Kama Taifa ifikie nyongeza ya mshahara iwe inadaiwa mahakama kuu pale serikali inapowanyima wafanyakazi bila sababu za msingi

Kwanza kabisa watanzania wanatakiwa kutambua kuwa kila mtanzania anayo haki ya kupata mshahara unaostahili kukidhi mahitaji ya msingi. Ibara ya 23(2) imetamka wazi kuwa watanzania wanaofanya kazi wanatakiwa wapate just remuneration. Hivyo kupata mshahara unaostahili ni takwa la kikatiba na ni haki ya msingi.

Inapotokea mkuu wa nchi haongezi mshahara watumishi wa umma au sekta binafsi kwa muda wa miaka sita hili ni tatizo kubwa. Mbaya zaidi ni sababu zinazokuwa zinatolewa kuwa ni kuwekeza kwanza kwenye maendeleo ya taifa ili baadae wafanyakazi waongezwe mishahara.

Mbaya zaidi wakati mnajikita kuwekeza kwenye maendeleo gharama za maisha pia zinapanda juu hivyo ni wazi kuwa hata kama taifa linajenga miundo mbinu, shule na mahospital kwa miaka sita gharama za maisha pia zitakuwa zimepanda juu, maana miaka sita sio haba.

Achana na kujikita katika kuwekeza kwenye maendeleo. Mkuu wa nchi anaposema kuwa hawezi kuongeza mshahara sababu ya ugonjwa ambao haijulikani lini utaisha hili nalo ni tatizo. Kama Covid 19 ndio sababu ya kushusha uchumi na pato la taifa letu. Tunafahamu lini huu ugonjwa utaisha ili uchumi wetu upande na kupandisha mishahara?

Hivyo ni wazi kuwa kama Katiba ya JMT inatamka kuwa wafanyakazi wanatakiwa kulipwa mshahara unaokidhi mahitaji yao, basi serikali hainabudi kuwaongeza. Maana sababu zinazotolewa kutoongeza mishahara hazina mashiko. Gharama za maisha zimepanda na katiba inapaswa kuzingatiwa.

Hivyo kama ikitokea kuna namna serikali inakuwa inatoa sababu hazina mashiko juu ya kuongeza mishahara watumishi wafanyakazi wawe wanaenda mahakamani kudai haki hiyo ya kikatiba.
Huu ni uzwazwa, yani uendemahakamani kudai nyongeza ya mshahara, kwani kama mshahara ni mdogo sinikuachana na hiyo kazituu, hizo pesa utakazo tumia mahakamani unaonaje ukajiongezea kwenye msha hara wako alafu kufanya kazi niutumwa pambanane mje huku kitaa mjifunze wenzenu wanaishije bila kazi, huu ujinga huu wa kuombaomba mishahara kila siku ndio unaowafanya mfe masikini.
Na pengine labda wewe utakuwa labda umesoma lakini bado akiliyako haikusaidii kupambana na changamoto za maisha unaona soution ni kazitu.
 
Wao wanalipana tu wanagyotaka lakini kupigania wafanyakazi hakuna hii kitu ufisadi hautaisha nchi hii.
 
Huu ni uzwazwa, yani uendemahakamani kudai nyongeza ya mshahara, kwani kama mshahara ni mdogo sinikuachana na hiyo kazituu, hizo pesa utakazo tumia mahakamani unaonaje ukajiongezea kwenye msha hara wako alafu kufanya kazi niutumwa pambanane mje huku kitaa mjifunze wenzenu wanaishije bila kazi, huu ujinga huu wa kuombaomba mishahara kila siku ndio unaowafanya mfe masikini.
Na pengine labda wewe utakuwa labda umesoma lakini bado akiliyako haikusaidii kupambana na changamoto za maisha unaona soution ni kazitu.
Wewe mburula acha upuuzi. Unapingana na katiba ya JMT?
 
Mkuu umekurupuka toka wapi?
Peleka ujinga wako huko
Kwa nini hukwenda kudai mwaka jana??

Pumbavu mkubwa wewe au ulikua unamuogopa jiwe

Tutamlinda mama kwa nguvu zote
Hakuna kuongeza mshahara kama hutaki acha kazi kafanye vitu vingine

Wanafiki wakubwa nyie
 
Acha utoto dogo. Kupata mshahara unaostahili ni haki ya kikatiba. Jiwe aliahidi ataongeza baada ya kukamilisha kazi zake. Sasa nyingi zimekamilika tatizo lipo wapi?
 
Hoja hapa ni kuongeza mishahara kwa mujibu wa katiba ya JMT. Hivyo iwe ni mshahara mdogo au mkubwa lakini lazima uwe just renumeration. Hakuna nchi isiyokuwa na sekta ya umma au binafsi. Kama ndio hivyo hata huko Usa watu wote wangefanya kazi sekta binafsi.
Haya.

Tujadili kwa vifungu vya katiba, ili kama kuna cha kujifunza tujifunze.

Kifungu gani cha katiba kinacholazimisha mishahara iongezwe?
 
Serikali ilipunguza watumishi kibao na hao waliobaki hawawezi kuwapa stahiki zao, wengine wanastaafu kazi hakuna replacement hadi watumishi wanazidiwa majukumu na kutegemea zaidi wale wanaofanya kazi kwa kujitolea kuokoa jahazi.......kuweni serious basi, mbona pesa ya kuwalipa wanasiasa ipo nyingi tu......
 
Bila kuwa wanapelekwa mahakamani watakuwa wanatoa sababu za uongo. Mwaka jana walitangaza wanakusanya tril 2. Leo hii mama anasema uchumi upo vibaya. Hii sio haki.
 
Kwanza kabisa watanzania wanatakiwa kutambua kuwa kila mtanzania anayo haki ya kupata mshahara unaostahili kukidhi mahitaji ya msingi. Ibara ya 23(2) imetamka wazi kuwa watanzania wanaofanya kazi wanatakiwa wapate just remuneration. Hivyo kupata mshahara unaostahili ni takwa la kikatiba na ni haki ya msingi.

Inapotokea mkuu wa nchi haongezi mshahara watumishi wa umma au sekta binafsi kwa muda wa miaka sita hili ni tatizo kubwa. Mbaya zaidi ni sababu zinazokuwa zinatolewa kuwa ni kuwekeza kwanza kwenye maendeleo ya taifa ili baadae wafanyakazi waongezwe mishahara.

Mbaya zaidi wakati mnajikita kuwekeza kwenye maendeleo gharama za maisha pia zinapanda juu hivyo ni wazi kuwa hata kama taifa linajenga miundo mbinu, shule na mahospital kwa miaka sita gharama za maisha pia zitakuwa zimepanda juu, maana miaka sita sio haba.

Achana na kujikita katika kuwekeza kwenye maendeleo. Mkuu wa nchi anaposema kuwa hawezi kuongeza mshahara sababu ya ugonjwa ambao haijulikani lini utaisha hili nalo ni tatizo. Kama Covid 19 ndio sababu ya kushusha uchumi na pato la taifa letu. Tunafahamu lini huu ugonjwa utaisha ili uchumi wetu upande na kupandisha mishahara?

Hivyo ni wazi kuwa kama Katiba ya JMT inatamka kuwa wafanyakazi wanatakiwa kulipwa mshahara unaokidhi mahitaji yao, basi serikali hainabudi kuwaongeza. Maana sababu zinazotolewa kutoongeza mishahara hazina mashiko. Gharama za maisha zimepanda na katiba inapaswa kuzingatiwa.

Hivyo kama ikitokea kuna namna serikali inakuwa inatoa sababu hazina mashiko juu ya kuongeza mishahara watumishi wafanyakazi wawe wanaenda mahakamani kudai haki hiyo ya kikatiba.

