Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

Hujaelewa bado. Hadi sasa Tundu Lissu hajakiri KOSA, kwa hiyo Mashahidi bado wanahitajika. Ila sema kazi yao imepungua kwa vile cha kufanya sasa ni kuonyesha tu kuwa kuchochea UASI na. kukataza Chama ba wanachama wake milioni 8 wa CHADEMA kushiriki Uchaguzi, kuvuruga wapiga kura, kuzuia Tume kupanga foleni na kuhimiza watu watende kosa ni KUIZUA SERIKALI HALALI KUTUMIZA WAJIBU WAKE. Huu ni uhaini, Naam, dawa yake pekee ni Rais kumsamehe au kumpunguzis adhabu.
Well put mkuu. Naona watu wanahemuka na maelezo ya Tundu Lissu. Lissu mtuhumiwa wa uhalifu, anatoa maelezo kupumbaza mabwege na mabwege wanamuona eti ni bingwa wa sheria
 
Mahakama za Tanzania kwa kweli mntia aibu sanaa...

Kesi kama hii Mahakama imara inayojisimamia mbele ya Majudge kama Rugakingira angeitupilia mbali....Maneno matupu yanakuaj uhaini???
Kamfufue huko Bukoba alikozikwa
 
Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya hadhara aliyofanya katika Kanda zote alizotembelea na mazungumzo yote aliyofanya na vyombo vya habari.

Kwa mshangao wa Mawakili wa Serikali Lissu amekubali yote na sasa wana jukumu la kuchimbua katika vitabu vya sheria kama je matamshi yake ni uhaini? Hapo nawaona Mawakili wa Serikali jasho jembamba likiwatoka na misuli ya vibofu vya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!

Kazi kwao Mawakili wa Serikali, na kwa hakika Lissu ni Big Brain Defender!
Miwakili ya CCM ina akili za kiqumer. Tuone sasa jinsi itakavyomshtaki.
 
Labda mimi ndio sijaelewa hivi kama kama mtuhumiwa akikiri kosa si ndio amemrahisishia hakimu kuamua kesi ama? Wajuzi nipeni darasa kidogo!

Mashtaka ni yapi na alichokiri ni kipi?

Jiulize hili swali...

Halafu mwisho wa siku tambua kuwa hukumu hutolewa kulingana na ukamilifu wa ushahidi usio na mashaka...
 
Kilaza Katuga wa mama anasema Lissu asielezee historia yake wakati ni moja ya vitu vya msingi katika utetezi.

Hawa vilaza wanasema eti Lissu ni askari wa akiba maana ana kiapo cha JKT hivyo anatakiwa kumtii amiri jeshi mkuu.

Hawa vilaza hata basics za uraia hawajui tofauti ya utii na uzalendo?
Yaan inasikitisha sana kuona Katuga hajui hicho kifungu cha character na yeye ni Wakili mkuu:Tunakwenda wapi Kama nchi.Kuwa na vilaza mpaka mahakamani.
 
msingi wakupindua unaazia wapi kwenye mana za maneno au tafsiri alizotamka au huelewi
Sasa mbona hajahukumiwa kama amekiri kutenda uhaini?

Sheria iko wazi kwamba mtu anaposomewa mashtaka yake na akakiri unequivocally kutenda kosa analoshitakiwa nalo (plea of guilty)basi mahakama haina budi kutoa hukumu moja kwa moja.

Wewe ndiye hujui sheria kabisa halafu unaleta ujuaji.
 
Mashtaka ni yapi na alichokiri ni kipi?

Jiulize hili swali...

Halafu mwisho wa siku tambua kuwa hukumu hutolewa kulingana na ukamilifu wa ushahidi usio na mashaka...
Hilo shitaka sio uhaini.
 
Kilaza Katuga wa mama anasema Lissu asielezee historia yake wakati ni moja ya vitu vya msingi katika utetezi.

Hawa vilaza wanasema eti Lissu ni askari wa akiba maana ana kiapo cha JKT hivyo anatakiwa kumtii amiri jeshi mkuu.

Hawa vilaza hata basics za uraia hawajui tofauti ya utii na uzalendo?
JKT ya lazima na kiapo cha lazima
 
Sasa mbona hajahukumiwa kama amekiri kutenda uhaini?

Sheria iko wazi kwamba mtu anaposomewa mashtaka yake na akakiri unequivocally kutenda kosa analoshitakiwa nalo (plea of guilty)basi mahakama haina budi kutoa hukumu moja kwa moja.

Wewe ndiye hujui sheria kabisa halafu unaleta ujuaji.
Hajakiri uhaini, amekiri maneno wanayosema alisema.
 
Adhabu ni fidia kwa waathirika kulingana na athari zitazowakuta kutokana na uchafuzi wa hewa. 😆😆
Hahahahah naomba kujua upande wa fidia itagharimu bei gani maana niko kijiweni hapa nataka "Nikinukishe" kama Tundu. Ushuzi wa Kambale ni hatari sana😁😁😁
 
Yaan inasikitisha sana kuona Katuga hajui hicho kifungu cha character na yeye ni Wakili mkuu:Tunakwenda wapi Kama nchi.Kuwa na vilaza mpaka mahakamani.
Sahihi kabisa. Good character kwenye criminal cases is relevant.

Kwahiyo mshtakiwa ana haki ya kuelezea his good character as a part of his defence.
 
Hivi kukinukisha ndo kufanya uasi?? AU hili ni lako??
Hujanielewa
Hayo maneno mawili kila neno linajitegemea.
Sijasema kuwa amessma atakinukisha na kutafsiri kama uhaini.
Nimesema Lissu amekiri kutamka hayo maneno mawili (kukinukisha na kuasi)
Then nikatafsiri maana ya neno kuasi which means protest, something like mgomo au kupinga jambo. Kwahiyo hakuna kesi hapo ni ushenzi tu wameukalia wana CCM
 
Back
Top Bottom