Hata kama ni mumeo ila mimi unaniuzi

Hata kama ni mumeo ila mimi unaniuzi

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
9,576
Reaction score
12,375
"Hata kama ni mumeo ila mimi unaniuzi"

Ni maneno yaliyonifanya nisome vizuri texts za huyu jirani yangu hapa kwenye bus la kwenda Dodoma usiku huu.

Ni mzee wa makamo kama na 45-50 hivi. Binti anamuita dady na anasema anataka waleane asimuache.

Mzee anamwambia unanisumbua kwa sababu sijakununulia smartphone ya laki 5, akimuahidi binti ampe wiki 2 atapata hiyo laki 5 ya smartphone.

Aisee mke wa mtu anabembeleza penzi kwa huyu mzee na kutaka anunuliwe simu mpya [emoji23]

Kama mume katika ndoa mpya , nimeumia kwa aajili ya huyo mume wa huyu mke ambaye anachepuka na huyu mzee [emoji26][emoji26][emoji26]

Kwa aliye kwenye ndoa na utaona mkeo kapata simu mpya ya laki 5 hadi 6 , mali yako inaliwa
 
Back
Top Bottom