Ninunue simu ipi kati ya iPhone 14 pro max au Samsung galaxy note 22 ultra?

Ninunue simu ipi kati ya iPhone 14 pro max au Samsung galaxy note 22 ultra?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,591
Reaction score
31,128
Wadau naombeni ushauri wenu nahitaji kununua simu Kati ya hizi mbili nichukue moja tu, mzigo wa pesa umetema January hii mapema tu mwaka nauanza vizuri.

Zikiwa zote ni gb 516 internal storage Kati ya iPhone 14 pro max na Samsung galaxy note 22 ultra ni ipi inanifaa nikienda hata bitch na maeneo ya kula bata najidai nakuitoa mbele za celebrities bila wasiwas.

N. B. kujenga nyumba sio kipaombele changu kwahiyo ushauri wa maisha yangu achana nao.

samsung-glaxy-note-22.jpg
images%20(12)%20(5).jpg
 
Wadau naombeni ushauri wenu nahitaji kununua simu Kati ya hizi mbili nichukue moja tu, mzigo wa pesa umetema January hii mapema tu mwaka nauanza vizuri

Zikiwa zote ni gb 516 internal storage Kati ya iPhone 14 pro max na Samsung galaxy note 22 ultra ni ipi inanifaa nikienda hata bitch na maeneo ya kula bata najidai nakuitoa mbele za celebrities bila wasiwas.

N. B. kujenga nyumba sio kipaombele changu kwahiyo ushauri wa maisha yangu achana nao View attachment 2481786View attachment 2481787
S22 ultra is the best....
 
Hakuna Samsung Galaxy Note 22, Note series ilishakufa na iliishia Note 20 Ultra
Hebu hakiki machaguo yako, halafu ndo uje uulize tena humu. Mi ukiweka simu ya Samsung ambayo inaexist, nitakuja kucomment ipi kali na kwa sababu zipi
 
Back
Top Bottom