Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,361
- 6,417
Utapata kisukati kwa mawazo wewe.Wewe mburula acha upuuzi. Unapingana na katiba ya JMT?
Ivi akilizenu nifupi kiasigani, unaona sifa kujilizaliza kama mjinga mwaka wa sita sasa unaomba mshahara hujaongezwa na unaendelea kuishi kwa mshahara huohuo na hujafa, huoni kama unafaakupuuzwa??.
Umevurugwa mbaka unaniambia mimi na pingana na Katiba, mindio ninae kulipa mshahara??
Jifunze kuwa na plani B wewe kizee ndio mana mkistaafu mnakufa dakika sifuritu.