Kama Taifa ifikie nyongeza ya mshahara iwe inadaiwa mahakama kuu pale serikali inapowanyima wafanyakazi bila sababu za msingi

Wewe mburula acha upuuzi. Unapingana na katiba ya JMT?
Utapata kisukati kwa mawazo wewe.
Ivi akilizenu nifupi kiasigani, unaona sifa kujilizaliza kama mjinga mwaka wa sita sasa unaomba mshahara hujaongezwa na unaendelea kuishi kwa mshahara huohuo na hujafa, huoni kama unafaakupuuzwa??.

Umevurugwa mbaka unaniambia mimi na pingana na Katiba, mindio ninae kulipa mshahara??

Jifunze kuwa na plani B wewe kizee ndio mana mkistaafu mnakufa dakika sifuritu.
 
Tatizo lako ndio hilo, tokea upate hasara kutokana na uchaguzi, umekengeuka. Nataka kukuhakikishia mahakama ni chombo huru na kama watanzania wakitulia wanapata haki zao.

Habari za kumsujudia ibilisi zinatoka wapi?

Huru kwenye kukomoa wenye mitazamo tofauti na serikali, na sio huru kwenye kutoa hukumu za haki dhidi ya serikali ya majizi ya kura. Naona umeingia na id hii na sio ile nyingine ya kuchukulia point dhidi ya Cdm. Ww ulikuwa unashabikia ule udhalimu wa yule shetani aliyeko motoni, hivyo kaa kwa kutulia maana huna jipya.
 
Utapata kisukati kwa mawazo wewe.
Ivi akilizenu nifupi kiasigani, unaona sifa kujilizaliza kama mjinga mwaka wa sita sasa unaomba mshahara hujaongezwa na unaendelea kuishi kwa mshahara huohuo na hujafa, huoni kama unafaakupuuzwa??.

Umevurugwa mbaka unaniambia mimi na pingana na Katiba, mindio ninae kulipa mshahara??

Jifunze kuwa na plani B wewe kizee ndio mana mkistaafu mnakufa dakika sifuritu.
Kwanza tambua mimi ni natetea watanzania wote kwa ujumla. Ninashughuli zangu binafsi. Nazungumzia kuheshimu katiba kwa kila namna. Hivyo usidhanie nina njaa kihivyo.
 
Huru kwenye kukomoa wenye mitazamo tofauti na serikali, na sio huru kwenye kutoa hukumu za haki dhidi ya serikali ya majizi ya kura. Naona umeingia na id hii na sio ile nyingine ya kuchukulia point dhidi ya Cdm. Ww ulikuwa unashabikia ule udhalimu wa yule shetani aliyeko motoni, hivyo kaa kwa kutulia maana huna jipya.
tindo vuta kumbukumbu zako. Mimi huwa sipendi uonevu hasa linapokija suala la uvunjifu wa katiba. Vuta kumbukumbu zako.

Kuhusu hizo habari zingine mimi sitambui unachosema.
 
Kwanza tambua mimi ni natetea watanzania wote kwa ujumla. Ninashughuli zangu binafsi. Nazungumzia kuheshimu katiba kwa kila namna. Hivyo usidhanie nina njaa kihivyo
Habari ya njaazako utajua mwenyewe kama una njaa ama vip, who care. Minakujibu kama unavyo takiwa kujibiwa.
 
Mkuu unapotoka sana. Katiba ipo wazi kuwa wananchi wapo entitled to just renumeration. Maana yake ni kuwa wapate mshahara unaokidhi mahitaji yao kulingana na kazi wanazofanya. Hakuna mahala katiba inadai kuwa mshahara ukiwa mdogo uache kazi.
Kwanza kabisa naomba uelewe kwamba sitetei serikali kuwapa waajiriwa wake mishahara midogo. Hilo la kwanza.

But let's add some nuance here. Naomba tuchambue mambo kwa kina, si kwa juu juu tu.

Nakwambia hivi, suala la mishahara midogo linaweza kutatuliwa vizuri zaidi na kwa ufanisi mkubwa zaidi kiuchumi kuliko kisheria.

Kwa sababu, kisheria utaanzisha mzozo tu na serikali. Unasema habari za just renumeration wakati katiba haijatoa figure ya what is just renumeration. Uta argue vipi kwamba this is not just renumeration?

Serikali ikikuambia kwamba Watanzania wote wana haki ya kupata just renumeration, kwa sababu hakuna aliyelazimishwa kufanya kazi kwa mshahara anaoona ni mdogo, na anayeona mshahara wa serikali ni mdogo akatafute kazi private sector na NGOs. Rais Samia akakwambia na yeye alishawahi kufanya kazi serikalini,akaona mshahara mdogo, akajiongeza kwenda NGO, akapata mshahara mkubwa, akasoma, akarudi serikalini, akapanda ngazi mpaka kawa rais, utamjibu vipi?

Unaelewa kwamba kuna tofauti kati ya kusema everyone has a right to just renumeration na kusema everyone must get a salary over this amount?

Unaelewa kwamba ukilipwa mshahara mdogo serikalini, kama kiukweli serikali haina uwezo wa kulipa watu, na sekta binafsi ina mishahara mizuri na mikubwa iliyo just, wewe unayefanya kazi serikalini hujanyimwa right yako to just renumeration, kwa sababu hujanyimwa kuacha kazi serikalini na kwenda kufanya kazi private sector kwenye mshahara mkubwa?

Unaelewa kwamba haki nyingi hazipatikani automatically, kwa mfano, kila mtu mzima mwenye akili timamu ana haki ya kupiga kura, lakini ili kupiga kura inambidi ajiandikishe kupiga kura, hatakiwi kusema yeye atapiga kura tu kwa sababu katiba imesema ana haki ya kupiga kura?

Unelewa kwamba hiyo clause ya kila mtu ana haki ya just renumeration haina maana serikali ina wajibu wa kuajiri kila mtu na kumlipa mshahara fulani?

Unaelewa kwamba mtu ambaye katiba imesema ana haki ya kupiga kura, kama hajajiandikisha kupiga kura anaweza kuzuiwa kupiga kura bila haki yake ya kikatiba ya kupiga kura kuvunjwa, kwa sababu haki yake ya kupiga kura inaenda sambamba na wajibu wake wa kujiandikisha kupiga kura, asipotimiza wajibu wake hapati haki, bila katiba kuvunjwa?

Tatizo letu ni la kiuchumi.Litatuliwe kiuchumi. Kwa kuongeza uzalishaji na ufanisi.

Kwa sababu, unaweza kuilazimisha serikali ipandishe mishahara. Serikali ikakubali.

Ikasema kima cha chini ni milioni moja. Haya tunawapa right renumeration mnayotaka.

Huku uchumi haujapanda, uzalishaji haujapanda.

Matokeo yake serikali inachapisha hela bila kuongeza uzalishaji. Ili iwapatie mishahara yenu mnayodai.

Na kwa sababu hela zimeongezeka, bila uzalishaji kuongezeka, mfumuko wa bei unakuwa juu.

Hiyo mishahara yenu mipya inakuwa sawa na ya zamani tu, kwa sababu hela zimeongezeka zimekuwa nyingi, zinafukuza bidhaa chache ambazo hazijaongezeka. Kanuni za demand and supply zitafanya bei zipande.Economics 101.

Mtarudi tena kuililia serikali ipandishe mishahara tena.

Bila kujua inflation inawafanya mbaki pale pale!

Hakuna shortcut ya kuboresha maisha zaidi ya kuongeza uzalishaji na kupandisha uchumi.

Ukitegemea katiba na sheria tu kupandisha mishahara, hata ukipandishiwa mshahara, hutataua tatizo.

Utakuwa unaelekea kuwa kama Zimbabwe.Kwenda dukani kununua mkate unaenda na toroli la noti!
 
Kwanza kabisa naomba uelewe kwamba sitetei serikali kuwapa waajiriwa wake mishahara midogo. Hilo la kwanza.

But let's add some nuance here. Naomba tuchambue mambo kwa kina, si kwa juu juu tu.

Nakwambia hivi, suala la mishahara midogo linaweza kutatuliwa vizuri zaidi na kwa ufanisi mkubwa zaidi kiuchumi kuliko kisheria.

Kwa sababu, kisheria utaanzisha mzozo tu na serikali. Unasema habari za just renumeration wakati katiba haijatoa figure ya what is just renumeration. Uta argue vipi kwamba this is not just renumeration?

