Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

watoto wao wakiwa mabinti, haraka wanapelekwa mkoleni badala ya tuitions mpaka unasahau time-table! Wana kazi ya kupika majungu na kula urojo, sasa hayao ndio matokeo, na bado!!! Someni ndugu zanguni!

Umeonaeeee ni mandazi sana hawa jamaa
 
Hivi waislamu wanamuabudu Mungu yupi huyo anaeagiza wafanye fujo na vurugu??. Napendekeza kutolewe upendeleo maalum kwa vijana wa kiislamu, waende shule, hata kama hawajui kitu. Shule tu ndiyo itakayowakomboa hawa watu kutoka ktk giza walimo!! na ndio njia pekee ya kujenga amani ya kudumu hapa TZ dhidi ya hawa watu. Ni kukosa kwao elimu ndiko kunaleta haya yote. Nina hakika Asilimia 99 ya wale wote walioandamana hapo kk elimu yao ni chini ya kidato cha nne, ila yawezekana wamemaliza juzuu zote. Naililia nchi yangu TZ!
 
Wewe badala ya kutoa Hoja unaleta dharau kwa waislamu wote.....

Mbona tunawaona kwenye sala zenu manvyopandisha majini hadharani....mnaongea lugha za ajabu ajabu...itakuwa mnafuga majini ya KItaliano nyinyi.....utasikia pereeee pwekeeeed ghuusd...
Halafu mnaita ile sala?. watu wanaruka sehemu moja hadi nyengine...huyo mungu wenu anayewatuma mruke ruke vile ili sala imfikie atakuwa kiziwi tu
mkuu una walimu wangapi? na wa kutoka nchi gani? makata, maimuna ama mkongo? ahahahahahahaaa very interesting aise, Sote waislamu na wakristu ni ndugu, tatizo lenu uelewa mdogo.... makata?
 
Hata kama Amiri Jeshi Mkuu yuko nje, wasaidizi wake wanafanya kazi maana lengo ni kuepusha uvunjifu wa amani na umoja wa kitaifa.

CHADEMA wote wamehamia serikalini leo. Ndio kawaida ya As-habul Shimali inapotokea Waislam wananyanyaswa wao huungana na serikali. Kibao kikigeuka nao hugeuka. Na bado. Udini mliouanzisha huko makanisani mwenu utawatokea puani mwaka huu.
 
mimi nadhani njia pekee ya kamati kuu ya ccm kuunda tume maalum. Kuangalia athari ya ubaguzi wa kidini unaosambaa. Haiwezekani tabaka moja la kidini linakuwa na sauti kubwa na jengine kuonekana kiroja ndani ya jamii. Hii waislam wengi linatuumiza. Hata muunde jeshi, muajiri cia, fbi. Tatizo hili halitaondoka.
Haiwezekani kuna mkataba kati ya kanisa na serekali kutoa fedha za umma kwa ajili yao halafu unataka watu wavumiliane. Kama kuvumiliana muanze ccm na chadema . Tuanona kila siku chadema wanaandama kupinga uonevu wa polisi na ccm
mkuu tatizo lenu nyie unafki,hapo kwenye red sio tu mnacholalamikia,.baadae mtataka kadhi kwenye katiba,oic,elimu mpasishwe hata mkifeli,na mwishowe mtataka wote tuwe waislam!!!mara ngapi mnavunja mabucha ya nguruwe na kuchoma baa?mna agenda ya siri ya kuisilimisha tanzania,..that won't happen as long as we live,.
 
Tunaingia kwenye anarchy?...siamini kama hii ingeweza kutokea Tanzania. Tizameni channel ten sasa hivi
 
Wajasiriamali wakaokote kandambili! yeboyebo! barakhashia,misaafu! chezea JWTZ eeeeh! mtajuta kuwafahamu!
 
Wewe badala ya kutoa Hoja unaleta dharau kwa waislamu wote.....

Mbona tunawaona kwenye sala zenu manvyopandisha majini hadharani....mnaongea lugha za ajabu ajabu...itakuwa mnafuga majini ya KItaliano nyinyi.....utasikia pereeee pwekeeeed ghuusd...
Halafu mnaita ile sala?. watu wanaruka sehemu moja hadi nyengine...huyo mungu wenu anayewatuma mruke ruke vile ili sala imfikie atakuwa kiziwi tu

Ndugu yangu umeniacha hoi sana,

Nimekufananisha na mtu aliyemuona mwenzake anakojoa barabarani, kisha akamwambia eneo hili haliruhusiwi kujisaidia na alipomaliza kumwelekeza mwenzake na yeye akachojoa nguo zake akaanza kumwaga haja kubwa...

Double standards or??
 
