Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

YAANI MNATUMIA MSULI MKUBWA KWENYE KESI AMBAYO NIA YAKE NI KUUMPOTEZEA MUDA TU UCHAGUZI UPITE HALAFU MTAKUJA KUJISIFU KUWA LISSU KASHINDA KESI? CHADEMA ONENI HATA AIBU BASI MNAFIKIRI WATU SHERIA HAWAJUI? HAPO NI SUALA LA MUDA TU UCHAGUZI UKIPITA ANATOKA MNAENDEEA KUWA WAPINZANI TENA KWA MUDAWA MIAKA MITANO IJAYO
KWA HIYO UNATAKA KUSEMAJE EWE KILAZA? LISU ASIJITETEE?
 
Nilkuwa natembea nkamsikia Mwashambwa anasema atakinukisha na mimi nkahamasika nkakimbia
@Looh😛😛😛...... !!!

Sio kwamba Lucas Mwashambwa ndiye alimsikia Tlaatlaah anasema "nitakinusha kwa kujamba hatari" halafu jamaa akaanza kutimua mbio, akapita kwa Shotocan naye akaliunga, mbele kidogo akakutana na Mtoto wa Shule....

Huyu naye Mtoto wa Shule alipowaona wenzake wanatimua mbio akampigia simu chawa mwenzake chiembe aliyekuwa chooni anakunya, ghafla akatoka bila hata kutawaza naye huyo mbiooo kama swala wa Serengeti...

Baadaye wakakutana kusimuliana, wakagundua kuwa kumbe Tlaatlaah alikuwa ana maana kuwa wataendesha harakati za kisiasa kupinga kufanyika kwa uchaguzi kwa sheria na kanuni kandamizi zilizopo...!

Wote walujiona mafala wa kutupwa huku chiembe suruali yake ikiwa imechafuka masalia ya kinyesi cha kutotawaza alipokuwa chooni🤔🤔🤔
 
Ila umesahau kusema kwamba mimi sikukimbia na badala yake nikapiga simu kwa Chiembe kwasababu nilikuwa na "unfinished business" na mamaako na mimi na yeye hatukuwa tumevaa chochote! 😡😡😡😡✔️
 
Ila umesahau kusema kwamba mimi sikukimbia na badala yake nikapiga simu kwa Chiembe kwasababu nilikuwa na "unfinished business" na mamaako na mimi na yeye hatukuwa tumevaa chochote! 😡😡😡😡✔️
Mama yangu yuko kaburini tangu mwaka 1999...

Kama ulikwenda huko, it's completely none of my business kwa sababu mimi niliye hai sina shirika na wafu kama wewe...!!!
 
Akili zetu zinatutosha wenyewe JF na watanzania

In legal terms the ‘defendant’ from that admission has accepted to ‘Actus Reus’ of the accusations based on Tanzani ‘Penal Code law’ on what amount to treason.

Kazi ya serikali ni kuthibitisha ‘Mens Rea’ na ndio msingi wa hao mashahidi labda kwa upande wa serikali.

Ni hivi Lissu hajui sheria zaidi ya administration laws, he is not a criminal lawyer nor a contract lawyer (alikuwa anaongea ujinga mtupu kwenye sakata la makenikia, kilichompata ilikuwa ni ugomvi wa kujitakia na serikali).

You gotta read ‘Plato’s republic’ and understand the ship allegory if you want to delve deeper in politics.

Kama 90% ya wachangiaji wa JF obvious hawajawahi kusoma vitabu vya siasa, basi 99% hawajawahi soma vitabu vya sheria.

Lissu ni shallow in law.

He has committed offences against the state kwa uropokaji, be it lesser terms of treasons kuliko mashitaka aliyopewa.

The mere fact he admitted to his statement uttering seditious statements during his public rallies tells you he doesn’t understand the nature of his offence.

Sasa huyo atakuwa mtu wa kuongelea maswala ya contract law kweli (if you know contract law).

Mnapenda kujazana ujinga wa vitu ambavyo 99% amjawahi jifunza even at elementary level.
 
Anatokea september mwisho kotoba (October) ni kutia tiki tu
 
Akili zetu zinatutosha wenyewe JF na watanzania

In legal terms the ‘defendant’ from that admission has accepted to ‘Actus Reus’ of the accusations based on Tanzani ‘Penal Code’ laws on what amount to treason.

Kazi ya serikali ni kuthibitisha ‘Mens Rea’ n ndio msingi wa hao mashahidi.

Ni hivi Lissu hajui sheria zaidi ya administration laws, he is not a criminal lawyer nor a contract lawyer (alikuwa anaongea ujinga mtupu kwenye sakata la makenikia, kilichompata ilikuwa ni ugomvi wa kujitakia na serikali).

You gotta read Plato’s republic if you want to delve deeper in politics.

Kama 90% ya wachangiaji wa JF obvious hawajawai kusoma vitabu vya siasa, basi 99% hawajawahi soma vitabu vya sheria.

Lissu ni shallow in law.

He has committed offences against kwa uropokaji be it lesser terms of treasons kuliko mashitaka aliyopewa.

The mere fact he admits to his statement uttered during his public rallies tellls you he doesn’t understand what is sedition.

Sasa huyo atakuwa mtu wa kuongelea maswala ya contract law kweli.

Mnapenda kujazana ujinga wa vitu ambavyo 99% amjawahi jifunza even at elementary level.
Kwa hiyo unafikiri ukiwa ongea kwa kuweka vijineno vya law ndio tutakuona unajua sana

Wacha ujinga wewe, sisi sio wajinga...
 
YAANI MNATUMIA MSULI MKUBWA KWENYE KESI AMBAYO NIA YAKE NI KUUMPOTEZEA MUDA TU UCHAGUZI UPITE HALAFU MTAKUJA KUJISIFU KUWA LISSU KASHINDA KESI? CHADEMA ONENI HATA AIBU BASI MNAFIKIRI WATU SHERIA HAWAJUI? HAPO NI SUALA LA MUDA TU UCHAGUZI UKIPITA ANATOKA MNAENDEEA KUWA WAPINZANI TENA KWA MUDAWA MIAKA MITANO IJAYO
Kwahiyo CCM inaogopa kushindana na lisu kwenye uchaguzi?
 
Kwa hiyo unafikiri ukiwa ongea kwa kuweka vijineno vya law ndio tutakuona unajua sana

Wacha ujinga wewe, sisi sio wajinga...
Kwangu muhimu kwa mustakabali wa Tanzania ni kuondoa madaraka ya raisi ya kuondoa civil servants kwa utashi wake kwenye katiba.

Huku kwengine ni kupoteza muda tu, wachangiaji wengi wa JF ni waandikaji tuu na waongeaji tu kwa sababu mną majukwaa ya social media. .

Lakini uelewa wa namna dunia inavyofanya mambo ni wachache sana wenye uelewa huo unaokidhi kufanya nao mjadala.

Sasa wewe ukishasema ulitamka maneno ambayo sheria inasema kauli zao hizo ni ‘seditious’ ain’t that the proof of ‘actus reus’, nina uhakika kwa kauli ambayo mleta mada kaandika hawezi kuona hata tatizo la incriminating ya hiyo statement.

Sehemu ya kukuwa ni kuacha kujadili ujinga pia na watu wajinga.

Issue ya msingi kwa Tanzania ni kuilinda civil services kwanza. Huku kwenye siasa tumejaza mataahira tu kama wewe.

That is me saying in arrogance mleta mada hujui; kwenye criminal case kazi ya prosecutor ni kuthibitisha ‘actus reus’ na ‘mens rea’.

Lissu keshawapa ‘actus reus’ willingly, kwa kukubali kutamka ‘seditious’ statement publicly.

Akili zenu zinawatosha wenyewe.
 
YAANI MNATUMIA MSULI MKUBWA KWENYE KESI AMBAYO NIA YAKE NI KUUMPOTEZEA MUDA TU UCHAGUZI UPITE HALAFU MTAKUJA KUJISIFU KUWA LISSU KASHINDA KESI? CHADEMA ONENI HATA AIBU BASI MNAFIKIRI WATU SHERIA HAWAJUI? HAPO NI SUALA LA MUDA TU UCHAGUZI UKIPITA ANATOKA MNAENDEEA KUWA WAPINZANI TENA KWA MUDAWA MIAKA MITANO IJAYO
Akili yako inamatatizo hata wewe unalijua hilo
 
Sasa itakuwaje yale mabilioni waliyolipwa mashahidi wa gizani? Hii haikubaliki warejeshe pesa hizo bhana
Kiendacho kwa mganga hakirudi. Waliowapa hizo hela wahesabu maumivu.

PS
1. Nitapata wapi kadi ya chadema?
2. Chadema: Wekeni hapa namba ya simu au benki tumchangie Lissu
 
Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya hadhara aliyofanya katika Kanda zote alizotembelea na mazungumzo yote aliyofanya na vyombo vya habari.

Kwa mshangao wa Mawakili wa Serikali Lissu amekubali yote na sasa wana jukumu la kuchimbua katika vitabu vya sheria kama je matamshi yake ni uhaini? Hapo nawaona Mawakili wa Serikali jasho jembamba likiwatoka na misuli ya vibofu vya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!

Kazi kwao Mawakili wa Serikali, na kwa hakika Lissu ni Big Brain Defender!
Walikiri Lissu ataogopa akane matamshi yake ili ionekane matamshi yake ni uhaini.
 
Kwangu muhimu kwa mustakabali wa Tanzania ni kuondoa madaraka ya raisi ya kuondoa civil servants.

Huku kwengine ni kutopeteza muda tu, wengi wenu ni waandikaji tuu na waongeaji tu kwa sababu mną majukwaa.

Lakini uelewa wa namna dunia inavyofanya mambo ni wachache sana wenye uelewa huo.

Sasa wewe ukishasema ulitamka maneno ambayo sheria inasema kauli zao hizo ni ‘seditious’ ain’t that the proof of ‘actus reus’, nina uhakika kwa kauli yako uwezi kuona hata incriminating ya hiyo statement.

Sehemu ya kukuwa ni kuacha kujadili ujinga pia na watu wajinga.

Issue ya msingi kwa Tanzania ni kuilinda civil services kwanza. Huku kwenye siasa tumejaza mataahira tu kama wewe.

That is me knowing wewe hujui kwenye criminal case kazi ya prosecutor ni kuthibitisha ‘actus reus’ na ‘mens rea’.

Lissu keshawapa ‘actus reus’ willingly, kwa kukubali kutamka ‘seditious’ statement publicly.

Akili zenu zinawatosha wenyewe.
Weka akiba ya maneno. Kutamka maneno: actus reus haikudhibitishi kwamba wewe unajua lolote juu ya sheria ya jinai.
Lissu siyo saizi yako
 
Back
Top Bottom