Serikali ikikuambia kwamba Watanzania wote wana haki ya kupata just renumeration, kwa sababu hakuna aliyelazimishwa kufanya kazi kwa mshahara anaoona ni mdogo, na anayeona mshahara wa serikali ni mdogo akatafute kazi private sector na NGOs. Rais Samia akakwambia na yeye alishawahi kufanya kazi serikalini,akaona mshahara mdogo, akajiongeza kwenda NGO, akapata mshahara mkubwa, akasoma, akarudi serikalini, akapanda ngazi mpaka kawa rais, utamjibu vipi?

Unaelewa kwamba kuna tofauti kati ya kusema everyone has a right to just renumeration na kusema everyone has a right to a salary over this amount?

Unaelewa kwamba ukilipwa mshahara mdogo serikalini, kama kiukweli serikali haina uwezo wa kulipa watu, na sekta binafsi ina mishahara mizuri na mikubwa iliyo just, wewe unayefanya kazi serikalini hujanyimwa right yako to just renumeration, kwa sababu hujanyimwa kuacha kazi serikalini na kwenda kufanya kazi private sector kwenye mshahara mkubwa?

Unaelewa wkamba haki nyingi hazipatikani automatically, kwa mfano, kila mtu mzima mwenye akili timamu ana haki ya kupiga kura, lakini ili kupiga kura inambidi ajiandikishe kupiga kura, hatakiwi kusema yeye atapiga kura tu kwa sababu katiba imesema ana haki ya kupiga kura?

Unaelewa kwamba mtu ambaye katiba imesema ana haki ya kupiga kura, kama hajajiandikisha kupiga kura anaweza kuzuiwa kupiga kura bila haki yake ya kikatiba ya kupiga kura kuvunjwa, kwa sababu haki yake ya kupiga kura inaenda sambamba na wajibu wake wa kujiandikisha kupiga kura, asipotimiza wajibu wake hapati haki, bila katiba kuvunjwa?

Tatizo letu ni la kiuchumi.Litatuliwe kiuchumi. Kwa kuongeza uzalishaji na ufanisi.

Kwa sababu, unaweza kuilazimisha serikali ipandishe mishahara. Serikali ikakubali.

Ikasema kima cha chini ni milioni moja. Haya tunawapa right renumeration mnayotaka.

Huku uchumi haujapanda, uzalishaji haujapanda.

Matokeo yake serikali inachapisha hela bila kuongeza uzalishaji. Ili iwapatie mishahara yenu mnayodai.

Na kwa sababu hela zimeongezeka, bila uzalishaji kuongezeka, mfumuko wa bei unakuwa juu.

Hiyo mishahara yenu mipya inakuwa sawa na ya zamani tu, kwa sababu hela zimeongezeka zimekuwa nyingi, zinafukuza bidhaa chache ambazo hazijaongezeka. Knuni za demand and supply zitafanya bei zipande.

Mtarudi tena kuililia serikali ipandishe mishahara tena.

Bila kujua inflation inawafanya mbaki pale pale!

Hkuna shortcut ya kuboresha maisha zaidi ya kuongeza uzalishaji na kupandisha uchumi.

Ukitegemea katiba na sheria tu kupandisha mishahara, hata ukipandishiwa mshahara, hutataua tatizo.

Utakuwa unaelekea kuwa kama Zimbabwe.Kwenda dukani kununua mkate unaenda na toroli la noti!
Kidogo umekuja vizuri.

Jakaya miaka yote aliongeza mishahara. Je uchumi ulikuwa mbaya au mzuri?

JPM alisema hataki kuongeza sababu anataka akamilishe kwanza miradi ya maendeleo ili aje aongeze tuti.

Mama anasema Covid imeyumbisha uchumi na hajapiga mahesabu vizuri.

Katiba ya JMT haijatoa figure sababu just renumeration ya mwaka 1995 sio ya leo.

Katiba ikisema una haki ya elimu, ni lazima ufike Uni?
 
Kuna tabia naiona inakuja kwa kasi sana ya watu kujisikia wana haki ya kutimiziwa mambo na serikali.

Kwa sababu ya uraia wao.

Na kwa kiasi fulani dhana hii ina msingi.Hususan kwenye mishahara midogo kabisa serikalini ambako mishahara hii inakuwa kama aina fulani ya utumwa.