Hivi waislamu wanamuabudu Mungu yupi huyo anaeagiza wafanye fujo na vurugu??. Napendekeza kutolewe upendeleo maalum kwa vijana wa kiislamu, waende shule, hata kama hawajui kitu. Shule tu ndiyo itakayowakomboa hawa watu kutoka ktk giza walimo!! na ndio njia pekee ya kujenga amani ya kudumu hapa TZ dhidi ya hawa watu. Ni kukosa kwao elimu ndiko kunaleta haya yote. Nina hakika Asilimia 99 ya wale wote walioandamana hapo kk elimu yao ni chini ya kidato cha nne, ila yawezekana wamemaliza juzuu zote. Naililia nchi yangu TZ!
 
Acha iwe hivyo maana waislamu tunataka tuheshimiwe kama wanavyoabudiwa dini zingine na serikali

Mkuu waislam hatuwezi kuheshimiwa kwa hivi vitendo vyetu vya kihuni na ujinga tunavyovifanya sasa.

Tukazane kusoma, kufanyakazi na kujiheshimu na hiyo heshima tunayoitaka itakuja tu.
 
mkuu tatizo lenu nyie unafki,hapo kwenye red sio tu mnacholalamikia,.baadae mtataka kadhi kwenye katiba,oic,elimu mpasishwe hata mkifeli,na mwishowe mtataka wote tuwe waislam!!!mara ngapi mnavunja mabucha ya nguruwe na kuchoma baa?mna agenda ya siri ya kuisilimisha tanzania,..that won't happen as long as we live,.
waislam wanataka haki sawa kwa raia wote ambalo limeonekana gumu kwa watawala na wasiasa wengi watz
 
Shida ni kwamba wakisema kitu waislam hupewa. Walililia Kadhi wakapewa, hata sijui wanafanyia nini ila matokeo yake ndiyo haya. Majuzi wameandamana kwenda polisi bila kibali cha polisi haohao lakini hadi kulindwa wakalindwa. wakawalazimisha mapolisi wawaachie wakorofi wenzao wakakubaliwa tena kwa kubembelezwa. Wakasema na bado, wanakwenda kumfukuzisha kazi mkurugenzi wa baraza la mitihani bila hata kibali ati kwa sababu wanafunzi wa mtihani wa kiislam wamefelishwa sana (sababu za ajabu sana - mtihani wa kiislam kwani anayetunga na kusahihisha ni serikali????).

Hawawezi kushikishwa adabu kwa sababu Mkuu wa nchi ni mwana, Namba mbili mwana, Mkuu wa Polisi mwana, Jaji Kiongozi mwana, Mkuu Kova DSM mwana.......... Kapachikwa mtoto wa mkulima pale hana hata sauti na anapigwa chini mchana kweupe! Spika kawekwa pale kuuzia sera tu lakini mtunza maelekezo ya walioko juu.

(Nasikia mabomu mawili Magomeni , la tatu ....) Ngoja nikimbie... MNAHARIBU NCHI WAISLAM, mmechoma makanisa mpaka mtageuka vichaa, nanyi mtachomwa moto hivyo hivyo, Tubuni msijepatwa na mabaya kumkasirisha Mungu. Unachoma nyumba ya MUNGU?????? ULANIWE ufanyaye machukizo kwa kudhamiria.
 
shule nzuri sana mbona majibu yapo wazi ponda sio muislamu, muislamu safi havamii eno la mtu na kuondoka na nondo na cement ni vibaka tu huwa wanafanya hivyo na ndio maana yupo mahakamani

Sasa kama Ponda sio muislamu, how come after the Friday's prayers, waislamu wanaandamana?
Na hao wanaoandamana si wanataka Ponda aachiwe?
Hapo ndio mnapotuchanganya, hadi sasa hatujui kwenye waislamu kuna makundi mangapi?
Ponda si katibu wenu? Kwani mmesha m denounce?
 
Hivi waislamu wanamuabudu Mungu yupi huyo anaeagiza wafanye fujo na vurugu??. Napendekeza kutolewe upendeleo maalum kwa vijana wa kiislamu, waende shule, hata kama hawajui kitu. Shule tu ndiyo itakayowakomboa hawa watu kutoka ktk giza walimo!! na ndio njia pekee ya kujenga amani ya kudumu hapa TZ dhidi ya hawa watu. Ni kukosa kwao elimu ndiko kunaleta haya yote. Nina hakika Asilimia 99 ya wale wote walioandamana hapo kk elimu yao ni chini ya kidato cha nne, ila yawezekana wamemaliza juzuu zote. Naililia nchi yangu TZ!

Wewe ni mwehu. Wewe elimu hiyo imekusaidia nini? Nyie Wakristo mliosoma si ndio mnaongoza kwa ufisadi nchi hii na kulihujumu Taifa? Kodi yote tunayolipa si inakwenda kujenga makanisa kupitia MoU? Chokochoko zenu dhidi ya Waislam karibu zitawatokea puani. Ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom