Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

Kilaza Kaguta wa mama anasema Lissu asielezee historia yake wakati ni moja ya vitu vya msingi katika utetezi.

Hawa vilaza wanasema eti Lissu ni askari wa akiba maana ana kiapo cha JKT hivyo anatakiwa kumtii amiri jeshi mkuu.

Hawa vilaza hata basics za uraia hawajui tofauti ya utii na uzalendo?
Na ndiyo maana huyo amir jeshi akaitwa aje ajieleze ni wapi alipokosewa
 
Kilaza Kaguta wa mama anasema Lissu asielezee historia yake wakati ni moja ya vitu vya msingi katika utetezi.

Hawa vilaza wanasema eti Lissu ni askari wa akiba maana ana kiapo cha JKT hivyo anatakiwa kumtii amiri jeshi mkuu.

Hawa vilaza hata basics za uraia hawajui tofauti ya utii na uzalendo?
🤣🤣🤣🤣 Mkuu nimecheka sana!!
 
Ndio maana nchi inatia aibu katika kesi kimataifa angalia bakora walizochapwa kule ICSID

View: https://youtu.be/L9bX0yvyCas?si=MK8xOTkRzlhRydxD

Hapo dk ya 12:19 alichoulizwa na alichojibu hadi muulizaji kustaajabu hadi akamuuliza "But...Sir, is that what your Lawyers told you to say?"

Kesi hii Tanzania ilishindwa na ikakubali kulipa fidia ya mamilioni ya dola.

Hizi ni aina ya aibu ambazo tungeziona live jana na kwa sababu walijua wakazuia live streaming.
 
Kilaza Kaguta wa mama anasema Lissu asielezee historia yake wakati ni moja ya vitu vya msingi katika utetezi.

Hawa vilaza wanasema eti Lissu ni askari wa akiba maana ana kiapo cha JKT hivyo anatakiwa kumtii amiri jeshi mkuu.

Hawa vilaza hata basics za uraia hawajui tofauti ya utii na uzalendo?

..Na ulemavu wote ule bado Lissu ni askari wa akiba?!
 
Mkuu hadi jana baada ya kupitia updates zote za commital kwa kina ndio nilijua kwa nini walikataa kabisa stage ile isiwe live ,kodi za watanzania zinatumika vibaya sana kufanya mambo yasiyo na tija.

Na Lissu ulemavu huo kasababishiwa na serikali iliyokuwana jukumu la kumlinda ila imemjeruhi na kumtelekeza maana kama sio wasamaria wema asingeweza kumudu gharama za matibabu.
 
Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya hadhara aliyofanya katika Kanda zote alizotembelea na mazungumzo yote aliyofanya na vyombo vya habari.

Kwa mshangao wa Mawakili wa Serikali Lissu amekubali yote na sasa wana jukumu la kuchimbua katika vitabu vya sheria kama je matamshi yake ni uhaini? Hapo nawaona Mawakili wa Serikali jasho jembamba likiwatoka na misuli ya vibofu vya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!

Kazi kwao Mawakili wa Serikali, na kwa hakika Lissu ni Big Brain Defender!
Kwahiyo wale mawakili wa mchongo 30 chalii🤣🤣🤣🤣
 
Siasa ni sayansi,kujatahamaki Oktoba imepita na Mama wa mitano tena yupo kilingeni na ndiyo kesi inaeleweka na kutamatika.
 
Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya hadhara aliyofanya katika Kanda zote alizotembelea na mazungumzo yote aliyofanya na vyombo vya habari.

Kwa mshangao wa Mawakili wa Serikali Lissu amekubali yote na sasa wana jukumu la kuchimbua katika vitabu vya sheria kama je matamshi yake ni uhaini? Hapo nawaona Mawakili wa Serikali jasho jembamba likiwatoka na misuli ya vibofu vya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!

Kazi kwao Mawakili wa Serikali, na kwa hakika Lissu ni Big Brain Defender!
YAANI MNATUMIA MSULI MKUBWA KWENYE KESI AMBAYO NIA YAKE NI KUUMPOTEZEA MUDA TU UCHAGUZI UPITE HALAFU MTAKUJA KUJISIFU KUWA LISSU KASHINDA KESI? CHADEMA ONENI HATA AIBU BASI MNAFIKIRI WATU SHERIA HAWAJUI? HAPO NI SUALA LA MUDA TU UCHAGUZI UKIPITA ANATOKA MNAENDEEA KUWA WAPINZANI TENA KWA MUDAWA MIAKA MITANO IJAYO
 
Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya hadhara aliyofanya katika Kanda zote alizotembelea na mazungumzo yote aliyofanya na vyombo vya habari.

Kwa mshangao wa Mawakili wa Serikali Lissu amekubali yote na sasa wana jukumu la kuchimbua katika vitabu vya sheria kama je matamshi yake ni uhaini? Hapo nawaona Mawakili wa Serikali jasho jembamba likiwatoka na misuli ya vibofu vya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!

Kazi kwao Mawakili wa Serikali, na kwa hakika Lissu ni Big Brain Defender!

🤣🤣🤣🤣🤣Kwani kukinukisha ni kosa la jinai .

Kukinukisha kwa maana ya kisiasa inaweza kumaanisha kufanya vurugu. Kufanya vurugu za kisiasa sio uhaini .

Hao mashahidi wa mchongo wanatakiwa wapigwe stroke na sura zao ziwe kama vinyago.
 
Back
Top Bottom