Lakini, kusisitiza haki bila kuangalia hali halisi na mambo practical, hususan kwenye mambo ya kiuchumi ambayo hayaendeshiwi na sheria za serikali, ni ujinga na ubinafsi.

Kuna kitu kinaitwa "the law of unintended consequences".

Kama nilivyosema hapo juu, watu wanaweza kudai mishahara mikubwa kijinga bila kuangalia economic fundamentals, wakapewa hiyo mishahara mikubwa wanayotaka.Mishahara inalipwa kwa hela za Tanzania ambazo serikali inaweza kuzichapisha kwa wingi tu. Hatuhitaji fedha za kigeni kwa hili.

Halafu mishahara iongezeke bila balance of trade kuongezeka vizuri, bila exports kuongezeka, bila production kuongezeka.

Sasa kaa chini uangalie muziki wa infalation utakavyoshusha thamani hela.

Mpaka watu watatamani mishahara ya awali midogo na kuona uwiano wake na bei za vitu ulikuwa na afadhali.
 
Achana na mbwembwe za kiuchumi ulizoandika hapo. Hivi toka mwaka 2015 hali ya maisha ipo sawa kulinganisha gharama?

Kama hali ya uchumi hairuhusu serikali ingefanya miradi mikubwa kama hii kwa miaka 5?
 
Kwanza kabisa watanzania wanatakiwa kutambua kuwa kila mtanzania anayo haki ya kupata mshahara unaostahili kukidhi mahitaji ya msingi. Ibara ya 23(2) imetamka wazi kuwa watanzania wanaofanya kazi wanatakiwa wapate just remuneration. Hivyo kupata mshahara unaostahili ni takwa la kikatiba na ni haki ya msingi.

Inapotokea mkuu wa nchi haongezi mshahara watumishi wa umma au sekta binafsi kwa muda wa miaka sita hili ni tatizo kubwa. Mbaya zaidi ni sababu zinazokuwa zinatolewa kuwa ni kuwekeza kwanza kwenye maendeleo ya taifa ili baadae wafanyakazi waongezwe mishahara.

Mbaya zaidi wakati mnajikita kuwekeza kwenye maendeleo gharama za maisha pia zinapanda juu hivyo ni wazi kuwa hata kama taifa linajenga miundo mbinu, shule na mahospital kwa miaka sita gharama za maisha pia zitakuwa zimepanda juu, maana miaka sita sio haba.

Achana na kujikita katika kuwekeza kwenye maendeleo. Mkuu wa nchi anaposema kuwa hawezi kuongeza mshahara sababu ya ugonjwa ambao haijulikani lini utaisha hili nalo ni tatizo. Kama Covid 19 ndio sababu ya kushusha uchumi na pato la taifa letu. Tunafahamu lini huu ugonjwa utaisha ili uchumi wetu upande na kupandisha mishahara?

Hivyo ni wazi kuwa kama Katiba ya JMT inatamka kuwa wafanyakazi wanatakiwa kulipwa mshahara unaokidhi mahitaji yao, basi serikali hainabudi kuwaongeza. Maana sababu zinazotolewa kutoongeza mishahara hazina mashiko. Gharama za maisha zimepanda na katiba inapaswa kuzingatiwa.

Hivyo kama ikitokea kuna namna serikali inakuwa inatoa sababu hazina mashiko juu ya kuongeza mishahara watumishi wafanyakazi wawe wanaenda mahakamani kudai haki hiyo ya kikatiba.
Stupid chagu
 
History of trade union all over the world inatuambia mwajiri hajawahi kumkirimu mwajiriwa maslahi bora bila kuyapigania.
Employment n Labour relations Act inawapa wafanyakazi haki ya kugoma na kugomea kazi, duniani kote ndivyo wafanyakazi wanavyo pambana huku kwetu trade union zimekufa.
Sasa maaskari na wanajeshi ambao hawana vyama vya wafanyakazi wao wasemeje.
 
Achana na mbwembwe za kiuchumi ulizoandika hapo. Hivi toka mwaka 2015 hali ya maisha ipo sawa kulinganisha gharama?

Kama hali ya uchumi hairuhusu serikali ingefanya miradi mikubwa kama hii kwa miaka 5?
Kwa hiyo serikali ikipandisha mishahara ndiyo gharama za maisha zitapungua?
 
Back
Top Bottom