kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,785
Masalia ya mwenda zakeWote wanaofanya hivyo wanafahamika na kwamba siku zao zimekwisha .haya mambo kumbe bado yapo
Masalia ya mwenda zakeWote wanaofanya hivyo wanafahamika na kwamba siku zao zimekwisha .haya mambo kumbe bado yapo
ni aibu sana. Jaji mkuu anahukumu kesi bado inaendelea. Hii ni wazi hata mshtakiwa akionewa akakata rufaa jaji mkuu tayari atakuwa ameshaamua kabla ya rufaa.....ameshusha credibility yake kabisa.Si wanajitambulisha kwenye Space za wanaharakati kwani ni siri mkuu?
L nyinyi si mnasema mnaakili sana kuliko CCM sasa mbona mmeshindwa kuiondoa madarakani na akili zenu??
Kama haupo kwenye hii taaluma hauwezi kuelewa Mkuu. Tuishie hapo tu.Huwezi kutishia watu kwamba siku zao zina hesabika. Je akifa usiku huu??
Hakuna baba mpumbavu kama huyu.
Kama haupo kwenye hii taaluma hauwezi kumuelewa Mkuu. Tuishie hapo tu.Unatoa vitisho vya masaa ya kuishi, halafu unasema anawakemea?
akamfate mwendazake hiyo staili imeishapitwa na wakatiMwambieni zama za kutishana zilishapita.
akili zao kama mwendazake halafu hawana hekima yoyoteMajaji wa Magufuli wana matatizo.... Hata viwango vyao vinatia wasiwasi.
akili zao kama mwendazake halafu hawana hekima yoyoteMajaji wa Magufuli wana matatizo.... Hata viwango vyao vinatia wasiwasi.
musiba ,heri james na wengine wengi walikua wanatisha watu siku hizi siwasikii tenaKengeza la CCM linapofuka sasa
Rotten minds zote zinaandika Kama weweHamia kwa jirani,kila nchi ina miiko na maadili yake.
Stop that, Hakuna concept ngumu mtu, a common reasonable man kushindwa kuelewa kwenye Sheria, unasoma, unaelewa, una google, unauliza unajua. stop saying that...Kama haupo kwenye hii taaluma hauwezi kumuelewa Mkuu. Tuishie hapo tu.
Asante mheshimiwa kwa kutukumbusha kwamba hakuna kitakachobaki kama kilivyo ipo sikuMwanaHalisi Digital imemnukuu Jaji Mkuu wa Tanzania akikemea vikali tabia ya baadhi ya watu wakiwemo wanasheria ya kumkosoa Jaji au mwanasheria wa upande mwingine kiasi cha kumtaja kwa jina na picha yake, na wakati mwingine kutaja hadi mahali anakokaa...
una maana gani au ni muendelezo wa vitisho vya huyo msambaa ?Asante mheshimiwa kwa kutukumbusha kwamba hakuna kitakachobaki kama kilivyo ipo siku
Luka 12:2
Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, kila kilichofichika kitafichuliwa.
J
Jaji Mkuu yuko SAWA, hao WANAWASHAMBULIA hivyo na yeye anayo haki ya KUWASHAMBULIA kwa mkwara mzito na hata ikibidi KWA VITENDO. Kama wana hoja waende huko kwenye mfumo wao wa Mahakama waitafute haki yao. Siyo kufanya mambo kama watu ambao hawakusoma.