Kama natoka na mumeo...

Da Sophy

JF-Expert Member
May 12, 2010
388
162
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?
 
Dada sophy we nae kiboko! kwann nisimchunguze mme wangu? ni haki ya mke kumchunguza mmewe, wanaume wengine wanaumwa hawasemi husipomchunguza utajuaje? tukija katika mapenzi ndio kabisa akibadilisha tabia ndani utakosaje kumchunguza? kama unatoka na mme wa mtu acha hayo mambo muombe mungu akupe wa kwako na akitoka nje ndio utajua sumu ya penzi
 
Duh Da Sophy mbona una makubwa weye! Ni Ujumbe unataka kuufikisha kwa muhusika nini? Maana sielewi msukumo umetokana na nini!

Eti Kama unatoka na mume wangu, ushasema ni wangu yaani si wako so ni mali yangu, yangu peke yangu wengine wote wanaomtumia ni wevi so kama unafurahi kuitwa mwizi sawa tu ila nijuavyo mie mume/mke wa mtu anauma!!
 
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?
Huyo akikuchoka uje na kwangu. Mke wangu hana tabia ya kunichunguza.
 
Duh Da Sophy mbona una makubwa weye! Ni Ujumbe unataka kuufikisha kwa muhusika nini? Maana sielewi msukumo umetokana na nini!

Eti Kama unatoka na mume wangu, ushasema ni wangu yaani si wako so ni mali yangu, yangu peke yangu wengine wote wanaomtumia ni wevi so kama unafurahi kuitwa mwizi sawa tu ila nijuavyo mie mume/mke wa mtu anauma!!
Mjukuu punguza wivu japo kidogo....
 
Duh Da Sophy mbona una makubwa weye! Ni Ujumbe unataka kuufikisha kwa muhusika nini? Maana sielewi msukumo umetokana na nini!

Eti Kama unatoka na mume wangu, ushasema ni wangu yaani si wako so ni mali yangu, yangu peke yangu wengine wote wanaomtumia ni wevi so kama unafurahi kuitwa mwizi sawa tu ila nijuavyo mie mume/mke wa mtu anauma!!

Yako peke yako? Thubutu! Sasa kinachomleta kwangu nini? Na wala mimi sio mwizi basi nikueleze uzuri, nimetongozwa kama wewe ulivyotongozwa.
 
Kwani nimebisha Da Sophy?? Sijabisha kuwa umetongozwa kama nilivyotongozwa mie! Na niliposema wangu peke yangu namaanisha ndivyo inavyotakiwa ingawa sivyo ilivyo so nyie wa mtaani ni wezi tu mtake msitake!! Ungekuwa wa halali si angekupeleka mkafunga ndoa kabisa?? Msisingizie mambo ya kanisani!! Ukubali tu kuwa wewe ni mapozeo na mapozeo utabaki.

(Leooo nimelichokoza la nyumba ndogo ntakoma- wanajamii nikishindwa napiga yowe mje misaidie)
 
Mwenzenu sijaolewa sasa nikaponee wapi? Na ninahitaji mapenzi kama nyie mnavyopata.

Watu waelewa kama wewe ndio mimi huwa nawapendaga. Hebu niPM tutete kidogo. Achana nao hao wachoyo wanataka wafaidi peke yao.
 
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?

Una pepo
 
Vp Da Sophy umeolewa lakini?
 
mbona wengi wanatafuta wachumba hujawaona mpaka mme wa mtu? huoni kama unamkosea mungu wako, hata km watu hawawaoni bali mungu anawaona......stop that
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom