDA KESI? CHADEMA ONENI HATA AIBU BASI MNAFIKIRI WATU SHERIA HAWAJUI? HAPO NI SUALA LA MUDA TU UCHAGUZI UKIPITA ANATOKA MNAENDEEA KUWA WAPINZANI TENA KWA MUDAWA MIAKA MITANO IJAYO
Ahahaha. Eti KATUGA WA MAMAKilaza Katuga wa mama anasema Lissu asielezee historia yake wakati ni moja ya vitu vya msingi katika utetezi.
Hawa vilaza wanasema eti Lissu ni askari wa akiba maana ana kiapo cha JKT hivyo anatakiwa kumtii amiri jeshi mkuu.
Hawa vilaza hata basics za uraia hawajui tofauti ya utii na uzalendo?
Na mimi ndio nataman kujua kuhusu hili suala!!!..Kwahiyo wale mawakili wa mchongo 30 chalii🤣🤣🤣🤣