Kati ya iPhone 17 pro max na Samsung Galaxy S26 Utra ninunue simu ipi ?

Kati ya iPhone 17 pro max na Samsung Galaxy S26 Utra ninunue simu ipi ?

Watu wanazungumzia iphone na samsung galaxy wewe unazungumzia android na ios ni sawa na wale wanaoshindwa kutofautisha uislam na waarabu au ukristo na uzungu
 
Nashauri nenda na Samsung Fold 6. Hili ni balaa na nusu.
 
Watu wanazungumzia iphone na samsung galaxy wewe unazungumzia android na ios ni sawa na wale wanaoshindwa kutofautisha uislam na waarabu au ukristo na uzungu
Hizo simu mbili Alizoleta mleta mada zinatumia hizo OS ndio maana ameulizwa kwanza anapendelea OS gani? Kutokana na alivyotumia huko nyuma?

Kama alipenda IOS basi achukue iPhone na kama anapendelea android achukue Samsung
 
Back
Top Bottom