Kesi ya Uhaini ya Lissu: Jamhuri yakosa mashahidi!

YAANI MNATUMIA MSULI MKUBWA KWENYE KESI AMBAYO NIA YAKE NI KUUMPOTEZEA MUDA TU UCHAGUZI UPITE HALAFU MTAKUJA KUJISIFU KUWA LISSU KASHINDA KESI? CHADEMA ONENI HATA AIBU BASI MNAFIKIRI WATU SHERIA HAWAJUI? HAPO NI SUALA LA MUDA TU UCHAGUZI UKIPITA ANATOKA MNAENDEEA KUWA WAPINZANI TENA KWA MUDAWA MIAKA MITANO IJAYO
Je nisahihi serekali na ccm wanacho fanya kama ulivyo eleza?
 
YAANI MNATUMIA MSULI MKUBWA KWENYE KESI AMBAYO NIA YAKE NI KUUMPOTEZEA MUDA TU UCHAGUZI UPITE HALAFU MTAKUJA KUJISIFU KUWA LISSU KASHINDA KESI? CHADEMA ONENI HATA AIBU BASI MNAFIKIRI WATU SHERIA HAWAJUI? HAPO NI SUALA LA MUDA TU UCHAGUZI UKIPITA ANATOKA MNAENDEEA KUWA WAPINZANI TENA KWA MUDAWA MIAKA MITANO IJAYO
Kabla ya mitano lazima kutakuwa na uchaguzi wa Rais Hilo liwekeni
 
Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya hadhara aliyofanya katika Kanda zote alizotembelea na mazungumzo yote aliyofanya na vyombo vya habari.

Kwa mshangao wa Mawakili wa Serikali Lissu amekubali yote na sasa wana jukumu la kuchimbua katika vitabu vya sheria kama je matamshi yake ni uhaini? Hapo nawaona Mawakili wa Serikali jasho jembamba likiwatoka na misuli ya vibofu vya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!

Kazi kwao Mawakili wa Serikali, na kwa hakika Lissu ni Big Brain Defender!
Ayaaaaaaa!!
 
YAANI MNATUMIA MSULI MKUBWA KWENYE KESI AMBAYO NIA YAKE NI KUUMPOTEZEA MUDA TU UCHAGUZI UPITE HALAFU MTAKUJA KUJISIFU KUWA LISSU KASHINDA KESI? CHADEMA ONENI HATA AIBU BASI MNAFIKIRI WATU SHERIA HAWAJUI? HAPO NI SUALA LA MUDA TU UCHAGUZI UKIPITA ANATOKA MNAENDEEA KUWA WAPINZANI TENA KWA MUDAWA MIAKA MITANO IJAYO
Yaani unaraha MTU kupotezewa muda, isee hii ni shida
 
Mungu nisaidie nimalize mfungo huu , nikiambatana na mfungo wa NOVENA ya ndugu zangu wakistu wana wa Mungu Rc, ccm mtashangaa sana, mwaka huu
 
Baada ya Tundu Lissu kukiri kutamka maneno ya uasi na kukinukisha Jamuhuri imekosa mashahidi. Mawakili wa Serikali walidhani kuwa Lissu angekanusha matamshi yake kwa hiyo wakaandaa mashahidi, video na clips lukuki ambazo zingeonyesha hotuba alizozitoa kwa watia nia wa Chadema, mikutano ya hadhara aliyofanya katika Kanda zote alizotembelea na mazungumzo yote aliyofanya na vyombo vya habari.

Kwa mshangao wa Mawakili wa Serikali Lissu amekubali yote na sasa wana jukumu la kuchimbua katika vitabu vya sheria kama je matamshi yake ni uhaini? Hapo nawaona Mawakili wa Serikali jasho jembamba likiwatoka na misuli ya vibofu vya mikojo na utumbo mnene inayobana vinyesi ikilegea!

Kazi kwao Mawakili wa Serikali, na kwa hakika Lissu ni Big Brain Defender!
Hivi ni lini amekiri!!??? Au mi naota!!! 😄🫣🫣
 
Hawa wanasheria wa jamhuri na dpp wao wawe wanafukuzwa kazi wanapoonesha ujinga mahakamani.
Hatuwezi kulipa wajinga kwa kuwaweka mahabusu watu wenye akili na watetez wa watz.
Mawakili wazembe wafungwe
 
Back
Top Bottom