mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,732
- 1,610
Critism zao wanaziweka kimitego sana kiasi kwamba huwezi kuvunjika moyo wala kukata tamaa.Hiki ulicho kisema ni sahihi kabisa .. Hata Mimi pia nina hii experience
Mfano mdogo angalia barua ya Pompeo. Pompeo angeweza kumtuhumu makonda kwa mauaji, ila aliandika kwamba wana mtuhumu kwa kunyima haki ya kuishi.
Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app