Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,482
- 9,517
hapa si bure kutakuwa kuna m2 nyuma yao
Anawafanya nini?
hapa si bure kutakuwa kuna m2 nyuma yao
Ipi hiyoOly in Tanzania
Waislam wanapigania haki yao
Aliyeyaaanzisha haya ya udini kwa sasa anakula kuku Oman uaneni sana sijui mtasingizia mnaonewa? kiongozi wa nchi ni mchamba wima mwenzenu........
waislam wamekusudia kuanzisha " The War Within" na hapa kuna mkono wa mtu.
hebu kama wewe una idea na ungozi japo kidogo,mshauri mheshmiha afanye je.mfano;awaache tu wanaochoma makanisa waendelee?wanaokojolea misahafu awaache tu au?hebu jenga hoja maana kumtukana huju bwana hakusaidii cha msingi shauri unachodhani kinafaabado magomeni, tandale ,temeke hadi kibaha, yasogee kidogo hapo chalinze, moro, tanga, halafu tz amani kwishney..ole wako kikwete kuiharibu nchi huna leadership quality kazi kujichekesha chekesha tu kama $høw gäl
abatoba!haya shime tuendeni airport tuhakikishe jakaya hakanyagi tena nchi hii abakie huko huko oman atutaki mumiani wa kuharibu nchi yetu atokomee huko huko
هؤلاء الناس ليسوا من الأشياء الجيدة لذلك ينبغي التنزانيين زملائي مغادرة البلاد فورا!
watu wote wangekuwa wanajenga hoja za kichochezi kama wewe hii nchi sahizi ingekuwa majivu.mungu akusamehe bure kwani hujui ulitendalo.amen!aliyeyaaanzisha haya ya udini kwa sasa anakula kuku oman uaneni sana sijui mtasingizia mnaonewa? Kiongozi wa nchi ni mchamba wima mwenzenu........
ni haki gan wanayo pigania na imenyang'anywa na nani? Na wao wanapigana na naniOly in Tanzania
Waislam wanapigania haki yao