Kama natoka na mumeo...

Hapo ndipo wadada wanapodanyana siku hizi. Wangapi wanatoa tiGo na mwanaume akishakula anaendelea na hamsini zake kama kawaida? Nadhani huyo Da Sophy anatoa zaidi ya tiGo!
Kwani zaidi ya tigo kuna kingine anaweza kukitoa? Hujastukia bado kuwa Da Sophy ni dume? Shoga hilo, stuka kiongozi!
 
Naam ukishikwa na mtu kama huyu unaweza ukamsusa mkeo. Si unaona yeye ndiyo kawa mke sasa na mke kawa mapozeo.

huyu anajidanganya mwenyewe......ukweli ni kwamba yeye ndo mapozeo!!!
 
Da Sophy leo UMECHAFUA kabisa hali ya hewa.. Wanawake:angry: wenzako wote humu JF hawakubaliani na wewe.. Acha PLZ.
 
natamani kusema hujatulia da Sophy lakini hukujibu swali la Fide kuwa umeolewa au la? ukijibu nitatoa hitimisho.
 
Wangapi wanapewa hiyo tiGo na bado hawawatelekezi wake zao? Au ufundi wa jinsi ya kutoa hiyo tiGo nao unatofautiana?

Kutokana na uzoeefu wangu ufundi hutofautiana kutokana na uzoeefu huyo jamaa hajui kujiexpress ndo maana kalowea, lakini pindi atakapo ona ni ishu ya kawaida basi ndo uzoeefu wenyewe atachapa mwendo si huyu atakuwa amekinai.
 
Tatizo pia ni huyo jamaa na utaahira wake.Sijui anafikiria nini huyo zezeta.Halafu ukute jitu lenyewe lina watoto,sijui linaporudi wakilamkia linajiskiaje!Ignoramus....
 
Ngoja nihamie kwenye Siasa za nchi hii zinasemaje hapa nimeanza kupata kizunguzungu
 
Kwanza kabisa, asilimia 95 za lawama zinamwangukia huyo jamaa. Yeye kama yuko kwenye holy matrimony hatakiwi kukiuka viapo vyake. Nasema yeye ndio wa kubebeshwa lawama zaidi kwa sababu yeye kama ndio nusu wa hiyo holy matrimony ana usemi wa mwisho ktk kuamua kumega nje au la. Hajui anachokitaka. Kama anapenda kucheza viwanja mbalimbali basi asingekimbilia kuoa.

Pili, huyo dada naye hamnazo. Hana maadili wala akili. Na si wa kukasirikiwa sana kwa sababu sidhani kama anamlazimisha jamaa ammege. Labda mniambie huwaga anamwekea bunduki kichwani kwamba nimege la sivyo nitakibararua kichwa chako na risasi.

Tatu, nyege ni kunyegeshana. Ishi maisha yako. Wobbly wobbly drop it like it's hot.
 
achaneni na hizo stori.Nakubuku kabisa,unisindikize kunywa kahawa ikwiriri Meku akija.

tena umenikumbusha hivi wiki mbili bado weee meku au siku ile maji yalizidi unga??

hahaa Charity huyu Meku huyu.....namstahi tu hapa!!!!

Ikwiriri naenda na shemeji NN kumbe mpango mmjoa eeh??? poa nimeji-over prepare!!!

hehehe wasalimieni mwanakijiji na rev kishoka. mkihitaji msaada wa kopi ya katiba ya nchi nitumieni PM.

yaani mpaka leo huna wewe Zinduka?? Mwanakijiji nimuone wapi, yeye mwenyewe yupo bize anaandika mashairi ya kunasia watoto huku JF. kasahu hata sihasa za nchi hii siku hizi
 
Kwanza kabisa, asilimia 95 za lawama zinamwangukia huyo jamaa. Yeye kama yuko kwenye holy matrimony hatakiwi kukiuka viapo vyake. Nasema yeye ndio wa kubebeshwa lawama zaidi kwa sababu yeye kama ndio nusu wa hiyo holy matrimony ana usemi wa mwisho ktk kuamua kumega nje au la. Hajui anachokitaka. Kama anapenda kucheza viwanja mbalimbali basi asingekimbilia kuoa.

Pili, huyo dada naye hamnazo. Hana maadili wala akili. Na si wa kukasirikiwa sana kwa sababu sidhani kama anamlazimisha jamaa ammege. Labda mniambie huwaga anamwekea bunduki kichwani kwamba nimege la sivyo nitakibararua kichwa chako na risasi.

Tatu, nyege ni kunyegeshana. Ishi maisha yako. Wobbly wobbly drop it like it's hot.

Komredi hapa umemaliza jamaa anafuata tiGo kwa huyu mwanamke ndo maana kakolea kichizi.
 
tena umenikumbusha hivi wiki mbili bado weee meku au siku ile maji yalizidi unga??

hahaa Charity huyu Meku huyu.....namstahi tu hapa!!!!

Ikwiriri naenda na shemeji NN kumbe mpango mmjoa eeh??? poa nimeji-over prepare!!!

yaani mpaka leo huna wewe Zinduka??

katiba ipo lakini tunahitaji kuifanyia marekebisho ili tuwa accomodate ambiguas memba kama muanzilishi wa hii sredi (i hope hapa sijavunja sheria ya name calling)
 
tena umenikumbusha hivi wiki mbili bado weee meku au siku ile maji yalizidi unga??

hahaa Charity huyu Meku huyu.....namstahi tu hapa!!!!

Ikwiriri naenda na shemeji NN kumbe mpango mmjoa eeh??? poa nimeji-over prepare!!!

Jiandae Dadushka.Utakuwa bodigadi wangu kwani unaanza kunitisha ,meku anaonekana makeke huyu.
 
Meku nielekeze ni wapi huko na mie nije hapa naona basi sasa.....
Panda basi la Namtumbo mwambia konda akushushe darajani......

achaneni na hizo stori.Nakubuku kabisa,unisindikize kunywa kahawa ikwiriri Meku akija.
ha ha ha ngoja niongee na meneja wangu to do the needful nasikia kunywa gahawa ya Ikwiri lazima uwe na shimo mererani!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom