View: https://www.youtube.com/watch?v=um3Oriab_Us&ab_channel=GlobalTVOnline

Ni kweli Mheshimiwa Rais Samia Wananchi hawasikilizwe na hao Ulio wachaguwa Wakuu Wa Mikoa. Kazi yao kubwa Wakuu wa Mikoa ni kutembea na Magari ya Serikali ya kifahari mijini Wakuu wa Mikoa hawaendi Vijijini kuwatembelea Wananchi na kujuwa shida zao. Wao Kazi yao kubwa Wakuu wa Mikoa kuzurura Mijini na Magari ya Serikali ya Kifahari Watumbuwe Mheshimiwa Rais.
 
""Makonda atakapopita pahala, akaitisha mkutano ili wenye matatizo mbalimbali wajitokeze, endapo hatatokea mtu kulalamikia utendaji basi ifahamike, Eneo hilo au jimbo hilo au mkoa huo, watendaji wake wanafanya kazi waliyotumwa na mwajiri wao kwa 100%." "
-Walalamikaji wakiwa wengi mno maana yake hapo mahala wateuliwa hakuna wanalofanya,
#Makonda anakwenda kugeuka kipima ugonjwa/Uwajibikaji. (Responsibility - meter)
 
Waanze tu kufanya kazi
Mheshimiwa Rais Samia anajitahidi kila muda kuwabadilisha Watendaji wakuu wa Serikali lakini hao watendaji wanamuangusha Boss Wao itabidi awatumbuwe sio kubadilisha nafasi Rais anatakiwa asiwaonee huruma wanaomuangusha katika kufanya kazi ya kuwahudumia Wananchi. Mpaka Apite Mr Makonda ndipo Wananchi wapate kulia jinsi wanavyo onewa na kutopata haki zao kutoka kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya? Rais Atumie nguvu kuwatumbuwa sio kuwa bembeleza Wazembe wa kazi.
 
Tatizo Wanawake tunadharauliwa mno
 
Upole wa Mama Rais ndio unaomponza na anao wachaguwa wanampanda kichwani na kusema Mama hatofanya kitu Mama Rais anatakiwa awe Mkali sio kuwabembeleza Wanaomuangusha katika utendaji wa kazi. Wanaochaguliwa wanatakiwa wawajibike kisheria kufanya kazi au waache kazi sio kuwa Wazembe katika kuwahudumia Wananchi haswa Wananchi walala hoi waVijijini .
 
Tunadhani hii case closed!

Wengi ndani na nje ya CCM mmekuwa mkihoji kwa nini Mwenezi wa CCM Paul Makonda amekuwa akifanya ziara na misafara mirefu kuliko hata PM na Naibu PM.

Katika ziara zake amekuwa akisikiliza kero za wananchi na kuwapigia simu papo kwa papo Waziri au Mkurugenzi na kutoa maagizo mazito. Wengi wamehoji mipaka yake ya kazi kama Katibu wa H/K Itikadi na Uenezi.

Akiwaapisha Wakuu wa Mikoa leo Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "utakuta mambo yanaharibika, haki za watu zinadhulumiwa, pesa zinatumika hovyo, yani mpaka Paul Makonda apite ayagundue ndipo yatatuliwe. Makonda ameyabaini mengi sana. Sasa msisubiri mpaka Makonda apite ndipo muwajibike".

Kwa kauli hii kila mtendaji wa Serikali na viongozi wote wa chama mtambue kuwa sauti ya Makonda ni ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa maneno mengine Paul Makonda ni Bosi wenu wote na ndio maana alimwagiza hata Waziri Mkuu na Makamu wa Rais.

Case closed!
Naunga mkono hoja
P
 
Kwa kauli amezidi kukipasua chama chake
 
Naunga mkono hoja
P
Mayala huwa nasikiliza/nasoma vyema hoja zako ila siku hizi unaunga saana mkono kila hoja, nikwakuwa uchaguzi umekaribia???
Je, huoni si sahihi chama kuiendesha serikali? Nchi hii si ya chama kimoja iweje serikali ikemewe na kupelekeshwa na mawazo ya chama kimoja/mtu mmoja.
Kwani Makonda ndiyo ana majibu ya kila tatizo nchi hii?? Yeye ndiye huwapa mpangokazi watumishi wa serikali?
Bora kazi hizi zingefanywa na kamati za bunge LAKINI siyo kijana mmoja tena aliye na dosari kadhaa katika nafasi alizopewa awali!!
Maoni yangu, Nchi iongozwe na mwanaume kama mpango wa Mungu kwamba kichwa ni mwanaume...
Wanawake hudanganyika kirahiiisi na kumwamini mtu ambaye pengine anatubomoa siyo kutujenga! Toka zamani tumeona tawala zikianguka kisa wanawake iweje Leo nchi yenye changamoto kila kona tunaamini mwanamke ndiye atayetuvusha? Vitabu gani vya dini vimetufunza haya? Sina ubaguzi LAKINI nisharti tufuate mpango wa Mungu.
 
Makonda dubwana la mama linamfanyia kazi wnayoitaka wale watendaji wa serikali ambao Kila siku wanafoka Leo mmejionea wenyewe sasa nendeni mkakalie viti Tu bila kuwahudumia wananchi kero zao
Upepo puliza tuone nyeti za kuku
 
Hicho ndicho kilicho mponza Magufuli na kisha kumbwaga Makonda mtaani.

Yaani Mamasamia haoni ?
 
Back
Top Bottom