Kati ya iPhone 17 pro max na Samsung Galaxy S26 Utra ninunue simu ipi ?

Kati ya iPhone 17 pro max na Samsung Galaxy S26 Utra ninunue simu ipi ?

Kwa wewe mwanamke asee na umeshajipata wai IPHONE mapema ilo tambo linawapa cv kubwa wanawake nakuwapandisha thaman kwenye muonekano,pia inawafanya wajiamin kwenye watu na tena kama wanawake au hawa wadada wanauza VIPOCHI MANYOYA hua wanagopwa au kupewa thaman kubwa sana na wateja wao (zingatia kitu kipochi manyoya),pia kama mwanamke unaemiliki ofisi au mtu muhimu watu wakikuona na ilo tambo basi watu pia huongeza umakin kwako na kutoa thaman ya ofis au huduma utoayo na kuaminika
 
Mawasiliano , Picha , kuperuzi , games nk
Wewe ni mpenzi wa android au iOS? Kama unapenda android chukua S 26 ultra, kama unapenda iOS chukua iphone 17. Ki-ufanyaji kazi, hazina tofauti kubwa. Kwa mfano mimi huwa naona hizi S-ultras zote zina dezign na mwonekano mzuri sana lakini kinachonikwamisha kununua ni kuwa mimi siyo mpenzi wa android hata kidogo hivyo huwa naona nitumie Iphone.
 
Battery kwa Samsung hiyo inakaa muda Gani ikiwa ume
connect Wi-Fi
VPN on muda wote
Streaming kwa sana
Ku peruzi kwa sana
Na kuchat kwa sana

Betry litaka muda gani
Ngumu kujua mkuu, bila kuitumia. Kwa mfano hawa reviewers wamereview Samsung Galaxy S26 Ultra wakapata inakaa na chaji 16hrs 10min kwa matumizi yao na namna wanavyofanya test

Labda test ambayo tunaweza kurelate ni Screen time test, ambayo Samsung Galaxy S26 Ultra nimeona mahali ina jumla ya 7hrs SOT. Hii inajumlisha (Very high brightness use, heavy gaming, too much streaming, using internet and so on)
7hrs screen time kwa simu ni nzuri, hii maana yake kwa watumiaji wengi watapata siku nzima ya chaji kuanzia asubuhi hadi usiku, kwa sababu kikawaida hautatumia mwanga hadi 100% all the time especially kwa kioo chenye mwanga mkali kama S26 Ultra, sio kila siku utafanya heavy gaming, na pia hata kama internet kuwa ON ulaji wa chaji ni wa kawaida sana, sio kama heavy gaming

Kwa hiyo kwa watu wengi S26 Ultra itakuwa ni simu ya kutumia asubuhi hadi usiku

iPhone 17 Pro Max ina 9hrs screen time, which is EXCELLENT, ila zote mbili ni awesome kwenye ukaaji wa chaji
 
Hizo ni latest phones mkuu
Hapo yoyote ule utakayochagua ni kali, iwe iPhone 17 Pro Max au Samsung Galaxy S26 Ultra
Cha kufanya angalia tu ipi inauzwa bei ya chini kuliko nyingine
Simu zote zina very high quality display, very high quality cameras, zinatunza sana chaji, zina processor strong sana, zina speaker nzuri sana, zote zina Desktop Mode na kila simu hapo imekamilika
Kwa iPhone utapata premium liquid glass design kwenye software na kwa Samsung utapata privacy display na better video stabilisation

Muhimu zaidi wakati unachagua simu highend kama hizi angalia unapenda iOS au Android. Kama unapenda iOS nunua iPhone kama unapenda Android nunua Samsung. Kuhusu ubora wa simu hapo kila simu ipo vizuri. Ni A+

Binafsi ningechukua Samsung kwa sababu ya Android na pia One UI ina customization na features nyingi kuliko iOS
Shukran sana mkuu kwa maelekezo mazuri , binafsi sijawahi kutumia iOS nimezoea Android tokea nianze kutumia smart phones .

Nimepata hasira sitaki brand nyingine zaidi ya hizo mbili sababu nimetakiwa kuunganisha na huduma fulani ambazo inahitajia simu lazima iwe na Android kuanzia 9 na iwe inasapoti NFC.

