Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Naomba kutoa angalizo.

Mjadala usibebe dharau kwa waislamu wote maana kuna wengine haya mambo yanatuchukiza jinsi yanavyo kuwa handled kwa taswira ya vurugu ambayo matokeo yake ni kuiharibu amani ya wote (waliomo na wasio kuwemo).

Naamini uislamu hauhimizi vurugu kwenye kukabiliana na mambo ya msingi bali huhimiza busara na hekima kwenye kuitafuta haki ikiwa ni pamoja na kuufanya upendo ushamiri.

Pole sana mkuu,
sasa nyinyi wengine mnafanya nini kuonyesha kwamba wanaofanya wenzenu sio matakwa ya DINI yenu?
Si mnakaa kimya tu ndio maana mnachanganywa wote?
Ponda akitoa tamko kwani kuna siku hata moja mmeshawahi kumpinga hadharani na kusema uislamu hausemi hivyo?
Bila kufanya hizo juhudi, kila siku mtakuwa treated like birds of the same feather...
 
mimi nadhani njia pekee ya kamati kuu ya CCM kuunda tume maalum. kuangalia athari ya ubaguzi wa kidini unaosambaa. haiwezekani tabaka moja la kidini linakuwa na sauti kubwa na jengine kuonekana kiroja ndani ya jamii. hii waislam wengi linatuumiza. hata muunde jeshi, muajiri CIA, FBI. tatizo hili halitaondoka.
Haiwezekani Kuna mkataba kati ya kanisa na serekali kutoa fedha za umma kwa ajili yao halafu unataka watu wavumiliane. kama kuvumiliana muanze CCM na CHADEMA . tuanona kila siku chadema wanaandama kupinga uonevu wa polisi na CCM

Someni,mkisoma vizuri hayo yote hayatakuwepo.Sasa tangia umeanza kuishi ni lini na wapi ulisikia ukiwa na cheti cha MADRASA utapata kazi au sauti kwenye jamii.
 
Hadi sasa mbona sisikii wangapi waislam wameuawaaaa....ndio kitu nasubiri..... Kama hakuna naingia mtaani....
 
na kulinda amani ya nchi,kurudisha hali ya utulivu kunapokuwa na fujo nakusaidia kwenye maafa.tembelea web-page yao ujisomee shekhe wangu.

Hizo zinaangukia kwenye state of emergency. Je rais kishalijulisha taifa? Utaratibu tuliouzoea polisi wanatakiwa wafanye kazi hiyo
 
sipati picha hii ya leo. kesho lazima msikie maafa kutokana na huu mziki wa leo. Ukisikaa paaaa...!!. ujue imekukosa. mia
 
Mohamedi, ni vizuri watu wakaangalia hii incident kwa uwazi. Hao wanaoleta fujo sio waislam, ni vibaka.period. And given the opportunity hata kama wangekuwa wapagani wangefanya wanayofanya sasa.

Waislam wanatakiwa sasa wa-claim dini yao toka kwa hawa vibaka wanaoitumia kuleta fujo. For too long hii dini imechezewa na hawa semi-illiterates.

Mkuu, vibaka nao wametoka kuswali msikitini leo siku ya Ijumaa?
Wale waliomzunguka Ponda ni vibaka?
Ponda ni kibaka?
 
dawa ni kuwatendea haki waislam kama vile wakirsito. hata muagize majeshi, waislam na wakiristo hawaishi kambi za jeshi. wanaishi mitaani ambapo majeshi hayafiki hata yakifika yanwezekana yakachelewa kuja siku ya tukio

Haki ipi hiyo? Mgaiwe shule, hospital zinazo milkiwa na makanisa? Nani aliwatuma kucheza bao na mdumange badala ya kusoma?
 