Hakuna serikali yoyote ya majizi ya kura inayoogopa mahakama. Serikali za majizi ya kura huogopa nguvu ya umma tu na sio hizo mahakama kibogoyo. Ww huna jipya maana ndio mlikuwa mnamsujudia yule ibilisi, saa hii kashusha uchumi ndio mnajifanya mnaona tatizo na kutoa mapendekezo. Kaa kimya kama ulivyokaa kipindi cha shetani.
 
Ibara ya 23(2) ya katiba ya JMT.
23 (2) inaongelea right to work and just renumeration. Hijataja mishahara.

Just renumeration ni very subjective concept.

Serikali ikikupangia mshahara mdogo kuliko wewe unaouona ni just renumeration, kama haijakulazimisha kufanya kazi serikalini, bado haijakunyima your right to just renumeration.

Kwa sababu bado una haki ya kuacha kazi na kwenda kufanya kazi sehemu nyingine unayoona itakupa just renumeration.

Ndiyo maana nimeongelea umuhimu wa kukuza uchumi ili serikali ipate competition kutoka private sector, wafanya kazi wawe wanagombewa na waajiri.Mishahara itapanda yenyewe kabla wafanyakazi hawajadai nyongeza, kwa market forces tu.

Ukimsoma Lord JK Keyness katika "The General Theory of Employment, Interest and Money" utaona haya.

Ungeweza kuwa na point kama ungesema serikali inakulazimisha ufanye kazi serikalini kwa mshahara mdogo.

Uki extend logic yako, unaweza kusema watu wote wenye qualifications za kazi za serikalini wapatiwe kazi na serikali, kwa sababu wana haki ya kikatiba ya kuwa na kazi.

Haki yao ya kikatiba ya kuwa na kazi haimaanishi serikali ndiyo iwe muajiri wao. Serikali haiwezi kuajiri watu wote, hata wenye qualifications.
 
23 (2) inaongelea right to work and just renumenration.

Just renumeration ni very subjective concept.

Serikali ikikupangia mshahara mdogo kuliko wewe unaouona ni just renumeration, kama haijakulazimisha kufanya kazi serikalini, bado haijakunyima your right to just renumeration.

Kwa sababu bado una haki ya kuacha kazi na kwenda kufanya kazi sehemu nyingine unayoona itakupa just renumeration.

Ungeweza kuwa na point kama ungesema serikali inakulazimisha ufanye kazi serikalini kwa mshahara mdogo.
Mkuu unapotoka sana. Katiba ipo wazi kuwa wananchi wapo entitled to just renumeration. Maana yake ni kuwa wapate mshahara unaokidhi mahitaji yao kulingana na kazi wanazofanya. Hakuna mahala katiba inadai kuwa mshahara ukiwa mdogo uache kazi.
 
Hakuna serikali yoyote ya majizi ya kura inayoogopa mahakama. Serikali za majizi ya kura huogopa nguvu ya umma tu na sio hizo mahakama kibogoyo. Ww huna jipya maana ndio mlikuwa mnamsujudia yule ibilisi, saa hii kashusha uchumi ndio mnajifanya mnaona tatizo na kutoa mapendekezo. Kaa kimya kama ulivyokaa kipindi cha shetani.
Tatizo lako ndio hilo, tokea upate hasara kutokana na uchaguzi, umekengeuka. Nataka kukuhakikishia mahakama ni chombo huru na kama watanzania wakitulia wanapata haki zao.

Habari za kumsujudia ibilisi zinatoka wapi?
 
Wafanyakazi wa serikalini mnapenda sana kulialia,wenzenu wa binafsi hawajui mambo hayo mnayodai na wanaishi.Hawana mikopo wala nyongeza wanaishi tu na wamejipanga vizuri hadi ni wenye nyumba wenu.Nyie mnafeli wapi?
Tunataka tulipwe vizuri ili tutoe huduma nzuri ili watu Kama nyie muache kulalamika huduma mbovu serikalini
 
Back
Top Bottom