Kama Taifa ifikie nyongeza ya mshahara iwe inadaiwa mahakama kuu pale serikali inapowanyima wafanyakazi bila sababu za msingi

Swali la uchumi hilo.

Unaelewa inflation ni nini?

Au unadai mishahara iongezwe kama ngumbaru asiyejua uchumi tu?
Kwa akili yako ndogo unakomaa kabisa kuwa kuongeza watumishi mishahara ni sababu ya kuongeza inflation? Kwa hiyo mishahara ikiongezwa ndio wataongeza matumizi?
 
Kwa hiyo hawastahili nyongeza?Mbona wanakatwa kodi inaenda Serikalini kama ni kwa wahindi na wachina wasiachwe tu?Watu walipe kodi wanaofanya kazi kwa wachina wewe upewe nyongezza ya mshahara?Sasa sikiliza Chagu,Ili nyongeza iwepo lazima uchumi ukue.
Ukweli mchungu. Lazima uchumi ukue kwanza pesa ya kulipa iwepo. Ndio uongeze mshahara. Vingenevyo itakuwa danganya toto na serikali kujilimbikizia madeni.
 
Mkuu upo sawa kiulewa wa mambo?
Kuwa sawa ni nini na mambo hayo mambo gani?

Idi Amin alimwambia waziri wake wa fedha achapishe hela nyingi amalize tatizo la kukosekana hela, mpaka leo shilingi ya Uganda inachechemea kutokana na maamuzi yale.

Rais wa Tanzania naye achapishe fedha ili kukidhi mahitaji ya watu ya ongezeko la mishahara?

Kuna vitu vya msingi vya kuongeza uzalishaji na kukuza uchumi nimeandika hapo juu, sisikii mjadala kuhusu hilo, nasikia sana habari za mishahara tu.

Tunataka inflation?
 
Unataka uzalishaji wa namna gani ili ujue kuwa uzalishaji umekuwa? Kama nchi ilikiwa ya uchumi wa chini sasa tupo uchumi wa kati mdogo bado hujatambua kuna mabadiliko? Vipi kuhusu makusanyo ya kodi kutoka bil 800 mpaka tril 2?
 
Rais wako kakwambia uchumi umeshuka kutokana na Corona.

Au hujasikia?
 
Rais wako kakwambia uchumi umeshuka kutokana na Corona.

Au hujasikia?
Umesahau kauli ya waziri mkuu ambayo hata wewe unaishabikia? Kuwa hawataki kuongeza mishahara kisa mfumuko wa bei utatokea? Maana yake ni kuwa serikali sasa hivi inapesa za kutosha kuongeza mishahara ila hawataki.

Gharama za maisha za mwaka 2015 sio za leo hii.
 
Acha utoto dogo. Kupata mshahara unaostahili ni haki ya kikatiba. Jiwe aliahidi ataongeza baada ya kukamilisha kazi zake. Sasa nyingi zimekamilika tatizo lipo wapi?
Halafu jiheshimu huku upo na wazaz wako

Nmestaafu mwaka 2017
Nan alikuambia mshahara unatosha??

Mama SSH usiongeze mshahara kabsaa

Hawa watoto wakipewa hela nyingi wana nywea pombe na kuhonga tuu
 
Wengi wanafikiri Serikali ya Tanzania ina uwezo kama wa serikali flani flani wa kuchapisha manoti. Wenye uwezo huo wapo wachache sana, ukweli ni mchungu kama pilipili manga. ''Mtanikumbuka tu'' JPM.
 
Back
Top Bottom