NasDaz, rejea hoja yangu, nadhan huku katikati tumeanza kugawana njia, hatetewi mtu, nilieleza wasiwasi wangu na mambo yote yaliyocenter around the whole issue na nkaiweka hiyo clip ili at least kushed light kuwa ipo technologia ya kulishana maneno kwenye hii planet earth, Na nikaelezea kuwa asbh ya jana watu walikita urguments zao kuwa mtu anawezaje kulishwa maneno??? Ndio nikaweka hiyo kutoa mwanga kwa wale wote wasiofahamu hii maneno. Bado tunamsubiri muhusika/mahakama kutueleza ukweli, hili sio jukwaa la kuhukumu au kukanusha tuhuma. Ila tu ni vyema tukawa na mtazamo mpana zaid katika ujengaji wa hoja zetu.Mkuu wangu Bill,
Mtu pekee mwenye uwezo wa kulikanusha kwa sasa, ni Lwakatare mwenyewe! Inakuwaje mtu mwingine akanushe suala linaloonekana kufanywa na Lwakatare wakati mtu huyo hatembei na Lwakatare?! Mkuu wangu wewe unafahamu hivi sasa Lwakatare anafanya nini na yupo wapi?! By the way, hakuna anayebisha kwamba hamna video manipulation technology, lakini uwepo wa teknolojia hiyo kusitufanye kuzikataa video zote zilizo na side effect kwetu wakati hakuna uchunguzi wowote ambao ume-prove otherwise!! What you all do hapa ni ku-paste online tutorials on how to fabricate videos.....hiyo peke yake haiwezi kuwa ushahidi tosha kwamba Lwakatare's video is also ni fabricated!
NasDaz, rejea hoja yangu, nadhan huku katikati tumeanza kugawana njia, hatetewi mtu, nilieleza wasiwasi wangu na mambo yote yaliyocenter around the whole issue na nkaiweka hiyo clip ili at least kushed light kuwa ipo technologia ya kulishana maneno kwenye hii planet earth, Na nikaelezea kuwa jana asbh kuna kundi kubwa la watu waliliegemeza urguments zao kuwa mtu anawezaje kulishwa maneno??? Ndio nikaweka hiyo kutoa mwanga kwa wale wote wasiofahamu hii maneno. Bado tunamsubiri muhusika/mahakama kutueleza ukweli, Jukwaa hili halina jurisdiction ya kuhukumu au kukanusha tuhuma hii. Ila tu ni vyema tukawa na mtazamo mpana zaid katika ujengaji wa hoja zetu.Mkuu wangu Bill,
Mtu pekee mwenye uwezo wa kulikanusha kwa sasa, ni Lwakatare mwenyewe! Inakuwaje mtu mwingine akanushe suala linaloonekana kufanywa na Lwakatare wakati mtu huyo hatembei na Lwakatare?! Mkuu wangu wewe unafahamu hivi sasa Lwakatare anafanya nini na yupo wapi?! By the way, hakuna anayebisha kwamba hamna video manipulation technology, lakini uwepo wa teknolojia hiyo kusitufanye kuzikataa video zote zilizo na side effect kwetu wakati hakuna uchunguzi wowote ambao ume-prove otherwise!! What you all do hapa ni ku-paste online tutorials on how to fabricate videos.....hiyo peke yake haiwezi kuwa ushahidi tosha kwamba Lwakatare's video is also ni fabricated!
. Mzito K, nimeiona tangu day one, niliamua kunyamaza tuu kwa sababu sometime, one needs not to add an "insult to an injury!". Hiyo kitu ni "bonafide genuine" na haijarekodiwa na "security camera", bali imerekodiwa na kamera ya kwenye simu!. Rwakatare anaonyesha yeye sio "right person" kwa issue za kiusalama, ndio maana amaweza kurekodiwa ki mburula kabisa!, the right person for security matters, should have "high security alert!", hao mburula waliokuja kumrekodi, machale yangemcheza hata kabla hawajaanza huo umburula!.Hiyo mashine( Mzee Mwanakijiji ) na Pasco ndio nasubiri analysis zao. Wengine wanajaribisha tu..
Kufuatia suala la Lwakatare kushika kasi humu jamvini, zimetokea hisia na mawazo tofauti sana baina ya wachangiaji mbalimbali juu ya mada hii ya kurecordiwa Lwakatare kupanga kumdhuru mwandishi. Wengi tulihoji sana uwezekano wa hii ishu kama ni halisi/si halisi. Kutokana na kuwa gizani kitechnologia, wengi hadi ninavyoongea hivi bado huwezi kuwabadilisha mawazo kuwa technolojia inaweza ikahusika katika kufake ile clip. Na kutokana na suala hili kugubikwa na propaganda za kisiasa, watu wamesahau hata technologia rahiti tu ya kuifanya midomo ya Cartoon icheze kulingana na maneno yanayotamkwa na cartoon/robot.
