G
guest-1790917349
Guest
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?
Ila kweli bwana!si utulie ww ushawekwa ndani ya nje ya nn!