chanzo changu makini kimeniambia polis wamezidiwa kariakoo na sasa wameomba msaada kwa wanajeshi na wanajiandaa kwenda kutuliza ghasia
maeneo ya upanga zimepita gari tatu za jeshi zinaenda kumwaga watu uko zilikua spidi nimeshindwa ata kuchukua picha,jamaa wanaonekana wananjaa ya kuua mana hawajapigana mda mrefu sana
Bora JWTZ waingilie kati.... dawa ya hao wanoleta fujo kuwakamata na kuwapeleka magereza za mbali kama Nansio, Kyaka, Bunda, Ruangwa, Tunduru, Kibondo, Loliondo, Chunya, Kiabakari, Liwale, Mbulu, Kateshi, Ukerewe wakapumzike kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu...... iwe ni taabu hata jamaa zao kwenda kuwaangalia.....