Nina Vivo yangu nzuri naipenda Android 15 , Ram 12 storage na processor Iko safi nikadhani nimeula na nimemtumia miaka karibia mi 2 bila shida yeyote kila kitu kinaoperate vizuri , ila juzi nimetest NFC haina imeniuma sana wakati bei niliyonunulia ningeweka kwenye Samsung hata ya kawaida tu ingeakuwa na NFC nisingepata tabu ya kutafuta simu mpya

Kitu kinachoitwa NFC nilikuwa sijui kabisa katika maisha yangu mpaka juzi baada ya kuambiwa lazima simu yangu iwe na NFC ndio niunganishwe na mifumo ya huko hapo ndio nikakumbuka msemo wa rafiki yangu kuwa " kama sio Samsung au Iphone basi hauna simu "
 
Chukua XIAOM 17 PRO MAX

hautajutia..ni tsh mil 2.8
Sasa hivi nikinunua simu sitoki kwenye brand za Samsung au Iphone maana sasa nimepata matokeo coz natumia simu brand nyingine halafu aina NFC na nimetakiwa niwe na NFC kuAccess hizo huduma .

Bei ambayo nilinunulia hiyo simu nusu yake napata Samsung yenye hizo huduma . Nimejifunza kuwa brand kubwa hawaachi kuweka vitu muhimu kwenye simu yao.
 
Wewe ni mpenzi wa android au iOS? Kama unapenda android chukua S 26 ultra, kama unapenda iOS chukua iphone 17. Ki-ufanyaji kazi, hazina tofauti kubwa. Kwa mfano mimi huwa naona hizi S-ultras zote zina dezign na mwonekano mzuri sana lakini kinachonikwamisha kununua ni kuwa mimi siyo mpenzi wa android hata kidogo hivyo huwa naona nitumie Iphone.
Sijawahi kutumia simu kinyume na za Android
 
Shukran sana mkuu kwa maelekezo mazuri , binafsi sijawahi kutumia iOS nimezoea Android tokea nianze kutumia smart phones .

Nimepata hasira sitaki brand nyingine zaidi ya hizo mbili sababu nimetakiwa kuunganisha na huduma fulani ambazo inahitajia simu lazima iwe na Android kuanzia 9 na iwe inasapoti NFC.

Nina Vivo yangu nzuri naipenda Android 15 , Ram 12 storage na processor Iko safi nikadhani nimeula na nimemtumia miaka karibia mi 2 bila shida yeyote kila kitu kinaoperate vizuri , ila juzi nimetest NFC haina imeniuma sana wakati bei niliyonunulia ningeweka kwenye Samsung hata ya kawaida tu ingeakuwa na NFC nisingepata tabu ya kutafuta simu mpya

Kitu kinachoitwa NFC nilikuwa sijui kabisa katika maisha yangu mpaka juzi baada ya kuambiwa lazima simu yangu iwe na NFC ndio niunganishwe na mifumo ya huko hapo ndio nikakumbuka msemo wa rafiki yangu kuwa " kama sio Samsung au Iphone basi hauna simu "
NFC mbona simu nyingi zinazo mkuu. Sio kweli kusema kuwa kama sio Samsung au iPhone basi hauna simu
Kiuhalisia simu kibao zina NFC
Xiaomi 12, 13, 14, 15, 15 Pro, Xiaomi 17, 17 Pro, 17 Pro Max, Google Pixel 6, 7, 8, 9 hadi 10 zote, Sony Xperia 1 Mark II, III, IV, V, VI, VII zote hizi mpaka simu za bei rahisi kama Redmi Note 14 zina NFC
Kama sababu ni NFC tu, simu zipo nyingi. NFC ipo hadi kwenye simu za laki 3 wala sio premium feature
 
Shukran sana mkuu kwa maelekezo mazuri , binafsi sijawahi kutumia iOS nimezoea Android tokea nianze kutumia smart phones .

Nimepata hasira sitaki brand nyingine zaidi ya hizo mbili sababu nimetakiwa kuunganisha na huduma fulani ambazo inahitajia simu lazima iwe na Android kuanzia 9 na iwe inasapoti NFC.

Nina Vivo yangu nzuri naipenda Android 15 , Ram 12 storage na processor Iko safi nikadhani nimeula na nimemtumia miaka karibia mi 2 bila shida yeyote kila kitu kinaoperate vizuri , ila juzi nimetest NFC haina imeniuma sana wakati bei niliyonunulia ningeweka kwenye Samsung hata ya kawaida tu ingeakuwa na NFC nisingepata tabu ya kutafuta simu mpya

Kitu kinachoitwa NFC nilikuwa sijui kabisa katika maisha yangu mpaka juzi baada ya kuambiwa lazima simu yangu iwe na NFC ndio niunganishwe na mifumo ya huko hapo ndio nikakumbuka msemo wa rafiki yangu kuwa " kama sio Samsung au Iphone basi hauna simu "
Chukua Samsung Galaxy S26 ultra imekamilika kwa kila kitu;
 
Mnawezaje kutoa hela zote hizo kununua simu? Kuna refurbished kibao 400K tu unapata simu kali. Anyway sikupangii
Mimi nipo tofauti sipendi vitu used tatizo hela tu , ningejipata nisingeruhusu hata kitu kimoja used kwangu.

