adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,115
- 38,551
Moja kwa moja .
Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano .
Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya kununua simu isizidi Million 4 , sasa katika pitapita zangu simu zinazotrend sasa Duniani ni hizo.
Lengo la simu ni kwa ajili ya Matumizi tu ya kawaida , naomba wajuzi wa simu wanipe ushauri simu ipi kwa kuzingatia ujumla wa ubora na ufanisi katika kila angle itakuwa Bomba zaidi kununua ?
#UziTayari