..huo ni utaratibu wa zamani.

..utaratibu mpya ni makamu, halafu waziri mkuu.

..mabadiliko hayo yalifanyika wakati wa Rais Mkapa.
Uko sahihi kwa mjibu wa marekebisho hayo

37.- (3) Where the President is absent from the United Republic or is unable to discharge the functions of his office for any other reason, the duties, and functions of the President shall be discharged by one of the following, in the order specified, that is to say -
(a) the Vice President or, if his office is vacant or if he is also absent or is ill; then
(b) the Prime Minister.
(4) Where the Prime Minister is discharging the duties and functions of the office of President by reason that the Vice President is absent, then the Prime Minister shall cease to discharge such duties and functions i
 
Waziri mkuu atashika madaraka kwa muda wakati uchaguzi unaitishwa.

Iliwahi kutokea Zanzibar Rais Aboud Jumbe na Waziri Kiongozi wakajiuzulu.

Rais Mwinyi akateuliwa kama Rais wa muda hadi uchaguzi mkuu ukaja baada ya miezi mitatu.

Swali zuri sana.

 
Kwani umeoteshwa nini 😂😂😂
 
Spika ndo ataongoza nchi kw miezi 3.
Spika nae akifa kabla ya kufika miezi 3 ya uchaguzi anachukua jaji mkuu.
Jaji mkuu nae akifa kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu anachukua naibu Spika .
Wote hao wakifa kwa pamoja jeshi linachukua nchi .
 
Hiyo inatumika kwa mazingira yapi chief ?
Jamaa kauliza endapo Rais na Makamo wakiaga dunia,DS inatumika pale inapotokea Viongozi wote wa juu (next to the throne) wanapokutana eneo moja sasa pale kiusalama ni risk sana lazima abaki mtu atayesimama kama Rais endapo kuna jambo litatokea kwa hao wengine kwa pamoja.
 
Nipe kifungu cha katiba mkuu.
Kasome katiba ibara ya 37 ibara ndogo ya (3) isome na vifungu vyake yani (a), (b) na (c). Unawez pia kuendelea kujifunza ukasoma ibara ndogo ya 4 na vifungu vyake utapata jibu la maswali yako

Lakini namlaani mtoa mada kwa kuwa na mawazo ya kishetani dhidi ya viongozi wetu wakuu wa nchi.
 
Spika...ila ungeuliza akifa Rais,makamu na spika pia (maana ikitokea huyu jamaa sijui).
 
Umepanga kufanya nini mkuu?
 
Kipindi Trump akiwa raisi wa USA nilipata kujifunza kuhusu Katiba yao kwamba ikitokea Raisi na Makamu wao hawapo labda kifo, ugonjwa au chochote kile basi Spika wa House anachukuwa Uongozi wa nchi.

Sasa je, hapa kwetu hivi sasa najua Raisi asipokuwepo automatic Makamu wake anaongoza nchi, ikitokea je, wote wawili kwa wakati mmoja kwa sababu isiyoweza kuzuilika hawapo au hawawezi kuongoza ni nani anayefwata ? Nani atakuwa automatic raisi wa nchi ?
Asanteni!
 
Kwa akili ya ccm walijitahidi sana kumtoa spika kushika hicho kiti Ina maana Kuna siku kibIkimtu kama kitulia kingeshika ukaimu raisi,hapo tungechanganyikiwà kuliko yule kifimbo cheza ndungai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…