Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Pigaaaaa.... Its presidential order.... Pigaaaaa
 
nikiwa maeneo ya magomeni naziona gari nne aina ya roli zenye wanajeshi wa kutosha wakiwa na silaha za kutosha wakielekea kariakoo. kwa upande wa hapa magomeni msikiti wa kichangani wametulia baada ya ffu kupiga mabomu ya machozi matatu na gari la kuwasha limepaki katika mlango wa kuingilia msikitini.

Acha uongo gari la maji kuwasha lipo mbali kwenye kituo cha mafuta Gapco.
 
Hiyo amri wameipata wapi wakati amiri jeshi hayupo, au ametuma kwa email na simu...
 
  • Thanks
Reactions: awp
Unatoa taarifa kwa polisi kuwa waislam wameingia jangwani?
 
chanzo changu makini kimeniambia polis wamezidiwa kariakoo na sasa wameomba msaada kwa wanajeshi na wanajiandaa kwenda kutuliza ghasia

maeneo ya upanga zimepita gari tatu za jeshi zinaenda kumwaga watu uko zilikua spidi nimeshindwa ata kuchukua picha,jamaa wanaonekana wananjaa ya kuua mana hawajapigana mda mrefu sana
 
Nikiwa maeneo ya Magomeni naziona gari nne aina ya roli zenye wanajeshi wa kutosha wakiwa na silaha za kutosha wakielekea mitaa ya Kariakoo/Jangwani.

Kwa upande wa hapa Magomeni, msikiti wa kichangani wametulia baada ya FFU kupiga mabomu ya machozi matatu na gari la kuwasha limepaki katika mlango wa kuingilia msikitini.

waende zao malawi wakatetee ziwa,,,,,,,,
 
Maeneo ya Kkoo JK naona anaaka kufuta usemi wa Ponda kuwa anachekacheka tu!
 

Attachments

  • Screen_20121019_144041.jpg
    Screen_20121019_144041.jpg
    33.8 KB · Views: 359
Nipo kwenye gari lakini macho yangu yamepatwa na moshi wa mabomu kwa kweli tunapoelekea tusipokuwa makini tutakuwa kama Gaza.

Serikali ya ccm hiyo imevimbiwa amani
 
Hawa wa2 bwana mm cwaelewi kabisa,wanajifanya wamezaliwa na vurugu,2me2lia wanajidai wanajua,wanataka wamiliki na serikali kabisa,itafika mahala hawatataka rais awe mkristo watasema hawataki kuongozwa na kafiri,dawa yao ipo motoni,shenzi type
 
Mpaka sojas wanaanza kutumika! kazi kwelikweli, lakini haya ndio matokeo ya wale waliokuwa wakipaza sauti zao kuleta udini na mambo mengine wakati wanatafuta kura kwenda ikulu. Tutaona mengi.
 
Mbona hatuoni Kiongozi yeyote wa Serikali akiliongelea jambo hili au wote wamesha kimbia?.
 
Niko mtaa wa nkruma tayari vijana wamepita na DIFENDA, ivyo najua kamanda wetu COVA yuko tayari kukabiliana nao.
 
Nimepata taarifa kutoka kwa jamaa yangu mwanajeshi wa kambi ya lugalo kuwa wameambiwa wajiandae na kuelekea k.koo maramoja.

Wameshaenda muda tu,, hao ni kikosi cha 34 cha pale lugalo, huwa wako standby daily..,
 
Back
Top Bottom