Kuweka kumbukumbu vizuri tarehe za mwanzon kabisa za mwaka huu mpya Mwigulu Nchemba alitueleza kuwa alikuwa na mkanda unaoonyesha viongoz (wengi) wa chadema kupanga mauaji. Mkanda umetoka tumeona kiongozi mmoja tu ndo anayepanga mauaji, kupungua kwa washiriki kutoka kwa viongoz hadi kiongozi, inahusishwa na ugumu uliopo wa kuinvolve watu wengi kwenye kufake/kulisha maneno watu wengi kwenye clip moja.
Aidha, baada ya tukio la utekwaji wa kibanda, wameibuka Nape na Ridhiwani hadharani na kuongea wakiwa na confinence ya 100% kuwa ''hawa wenzetu wa upinzani''/na ''safari hii pia mseme kuwa Ikulu/Rama/Magogoni ndio wanaohusika, kazi iliyopaswa kufanywa na vyombo vya dola. Siku chache baadaye Single ya Lwakatale ikatambulishwa rasmi kupitia Youtube na immediately ikatua jamvini na hata Polisi kuipata habari hii via Jamvini/Youtube na sio kwa Mwigulu. Sasa ukiconnect dots.......unaruhusiwa kabisa kufikiri kuwa tayari wenzetu wa upande wa pili walisha preview hii clip waliyoshiriki kuiandaa na ndo mana walikuwa na uhakika kuwa kwa level yetu ta technology, ni rahisi sana kushawishika kwa hii clip kuwa ni halisi.
Tulishasikia pia Wassira akitamka kuwa CDM lazima ife 2013, wengi hatukuelewa na hadi sasa hatujaelewa alikuwa anamaana gani kutamka maneno kama yale mtu wa makamo yulo. Sasa kauli za hivi za kumtamkia kifo mwenzio zinasignal kuwepo kwa mkakati wa maksudi wa kumuua mwenzio??Aidha, CCM katika vikao vyao vya CC/NEC, ccm walijadili kwa kina namna ya kudeal/kuisambaratisha CDM badala ya namna ya kutumikia umma wa watanzania waliowaweka madarakani. Hapa pia panazaa jambo.
Baada ya utanguliz huu naomba niimwage kwenu faked clip ya Barack Obama ili at least tujue tu kuwa suala la kulishwa maneno linawezekana. BOFYA A Bad Lip Reading of Barack Obama's Inauguration (Legendado PT-BR) - YouTube. Aidha, clip hii isikuzuie kuendelea kuamini unachokiamini, mimi nimeonelea tu niwafahamishe wale wote wenzangu ambao asubuh ya leo tulihisi sio kitu kinachowezekana hapa duniani.
Asante kwa kuweka ushahidi mathubuti wa KITEKNOLOJIA! Ukweli video clip ile ya Lwakatare kwa mtu anayejua IT ni kitu cha kugushi. Hata aliyeitengeneza anajua hivyo na ndo maana hakuipeleka Polisi moja kwa moja kwani mwisho wa siku angebambwa. Lakini kwa mtu wa kawaida inaweza kumfool akadhani ni kitu cha kweli! Wana CCM tungependa kuona CCM ina-JIBU HOJA ZA cdm KWA HOJA ZENYE NGUVU YA USHAWISHI BADALA YA KUHANGAIKA KUCHONGA HILA. Ni aibu kwa CCM!Kufuatia suala la Lwakatare kushika kasi humu jamvini, zimetokea hisia na mawazo tofauti sana baina ya wachangiaji mbalimbali juu ya mada hii ya kurecordiwa Lwakatare kupanga kumdhuru mwandishi. Wengi tulihoji sana uwezekano wa hii ishu kama ni halisi/si halisi. Kutokana na kuwa gizani kitechnologia, wengi hadi ninavyoongea hivi bado huwezi kuwabadilisha mawazo kuwa technolojia inaweza ikahusika katika kufake ile clip. Na kutokana na suala hili kugubikwa na propaganda za kisiasa, watu wamesahau hata technologia rahiti tu ya kuifanya midomo ya Cartoon icheze kulingana na maneno yanayotamkwa na cartoon/robot.
