Kwanza kabisa, asilimia 95 za lawama zinamwangukia huyo jamaa. Yeye kama yuko kwenye holy matrimony hatakiwi kukiuka viapo vyake. Nasema yeye ndio wa kubebeshwa lawama zaidi kwa sababu yeye kama ndio nusu wa hiyo holy matrimony ana usemi wa mwisho ktk kuamua kumega nje au la. Hajui anachokitaka. Kama anapenda kucheza viwanja mbalimbali basi asingekimbilia kuoa.
Pili, huyo dada naye hamnazo. Hana maadili wala akili. Na si wa kukasirikiwa sana kwa sababu sidhani kama anamlazimisha jamaa ammege. Labda mniambie huwaga anamwekea bunduki kichwani kwamba nimege la sivyo nitakibararua kichwa chako na risasi.
Tatu, nyege ni kunyegeshana. Ishi maisha yako. Wobbly wobbly drop it like it's hot.