Technique hii nimeipenda. ipo siku ccm itawaheshimu waislam kama wanawaheshimu wakiristo

Mkuu, tatizo sio kuwa serikali haiwaheshimu Waislamu, bali Waislamu nao wanajidhalilisha. Ismailia na Shia Ithnasheri sio Waislam?
Hata Mch Lusekelo aka Mzee wa Upako ashawahi kuwashukia Wapentekoste wenzake kuwa hawako organised na ndio maana serikali haiwasikilizi, mtu leo anajiita Mchungaji, kesho akiamka anajiita Askofu, keshokutwa anajigeuza anajiita Mtume na Nabii!
 
hawa wanaoleta vurugu ni makundi ya wahuni wanaofichamia udini lakini nimejaribu kupita ktk misikiti yote leo mchana sikuona wakitumwa kuandamana ama kuleta vurugu,na walioamua kuleta fujo kariakoo wana ajenda yao,wanataka kuiba mali za watu
 
dawa ni kuwatendea haki waislam kama vile wakirsito. hata muagize majeshi, waislam na wakiristo hawaishi kambi za jeshi. wanaishi mitaani ambapo majeshi hayafiki hata yakifika yanwezekana yakachelewa kuja siku ya tukio

ndo hivyo hatulingani akili.wanafikiri hao wanajeshi wakiua leo hao jamaa ndo mwisho wa tatizo.ukweli ni kwamba hawatawamaliza na sekeseke litaendelea.
Inatakiwa haki ipatikane FULL STOP.
 
kweli,nimeona hii.. Mungu ibariki Tanzania
 

Attachments

  • kakoo.jpg
    kakoo.jpg
    25.2 KB · Views: 88
😛uke: :hail: MWISHO WA HAYA NI AIBU! :A S 109:
 
Naomba kutoa angalizo.

Mjadala usibebe dharau kwa waislamu wote maana kuna wengine haya mambo yanatuchukiza jinsi yanavyo kuwa handled kwa taswira ya vurugu ambayo matokeo yake ni kuiharibu amani ya wote (waliomo na wasio kuwemo).

Naamini uislamu hauhimizi vurugu kwenye kukabiliana na mambo ya msingi bali huhimiza busara na hekima kwenye kuitafuta haki ikiwa ni pamoja na kuufanya upendo ushamiri.

Mkuu bora umetoa hili angalizo,

Binafsi hapa nipo kazini na niko na rafiki yangu ambae ni Mwislam......Unamwangalia machoni unaona moyoni mwake the way anavyoumia na ametoa kauli moja nzito sana asubuhi ya kujisikia vibaya akiwa kama Mwislam juu ya yanayoendelea..

Ni muhimu ndugu zetu waelewe kuwa hali hii madhara yake ni makubwa na mara nyingi (unaweza jifunza kwa wenzetu) haileti ule uhuru na kile kinachogombaniwa bali huacha makovu ambayo huetengeneza mwanya mbaya sana kwa cohesion ya jamii

Itawaumiza sio Wakristo tu kama wanavyodhani, itaumiza wengi sana wakiwamo na wao wenyewe....Siamini kama kuna Mungu anaetaka hivi na kwa mantiki hii, sitaki kuamini kama "Allah" au Mtume (SAW) analikubali hili...otherwise nisaidiwe kuamini hivyo LAKINI KWANGU HADI SASA...HAO NI WAHUNI WACHACHE WALIOJIVIKA MWAMVULI WA KIDINI KUFANYA MAMBO YA AJABU...Tumeona makundi haya maeneo mengi na mwisho wake ni hatari kwanza kwa ustawi wa dini husika lakini pia wa taifa kwa ujumla

Lets pick some lessons kwa wengine.....Otherwise, I can see Tanzania katika hali mbaya than Nigeria.....Al-shabaab nahisi wananukia (This is such a golden opportunity kwao) na makundi mengine

DINI ZITUPE HEKIMA YA KUWA WAVUMILIVU NA KUSTAWISHA JAMII ZETU BADALA YA KUZIDHOOFISHA JAMII HUSIKA
 
Back
Top Bottom