Kuweka kumbukumbu vizuri tarehe za mwanzon kabisa za mwaka huu mpya Mwigulu Nchemba alitueleza kuwa alikuwa na mkanda unaoonyesha viongoz (wengi) wa chadema kupanga mauaji. Mkanda umetoka tumeona kiongozi mmoja tu ndo anayepanga mauaji, kupungua kwa washiriki kutoka kwa viongoz hadi kiongozi, inahusishwa na ugumu uliopo wa kuinvolve watu wengi kwenye kufake/kulisha maneno watu wengi kwenye clip moja.
Aidha, baada ya tukio la utekwaji wa kibanda, wameibuka Nape na Ridhiwani hadharani na kuongea wakiwa na confinence ya 100% kuwa ''hawa wenzetu wa upinzani''/na ''safari hii pia mseme kuwa Ikulu/Rama/Magogoni ndio wanaohusika, kazi iliyopaswa kufanywa na vyombo vya dola. Siku chache baadaye Single ya Lwakatale ikatambulishwa rasmi kupitia Youtube na immediately ikatua jamvini na hata Polisi kuipata habari hii via Jamvini/Youtube na sio kwa Mwigulu. Sasa ukiconnect dots.......unaruhusiwa kabisa kufikiri kuwa tayari wenzetu wa upande wa pili walisha preview hii clip waliyoshiriki kuiandaa na ndo mana walikuwa na uhakika kuwa kwa level yetu ta technology, ni rahisi sana kushawishika kwa hii clip kuwa ni halisi.
Tulishasikia pia Wassira akitamka kuwa CDM lazima ife 2013, wengi hatukuelewa na hadi sasa hatujaelewa alikuwa anamaana gani kutamka maneno kama yale mtu wa makamo yulo. Sasa kauli za hivi za kumtamkia kifo mwenzio zinasignal kuwepo kwa mkakati wa maksudi wa kumuua mwenzio??Aidha, CCM katika vikao vyao vya CC/NEC, ccm walijadili kwa kina namna ya kudeal/kuisambaratisha CDM badala ya namna ya kutumikia umma wa watanzania waliowaweka madarakani. Hapa pia panazaa jambo.
Baada ya utanguliz huu naomba niimwage kwenu faked clip ya Barack Obama ili at least tujue tu kuwa suala la kulishwa maneno linawezekana. BOFYA A Bad Lip Reading of Barack Obama's Inauguration (Legendado PT-BR) - YouTube. Aidha, clip hii isikuzuie kuendelea kuamini unachokiamini, mimi nimeonelea tu niwafahamishe wale wote wenzangu ambao asubuh ya leo tulihisi sio kitu kinachowezekana hapa duniani.
Hii statement inanitia moyo sana maana inaonekana chama kuna kitu kinafahamu kuhusu hii Clip, either kinamjua muandaaji wa mpango mzima au kinajua source ya hii mambo.kama kweli amekamatwa kwa sababu ya hiyo video, ukombozi ukombozi ukomboziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii umefika Tanzania. Dr slaa
Nadhani wenye maamuzi ya
mwisho ni polisi, pamoja na kwamba mtuhumiwa ametokea upinzani,
nitawaomba polisi wetu wasitumie upinzani kama kigezo cha kumhukumu
mtuhumiwa. Lwakatare apewe haki yake kama Lwakatare na kama raia
mwingine yeyote wa nchi hii.. Nadhani aliyeweka hii video alikuwa na
mawazo hasi na upinzani ndiyo maana anawauliza wa "CHADEMA, hapa
Lwakatare anamaanisha nini?.. Kwa uelewa wangu huyu mtu hana dhamira
njama kwa Nchi yetu ya Tanzania, anaweza kuwa mtu hatari sana katika
mipango na mikakati yote ilyokwisha ripotiwa ya mauaji, utekaji na
uumizwaji wa raia, waandishi na wanaharakati mbalimbali hapa Tanzania.
Nadhani Polisi wangeanza na huyu mtu angeweza kuwasaidia sana katika
utekelezaji na upelelezi wa makosa yanayofanana na haya. Nachoona hapa
ni hiki,.
Rai yangu njema, nawaaomba polisi wamsake huyu mtu atawasaidia sana
- Mweka video alishiriki katika kuiandaa clip hii kikamilifu.
- Anatumiwa na watu wasiyoitakia mema Nchi yetu ya Tanzania,
- Ana mtandao ambao huratibu uchafu wote unaofanywa na hawa magaidi
ndiyo maana anahisisha mambo ya utekaji yanayoendelea hapa nchini na
vyama vya upinzani hususani CDM.- Anaweza kuwa ni mtu wa system mwenye dhamana ndiyo maana hakupeleka
hii clip sehemu husika kama kituo cha polisi akiogopa atatoa ushirikiano
ambao utamfanya ajulikane..- Anaweza akawa anajua ukweli wa mambo mengi sana maovu yanayotokea
hapa nchini ya kihalifu na kigaidi, na kama ni mwandishi wa habari,
anafaa zaidi katka upelelezi.
katika kubaini njama mbalimbali za uovu zinazoendelea hapa nchini.. Kama
ni mtu mwenye nia njema atajitokeza ili awasaidie polisi katika
kufahamu mambo yafuatayo.
- Hizo video nyingine za mikakati ya mauaji
- Sehemu ilitumika katika kurekodia video hizi,
- Mtu/taasisi iliyo nyuma yao katika kufadhili mpango huu,
- mbinu nyingine chafu ambazo wameshafanikisha na ambazo ziko kwenye
pipeline.
Nawasilisha...
Kama nilivyochangia katika thread inayohusu video ya Lwakatare
1.Anayerekodi anamuongoza mzungumzaji kwa kumwambia maneno "niweke? mmh hapoo? haya" . pia anamuelekeza arudie maneno.
2.Imerekodiwa bar, watu wanapitapita wanasalimia na kutaja majina yao. Kwa watu makini hawawezipanga mpango hatari kwenye eneo la wazi hivyo.
3.Sura ya muongeaji si halisi na tone yake si halisi.
4.Anayerekodi anachomeka jina la Zitto kuhalalisha mpango.
JIPANGENI UPYA KUHARIRI VIZURI NA ALIYEHARIRI AMECHEMKA
MemberArrayMkuu patriote,
mi naamini ni yeye lwakatare, isipokuwa amechezewa mtego na anaowaamini. Mambo haya ya kutafutana na kuwindana kujua nani mbaya na nani adui wa chama ni ya kawaida kwenye siasa na hata kwenye biashara kubwa..
Kilichomtokea Lwakatare ni imani kupita kiasi kwa vijana wake wa upelelezi. Haonekani kuzungumzia mauaji wala kupiga mtu lakini inavyoônyesha alitaka kumtisha huyo adui yake. Walichokifanya watu wake ni kumchokoza tu nae akaingia mkenge kwa kudhani ni ishu ya kawaida ya mazungumzo ya kirafiki.
kudeal na Ccm ni kudeal na wakubwa, kwa ukuaji wa Chadema wa spidi ya namna hii Ccm wako radhi kutoa pesa yoyote wapate information za kukivuruga chama. Hawa vijana wamemuuza Rwakatare kwa vipande vya fedha.
lakini pia kwa kuisikiliza clip hii ni wazi Rwakatare hajui chochote kuhusiana na masuala ya utekaji au mauaji., nasema hivyo kwa sababu hajuihata dawa za usingizi au spray zinauzwaje, nadhani ndo kwanza anajifunza. Pili hakuwatuma kuua bali kumteka kwa lengo la kumtisha. Hatahivyo muda utatupa picha kamili
Wew mwaka wa ngapi ni chichman wa ccm.,unajua nin kuhusu uozo au unafikir tumekuja dunian leo...peleka pango ilo lumumba wanalihitaji...Tatizo nyie mmeolewa na chadema hata ikifanya uozo mnautetea.
. Mzito K, nimeiona tangu day one, niliamua kunyamaza tuu kwa sababu sometime, one needs not to add an "insult to an injury!". Hiyo kitu ni "bonafide genuine" na haijarekodiwa na "security camera", bali imerekodiwa na kamera ya kwenye simu!. Rwakatare anaonyesha yeye sio "right person" kwa issue za kiusalama, ndio maana amaweza kurekodiwa ki mburula kabisa!, the right person for security matters, should have "high security alert!", hao mburula waliokuja kumrekodi, machale yangemcheza hata kabla hawajaanza huo umburula!.
Hiyo ngoma ni ya kweli, ila naamini "was acting alone!" na sio mpango wa chama!. Leo tangu asubuhi "clouds Radio wana cheza hizi clips!".
Politics is a very "dirty game!".
Pasco.
Kama ndivyo basi wangefanya hivyo kwa viongozi maarufu wa CHADEMA kama Mbowe na Slaa na siyo huyu Lwakatare ambaye siyo maarufu kihivyo. Wacheni kukimbia kivuli chenu, unyama wa CDM sasa umewekwa hadharani na kila Mtanzania mwenye nia njema na afahamu hivyo. Tunaishi na wanyamaPatriote,
Nimekubali. Ni kweli aisee!!! Maneno yanayosikika utadhani yalitamkwa na Obama kabisa kumbe fake. Ile video ya Lwakatare ni fake kabisa!!!