Ati wanaokosoa wanafahamika... dah!
Hataki kujua au kuelezea kwa nini wanasimangwa/sengenywa! Kwa nini wanakosolewa!?
Mtu akijamba kanisani kwa Gwajima, ushuzi wenye harufu kaaali, watu wataacha kuulizana huyo mjambaji "kala maharage ya wapi?"
Huyo Mlalamikaji na awazuie watu wake wasijambe mahakamani, hata kama ni "wasomi" wenzake. Nje ya hapo, wenye pua zenye kunusa lazima watasema na kuuliza aina ya maharage wanayokula huko mahakamani - binadamu tuko hivyo
Na wajue pia, pamoja na vitisho vyote, huwa inafika mahali binadamu atasema liwalo na liwe, wamechoshwa na harufu ya ushuzi wao hata kama ni ya wasomi... dah!
Na huo ndg zangu ndo utamu wa katiba tuliyo nayo ambapo wanalinda maslahi yao kwa ujumla na kusahau ya walalamikaji. DAWA NI KATIBA MPYA kuondoa aina hiyo ya maharage