Kwenye simu ndio kabisa Bora nitumie hata miaka mi5 kujitafuta nipate kitu kipya kuliko used kama sina bora nichukue kitu low quality lakini kipya kuliko kitu bora halafu used , Kisaikolojia nakuwa siko proud na kuFeel comfortable kutumia .

Hata hiyo I phone pro max 17 used mtu aseme aniuzie kwa Laki mbili Mimi Bora Laki mbili yangu nikanunue Xiaomi mpya , huo ni kama ugonjwa wa Kisaikolojia ambao ninao
 
Ya nini yote hayo?. Mtu wa kuvunja mpaka kibubu ya nini simu ya gharama hivyo? Nataka nikusanue matumizi ya simu ni yale yale hata ulinunua simu ya laki 7 nzuri.

Sasa basi nunua tu simu ya kawaida lakini nzuri kweli kwa picha na mambo mengine yote sawa na hiyo ya milioni 4. Nunua SAMSUNG S 21. Bonge la simu,kubwa kubwa ina line 2 (mimi sitakagi kubeba masimu mengi simu moja tu line 2 fresh).
Hiyo simu inacheza laki 8,9 haizidi milioni. Nunua used from UK hivi maana madukani mpya siku hizi copy ni nyingi.

Hapo utasave hela nyingi zaidi. Endelea kuweka kibubu hiyo iliyobaki,weka malengo mengine kuna kiwanja,kujenga,kuna gari weka malengo kama hivyo. Simu ya laki 7,8,9 mpaka M inatosha sana na ni kubwa kubwa nzuri kwa muonekano matumizi ni zaidi ya hayo maiphon
 
Moja kwa moja .

Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano .

Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya kununua simu isizidi Million 4 , sasa katika pitapita zangu simu zinazotrend sasa Duniani ni hizo.

Lengo la simu ni kwa ajili ya Matumizi tu ya kawaida , naomba wajuzi wa simu wanipe ushauri simu ipi kwa kuzingatia ujumla wa ubora na ufanisi katika kila angle itakuwa Bomba zaidi kununua ?

View attachment 3557732

#UziTayari
Kabla ya kufAnya Uamuzi wa simu Fanya Uamuzi wa os Kwanza, iOS na Android ipi kwako ipo fresh? Kama hujali software na matumizi ni mAdogo then ndio unakuja kwenye model husika.

Samsung kama unanunua Tanzania Wana best warranty, inayocover Hadi kioo, pia kwenye Mambo ya Ai wapo vizuri.

Otherwise simu zote zitakupa experience nzuri kuanzia camera, ukaaji chaji, software etc
 
Wewe Una afadhali na imani kidogo.

Yupo jamaa mmoja humu alikopa simu ya 37,5000/= akawa anatakiwa alipe karibia 800,000/= na ushee ndani ya mwaka hata nikajiuliza kama jamaa kichwani ni mzima.
Inategemea na kampuni inayokopesha Mkuu, nakumbuka kipindi fulani DLight walikuwa wanakopesha Samsung A05 kwa kianzio 90k halafu rejesho 2k per day kwa muda wa mwaka mmoja na mwezi mmoja, hadi kumaliza rejesho ilikuwa inagharimu 933k
 
Kitu kinachoitwa NFC nilikuwa sijui kabisa katika maisha yangu mpaka juzi baada ya kuambiwa lazima simu yangu iwe na NFC ndio niunganishwe na mifumo ya huko hapo ndio nikakumbuka msemo wa rafiki yangu kuwa " kama sio Samsung au Iphone basi hauna simu "
Kwani hiyo NFC ni mdudu gani hata awe kwenye hizi simu mbili tu hapa?yumkini labda kuna hatua hukuzipitia au ulikuwa huzijui ili kuipata hiyo NFC
Screenshot_2026-03-14-13-55-10-058_com.android.settings.jpg

Screenshot ni kutoka Redmi Note 12 Pro simu ya zamani kidogo but naona inayo hii future,hiyo Vivo inayo pia enable developer option utaiona.
 
Back
Top Bottom