Kati ya iPhone 17 pro max na Samsung Galaxy S26 Utra ninunue simu ipi ?

Kati ya iPhone 17 pro max na Samsung Galaxy S26 Utra ninunue simu ipi ?

Sasa hivi nikinunua simu sitoki kwenye brand za Samsung au Iphone maana sasa nimepata matokeo coz natumia simu brand nyingine halafu aina NFC na nimetakiwa niwe na NFC kuAccess hizo huduma .

Bei ambayo nilinunulia hiyo simu nusu yake napata Samsung yenye hizo huduma . Nimejifunza kuwa brand kubwa hawaachi kuweka vitu muhimu kwenye simu yao.
Huduma za Near Field Communication zipo kwenye simu nyingi sana
 
NFC mbona simu nyingi zinazo mkuu. Sio kweli kusema kuwa kama sio Samsung au iPhone basi hauna simu
Kiuhalisia simu kibao zina NFC
Xiaomi 12, 13, 14, 15, 15 Pro, Xiaomi 17, 17 Pro, 17 Pro Max, Google Pixel 6, 7, 8, 9 hadi 10 zote, Sony Xperia 1 Mark II, III, IV, V, VI, VII zote hizi mpaka simu za bei rahisi kama Redmi Note 14 zina NFC
Kama sababu ni NFC tu, simu zipo nyingi. NFC ipo hadi kwenye simu za laki 3 wala sio premium feature
NFC sio main driving factor ya kutaka hizo brand najua Kuna Pixels , LG na wengine wanayo ni kama extra tu ila hizo brand ndio naona best kwenye simu.

Developer options ndio wapi naomba unielekeze maana nimesearch setting sijamkuta NFC Wala hiyo developer option
 
Mi sijui kama simu yako ina NFC au haina
Lakini Developer options ili uipate nenda Settings halafu About phone halafu Build number, gusa neno build number mara 5 au zaidi harakaharaka mpaka ikuambie You are now a developer
Ikishakuambia hivyo nenda Settings search bar, andika Developer options, utaiona
 
Usinunue hadi nami nipate hela ili tunynue wote.

Usawa uzingatiwe mwezi huu wa ramadhani.
Good idea , bado sijapata ila nimeweka malengo mwaka huu usiishe niwe nimejipata In Shaa Allaah.

Jitafute at least mpaka mwezi wa 9 tuwe tumenunua wote In Shaa Allaah
 
Kwani hiyo NFC ni mdudu gani hata awe kwenye hizi simu mbili tu hapa?yumkini labda kuna hatua hukuzipitia au ulikuwa huzijui ili kuipata hiyo NFC
View attachment 3557845

Screenshot ni kutoka Redmi Note 12 Pro simu ya zamani kidogo but naona inayo hii future,hiyo Vivo inayo pia enable developer option utaiona.
Nimewasha on developer options lakini hamna kitu
 
Kama unapendelea kupiga picha ukiwa mbele ya mirror umenyanyua na mkono juu kidogo kuonyesha misuli!!! (jokes)

Nakushauri nunua IPhone.
 
Mnawezaje kutoa hela zote hizo kununua simu? Kuna refurbished kibao 400K tu unapata simu kali. Anyway sikupangii
Hamna refurbished high end inauzwa laki 4, tena hizi zilizotoka mwaka huu.

Tafuta hela bro ukipata hela bei za hizi simu hazikuumizo kichwa
 
Good idea , bado sijapata ila nimeweka malengo mwaka huu usiishe niwe nimejipata In Shaa Allaah.

Jitafute at least mpaka mwezi wa 9 tuwe tumenunua wote In Shaa Allaah
Pamoja sana mkuu. Mwaka huu tusiwe wanyonge bhana.
 
Back
Top Bottom