Achana naee huyooo... Nunua samsung series kijanaa hizo rednote za mabeki tatu ni tekno iliyochangamkaaAhsante kwa ushauri boss ,Japo wanadai ni android 11
Acha dharau ndugu,kwa hiyo sisi tunaotumia Infinix tunatumia uchafu?Yaani uache redmi note 11 ununue uchafu wa A13? Simu nzuri Kwa Samsung anzia S-series, A-series ni kama Infinix tu
Acha dharau ndugu,kwa hiyo sisi tunaotumia Infinix tunatumia uchafu?Yaani uache redmi note 11 ununue uchafu wa A13? Simu nzuri Kwa Samsung anzia S-series, A-series ni kama Infinix tu
Haswaa bila shaka ni uchafu...Ila nimemnukuu ndugu aliyewasilishaAcha dharau ndugu,kwa hiyo sisi tunaotumia Infinix tunatumia uchafu?
chukua infinix note 12 8gb/128Ahsante kwa ushauri boss ,Japo wanadai ni android 11
Samsung. Nunua kwa wahind au mwarabuHabari zenu wakuu,
Naombeni ushauri wenu ninunue simu ipi nzuri kati ya "Xiaomi Redmi Note 11" na "Samsung Galaxy A13"?? Bajeti yangu ni Laki 450,000(Tsh)
Note:Napenda Camera nzuri pia display yenye mvuto.
Ahsante.
Kwani hiyo Redmi note 11 ni kwa ajili ya kina nani?..first class people?Upgrade to 12 , ni mwehu tuu anayeweza kuacha redmi note 11 anunue A13 a.k.a for Africa...
Samsung simu anzia S-series, A-series third world countries
Yaani uache redmi note 11 ununue uchafu wa A13? Simu nzuri Kwa Samsung anzia S-series, A-series ni kama Infinix tu
Habari zenu wakuu,
Naombeni ushauri wenu ninunue simu ipi nzuri kati ya "Xiaomi Redmi Note 11" na "Samsung Galaxy A13"?? Bajeti yangu ni Laki 450,000(Tsh)
Note:Napenda Camera nzuri pia display yenye mvuto.
Ahsante.
Sasa A13 haifui dafu kwa note 11,kwanini achukue hiyo sasa? Yani display ya a13 ni plc lcd ufananishe na AMOLED YA note 11?Achana naee huyooo... Nunua samsung series kijanaa hizo rednote za mabeki tatu ni tekno iliyochangamkaa
Wewe unasemaje?Kuna watu wanasema siku zote kua Xiaomi ni Tecno iliochangamka