Kujenga reli sgr na ndege nilazima isemwe kila hotuba hata ya mazishi?Kuhudhuria sherehe ni lazima kutoa tamko rasmi?!
Subiri uone hii kete inavyoingia king!Ilikuwa lazima waende huko Mwanza?
Subiri uone hii kete inavyoingia king!
Mrema ambaye mara kwa mara anahudhuria Ikulu kwenye chaguzi mumempelekea fuso tatu kiraracha.Sasa wanaendaje wakati hawajaenda hata ikulu kupiga vitu
Ndiyo ni lazima na inasaidia sana kuhamasiha makamanda wajitokeze kwa wingi tena vifua mbele kushehekea uhuru wetu tuliopata kwa beberu mweupe pia kuwasilisha malalamiko ya uhuru wetu uliopokwa na beberu mweusi.Kuhudhuria sherehe ni lazima kutoa tamko rasmi?!
Nchi kwanza vyama baadae, hii kauli siisikii siku hizi. Mwanzo mzuri hongereni kamati kuu. Karibuni home.
Kwenye msiba mkubwa wa Meli iliyoua hawakwenda ila kwenye sherehe wanaenda .Aiseeee
Anyway naona Mbowe yuko.kwenye kampeni atabeba wajumbe kibao kwa pesa ya ruzuku awalaze mahoteli mazuri wale wanywe wajione na wao Ni sehemu ya kula ruzuku.Kumbe miaka yote alikula peke yake anataka kuwalambisha kakijiko kadogo ka chai sukari kidogo tarehe 18 December wampe kura
Mkuu mbona CCM mmepanic sana kuhusu Chadema kuhudhuria hili jambo la kitaifa???Kwenye msiba mkubwa wa Meli iliyoua hawakwenda ila kwenye sherehe wanaenda .Aiseeee
Anyway naona Mbowe yuko.kwenye kampeni atabeba wajumbe kibao kwa pesa ya ruzuku awalaze mahoteli mazuri wale wanywe wajione na wao Ni sehemu ya kula ruzuku.Kumbe miaka yote alikula peke yake anataka kuwalambisha kakijiko kadogo ka chai sukari kidogo tarehe 18 December wampe kura
Mkuu mbona CCM mmepanic sana kuhusu Chadema kuhudhuria hili jambo la kitaifa???
Nawashauri wananchi watakao kuwa uwanjani, iwapo kutatokea kejeli, matusi na udhalilishaji wajibu mapigo kwa kuzomea sana kauli hizo...natumaini Raisi na wapambe wake hawatatoa maneno ya KEJELI, MATUSI, UDHALILISHAJI, au UBAGUZI, dhidi ya ujumbe na viongozi wa Chadema.
Kwenda kunangwa hilo lisisahaulike. Ngoja tuone japo sioni kama jiwe ana staha kwa wapinzani hasa cdm
Aende wapi! Kashindwa kwenda hapo Kurasini Askari wake Tisa (9) walio uawa Mkiru yeye anaenda kufungua zile expansion joints pale UDSM?..Hivi Jpm alikwenda kwenye huo msiba?
Hao ni wasanio tu wasikupe tabu.Mbowe akienda Kia anapanda ATCSasa kwenda Mwanza kutoka Dar wanakofanya kikao watasafiri na ndege zipi? Zile wanazozikashifu au watatumia ungo? Hiki chama kinafurahisha sana, yaani hata sherehe kubwa kama hizi bila figisu figisu za kisiasa haiwezekani. Tanzania kwanza mengine baadaye.
..lingine Jiwe asijisahau na kuanza kuzungumza KIKABILA.
..hizi ni sherehe za kitaifa, pamoja na kwamba zinafanyika kwao Mwanza.