Kama natoka na mumeo...

Kama natoka na mumeo...

Ni kweli aliongea hivyo huku akishangiliwa na wale wazee wakukodi kwa sh 20,000
Duh imeniuma yaani katutukania waume zetu na sie wenyewe!! Alikuwa na haja gani kuweka neno na wake zenu? kweli mswahili ni mswahili hata umvue msuli!!
 

mwingine huyu ...
Mh mie ndo maana nashindwa kuuelewa umuhimu wa ndoa maana naona wanaume huyu alopost hii anahalalisha tendo hilo sijui akitokea mwanamke naye aseme hayo kuwa wake kuleni nje kwa akili sio mnadharau hata waume sijui kama patakalika
 
Baba Enock samahani hiyo signature yako ndivyo ilivyotamkwa na mh. Rahisi? Kuwa yaani hata kura zenu waume zetu na za kwetu wake zenu tusipoipa sisiem itashinda tu?? Aliyasema hayo kama yalivyo au umeongezea chumvi??

Kama yalivyo na nimejitahidi kupunguza mengine kupunguza hasira za wanaJF
 
Mimi sijawaelewa. Other wise nimuulize mtoa hoja ''' Huna mume wewe mpaka utoke na wa wenzako? Au wewe changu?
 
kwani mama matesha hayupo? utawaweza hao mwenyewe? mi kiinglish no kukimanya sana!
Twendeni kwa amani? (Wapi?)

eh!! naona ndugu yangu leo umeamua kuweka na cha kunyumba kabisa
 
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?

hongera sana da sophy kwa kuwa muwazi na kudiriki kuonye usivyojali hadhi ya mwanamke mwenzako kiasi hicho; pia nakupa pongezi kubwa kwa kuamua kuuanika upuzi wako na vilevile kujidhalilisha mbele za watu simply because you think you are right!

you have shown a very low self esteem na kudhalilisha wenzako, mtu huwa hajisifii kwa mabaya anayomtendea mwenzake, hasa akiwa mwanamke kwani mungu amewaumba na kuwapa heshima ya hali ya juu kuliko zote duniani

Pia ukumbuke machozi ya mwanamke mwenzako yatalipwa hapahapa duniani

Mungu akulipe unachostahili
 
utanunua??? ukienda huko hutoki labda tukufate n atingatinge lije likung'oe



mmh afu Biggy njoo kwanza nikuambie kitu ndo tuondoke!!!!

Weeee!! labda useme niangukie kwako ndo hawatanitoa, hata Bala akashtaki the hague!! ahahahaa!!
 
hahaaa wewe hebu toka huko samaki samaki uhamie machimachi guest houzi sasa ukapumzike kwa amani!!!

kwa kawaida....huwa sioni njia za kuelekea gesti nikisha do ze needful kwenye kinywaji!!!
Appetite bar, kula hooome!!!
Wakina Da Sophy watanipatia wapi!!
 
Back
Top Bottom