Kama natoka na mumeo...

Kama natoka na mumeo...

Nani kakuambia tunashea? Yule anayemwita mkewe kwani anafanya nini zaidi ya kumfulia nguo na kumtandikia kitanda mwenzie apumzike baada ya kunitimizia mpenzie wajibu. Ni kwamba pale anakwenda kulala tu, na siku mojamoja kupozea ile kidogo ya kutunzia nyumba, mwanamke mwenyewe hovyo, ni kwamba tu ndoa za kikristo zina kasoro hiyo huwezi kumwacha lakini pale ni hana mke.

Unaulizia kutongoza wengine, ataanzia wapi? Alivyoshikwa uzuri anajua mwenyewe, hafurukuti hata chembe. Hivi unajua kuna siku huwa nafanya kabisa bidii kumfukuza aende kwa mkewe maana sasa keshakuwa kama zuzu, analia kama mtoto kujutia alivyovaa mkenge wa huyo asiyejua maana ya kuolewa.

Eh! hahahahahahahahaha we kiboko!!!! unampa nini mpaka umemshika vizuri kiasi hicho?...LOL! kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa
 
Na sikufichi namkamua kisawasawa. Yaani ni makamuzi ya kiukweli. Sigusi pesa yake, mie langu penzi tu. Yaani huyo mkewe angejua mumewe anamsemaga nini kwangu wakati ninapompa wallahi angewehuka, acha tu asijue. Na tumekubaliana kutunziana heshima, kwa hiyo suala la kujulikana ni hakuna. Kama ni wewe dada bht uwe na amani tu dear, hutojua kamwe.

Ni nini hicho unachompa mpaka aweweseke?
 
huyu Buzi wako Mbeya na ukitaka kujua hana adabu kwanini anamsema mkewe mbele yako ..nahisi na wewe huwa anakusema kwa friends zake

hapo ujue amekosa cha kumdanganya, bac inabidi abwabwaje tu ili mradi apate huduma nzuri.
 
Tatizo nina hangover kamanda. Sasa hangover ikichanganyika na maupupu ya vimeo kama hivi inakuwa balaa.

Hivi wadudu wa malaria hawawezi kuangamizwa na valeur?

hehehe inategemea wadudu wa malaria wa jimbo gani? wa mbagala hata kwa acid hawafariki.

beki to ze topik: jamaa anarusha stimu tu , acha ni update ile ignore list ya JF phase 2.
 
kweli da sophy saidia wanawake wenzio kwa kusema wanachotaka wampe mwanamme ili asiende kwa nyumba ndogo.................maana wewe umesema akifika kwako hatoki!

au wewe ni mwanachama wa nyumba ndogo for life na huwezi kutoa siri za chama!
 
Nani kakuambia tunashea? Yule anayemwita mkewe kwani anafanya nini zaidi ya kumfulia nguo na kumtandikia kitanda mwenzie apumzike baada ya kunitimizia mpenzie wajibu. Ni kwamba pale anakwenda kulala tu, na siku mojamoja kupozea ile kidogo ya kutunzia nyumba, mwanamke mwenyewe hovyo, ni kwamba tu ndoa za kikristo zina kasoro hiyo huwezi kumwacha lakini pale ni hana mke.

Unaulizia kutongoza wengine, ataanzia wapi? Alivyoshikwa uzuri anajua mwenyewe, hafurukuti hata chembe. Hivi unajua kuna siku huwa nafanya kabisa bidii kumfukuza aende kwa mkewe maana sasa keshakuwa kama zuzu, analia kama mtoto kujutia alivyovaa mkenge wa huyo asiyejua maana ya kuolewa.

Mmmh! Da Sophy yaelekea wewe ni binti wa mwambao wa Pwani, Tanga, Mombasa au Z'bar. Mabinti wa maeneo hayo acha kabisa, yaani ugali moto, mboga moto!
 
Na sikufichi namkamua kisawasawa. Yaani ni makamuzi ya kiukweli. Sigusi pesa yake, mie langu penzi tu. Yaani huyo mkewe angejua mumewe anamsemaga nini kwangu wakati ninapompa wallahi angewehuka, acha tu asijue. Na tumekubaliana kutunziana heshima, kwa hiyo suala la kujulikana ni hakuna. Kama ni wewe dada bht uwe na amani tu dear, hutojua kamwe.

Hahahahahahahahah Baba nanihii hatujafanya mapenzi siku nyingi tu sijui kama ndiyo nawe umeamua kuwa na nyumba ndogo au sikuvutii tena kama zamani. Hapana mke wangu siku hizi kazi nyingi sana ofisini nachoka sana kuna long weekend inakuja basi tutafuta sehemu tukapumzike long weekend yote...LOL!
 
Kabisa Da Sophy umetulia mwenyewe na mume wa mtu. Nashangaa hawa wengine wanaanza kutuma applications zao!! Wakuache mwaya.

Babu meshikia??? Da Sophy kajituliza hataki maneno na mtu ndo maana kapoa na mume wa mtu!!

Da Sophy you better check yourself kwanza maana I dont understand mtu mwenye kuamua kutoka na mume wa mtu then aseme ametulia!!!

Nimetulia na mpenzi mmoja. Kipi kigumu kuelewa hapo. Nimetulia, bwana wangu ni huyo mmoja nimeridhika naye. Anayetaka kuchunguza akijua haitamfaa lolote zaidi ya kujipa presha tu.
 
Mmmh! Da Sophy yaelekea wewe ni binti wa mwambao wa Pwani, Tanga, Mombasa au Z'bar. Mabinti wa maeneo hayo acha kabisa, yaani ugali moto, mboga moto!

Naam ukishikwa na mtu kama huyu unaweza ukamsusa mkeo. Si unaona yeye ndiyo kawa mke sasa na mke kawa mapozeo.
 
Nimetulia na mpenzi mmoja. Kipi kigumu kuelewa hapo. Nimetulia, bwana wangu ni huyo mmoja nimeridhika naye. Anayetaka kuchunguza akijua haitamfaa lolote zaidi ya kujipa presha tu.

Da Sophy naona unatetea hoja
 
huyo dada hana maana yaani anajisifia kumchukua mume wa mtu? ha!wekeni mada za maana hizi watu tuzipotezeee za kijinga
 
kwavile huu mjadala umewachosha wengi, sio vibaya tukaserebuka na mheshimiwa rais kidogo, huku tukisubiria akili ziingie second round!

attachment.php
 
Hahahahahahahah usiulize jibu bwana Masaki!!! Mjini Tigo maliiiii

Hapo ndipo wadada wanapodanyana siku hizi. Wangapi wanatoa tiGo na mwanaume akishakula anaendelea na hamsini zake kama kawaida? Nadhani huyo Da Sophy anatoa zaidi ya tiGo!
 
Back
Top Bottom