Proposal editing Shilling 50 (Tsh 50) kwa neno moja.Proposal editing kiasi gan?
Sounds good dealProposal editing Shilling 5 (Tsh 5) kwa neno moja.
Ondoa shaka boss,haya mambo mpaka ulaya yanafanyika. Jaribu kutembea kidogo ni mambo ya kawaida sana. Usiogope.Sasa kama mtu undergraduate hawezi kuandika Cover letter+CV...
2. Postgraduate anataka aandikiwe Research Proposal?????
Kama ndivyo... basi Elimu yetu ipo kuzimu...
Inamaana walimu hakuna na mitaala inakosa timely and satisfactory pre-requisite courses na walimu wazuri that are dedicated for teaching job.Sasa kama mtu undergraduate hawezi kuandika Cover letter+CV...
2. Postgraduate anataka aandikiwe Research Proposal?????
Kama ndivyo... basi Elimu yetu ipo kuzimu...
Ni tuition kwa namna ingineOndoa shaka boss,haya mambo mpaka ulaya yanafanyika. Jaribu kutembea kidogo ni mambo ya kawaida sana. Usiogope.
Tuna brash kazi inapendeza kabisaSounds good deal
Sio tuition boss, jaribu kutafuta exposure utaona ni kawaida. Hata kubrush viatu pia inatakwa ufanye mwenyewe lakini unapompelekea mtu akufanyie sio kwamba huna elimu ya kubrush viatu?Ni tuition kwa namna ingine
Wew unajua mpaka kuandika hivi... nmetembelea nchi gani+ elimu yangu ni ipi...??? Kiufupi.. mnaaibisha sana Elimu ya Tanzania.. ungesema plagiarism checker though kuna software nowdays... au Unafundisha Statistical tools like Python; SPSS; STATA.. andiko linatia Kinyaa kwa ubora wa Elimu .. trust me...Ondoa shaka boss,haya mambo mpaka ulaya yanafanyika. Jaribu kutembea kidogo ni mambo ya kawaida sana. Usiogope.
Kuna kuandika CV ilimradi na kuandikiwa CV yenyewe ni vitu viwili tofauti. Sisi tunakuandikia CV yenyewe boss. Haya ni mambo ya kawaida labda tumekosa exposure tu. Hata ulaya yapo haya hiyo haimaanishi hawana elimu.Inamaana walimu hakuna na mitaala inakosa timely and satisfactory pre-requisite courses na walimu wazuri that are dedicated for teaching job.
Elimu iko dhoofu
Boss wapo wanaohitaji hii huduma wewe endelea kujiandikia wala hamna tatizo. Kila mtu na chaguo lake. Just be positive, usitake wenzako wawe kama wewe unavyotaka kuwa. Wengine elimu yao inawatosha na huwezi kujua kila kitu.Wew unajua mpaka kuandika hivi... nmetembelea nchi gani+ elimu yangu ni ipi...??? Kiufupi.. mnaaibisha sana Elimu ya Tanzania.. ungezema P
Sawa ila uhalisia itakuwa zaidi ya hapo kama sio sasa siku zijazo. Ubwete ni jadi huku AfricaKuna kuandika CV ilimradi na kuandikiwa CV yenyewe ni vitu viwili tofauti. Sisi tunakuandikia CV yenyewe boss. Haya ni mambo ya kawaida labda tumekosa exposure tu. Hata ulaya yapo haya hiyo haimaanishi hawana elimu.
Very nice observation kudos🙏Wew unajua mpaka kuandika hivi... nmetembelea nchi gani+ elimu yangu ni ipi...??? Kiufupi.. mnaaibisha sana Elimu ya Tanzania.. ungesema plagiarism checker though kuna software nowdays... au Unafundisha Statistical tools like Python; SPSS; STATA.. andiko linatia Kinyaa kwa ubora wa Elimu .. trust me...
Zaidi ya kuzimu.......ukipitia CV na Barua za maombi ya kazi unaweza kulia.....then unakuta cheti mtu ana 3.8 GPASasa kama mtu undergraduate hawezi kuandika Cover letter+CV...
2. Postgraduate anataka aandikiwe Research Proposal?????
Kama ndivyo... basi Elimu yetu ipo kuzimu...
Basi inatosha. Wengine hatujazoea kufikiri negativity. Na wengine hatuhitaji hizo python boss. Elimu ni pana sana kila mtu anashika anapopaweza. Kama umeona kwenye python kuna gap nunua computer anza kuwafundisha watanzania.Wew unajua mpaka kuandika hivi... nmetembelea nchi gani+ elimu yangu ni ipi...??? Kiufupi.. mnaaibisha sana Elimu ya Tanzania.. ungesema plagiarism checker though kuna software nowdays... au Unafundisha Statistical tools like Python; SPSS; STATA.. andiko linatia Kinyaa kwa ubora wa Elimu .. trust me...
na kuandika ni kias gani?Proposal editing Shilling 5 (Tsh 5) kwa neno moja.