Kama natoka na mumeo...

Kama natoka na mumeo...

Asante sana hebu waeleze maana kuna wengine hadi wana mashutuma ya kijinga basi wanafikiri kila anayetoka na mume wa mtu basi eti changu, kivipi mbona kuna wanawake wengi tu wameolewa na ni machangu wa kutisha, na tupo tusioolewa tumetulia kiheshima zetu na bwana mmoja

Da Sophy, wewe ni Concubine - unafanya zinaa na Mume wa mwanamke mwingine na bado unataka kujifanya kuwa huyu mwanamume ni mumeo! WTF!
 
Jiandae Dadushka.Utakuwa bodigadi wangu kwani unaanza kunitisha ,meku anaonekana makeke huyu.

hhahaaaa afu wewe siku hzii unanichekesha sana lol!!!

haya bibie I will watch ur back
 
Hivi na Waberoya naye si yuko huko? Mi dunno! Nacheza na misale ya waumini ndiyo katiba yangu

huyo jamaa muda mrefu haonekani, inasemekana mgomo wa tucta ulipositishwa yeye akaamua kugoma kuingia JF , (chanzo cha habari hizi bado ni tata)
 
Wewe hazikutoshi kumbe. Kama shida yako ndiyo hiyo nenda kwa machangu, mie najiheshimu. Au kwa vile nimesema natoka na mume wa mtu ndo unadhania hivyo. Siko kihivyo kakangu, hata kama mpenzi wangu ana mke lakini mimi nimetulia naye sina mambo ya kichangu. Ni bahati mbaya tu sina mume lakini huyu bwana niliyenaye nimetulia naye kiukweli.

Hii unayofanya ni zaidi ya uchangu - inakaribia sana na wale akina dada/mama waliokuwa wanaweka vibatari kule buguruni wakiuza *chi zao. Unapodiriki kuchapana na mwanamume ambaye una uhakika ameo then in comparison better changudoa maana yeye amekaa kibishara zaidi!
 
hhahaaaa afu wewe siku hzii unanichekesha sana lol!!!

haya bibie I will watch ur back

Nakuchekesha tena? mie nimekonekti doti zako uliposema unamstahi Meku........ndio hapo nikaanza ona wasiwasi.Usijali Meku.....Usijeogopa watu wa Ikwiriri.
 
Nakuchekesha tena? mie nimekonekti doti zako uliposema unamstahi Meku........ndio hapo nikaanza ona wasiwasi.Usijali Meku.....Usijeogopa watu wa Ikwiriri.

nimekusoma sweetushka.....huyu Meku huyu........

wewe usitie shaka mimi na wewe tena, blood blood!!!
 
Baba Enock samahani hiyo signature yako ndivyo ilivyotamkwa na mh. Rahisi? Kuwa yaani hata kura zenu waume zetu na za kwetu wake zenu tusipoipa sisiem itashinda tu?? Aliyasema hayo kama yalivyo au umeongezea chumvi??
 
Baba Enock samahani hiyo signature yako ndivyo ilivyotamkwa na mh. Rahisi? Kuwa yaani hata kura zenu waume zetu na za kwetu wake zenu tusipoipa sisiem itashinda tu?? Aliyasema hayo kama yalivyo au umeongezea chumvi??

Ni kweli aliongea hivyo huku akishangiliwa na wale wazee wakukodi kwa sh 20,000
 
Baba Enock samahani hiyo signature yako ndivyo ilivyotamkwa na mh. Rahisi? Kuwa yaani hata kura zenu waume zetu na za kwetu wake zenu tusipoipa sisiem itashinda tu?? Aliyasema hayo kama yalivyo au umeongezea chumvi??

Hata mie imebidi nisome hiyo signature tena, kweli presidaa tunaye..Akili zake ukichanganya na za Da Sophy sijui utapata nini?!!!!..huh!!
 
Nimekuta hii ishu imezungumziwa pia kule kwa Dina Marios ... nimeona mabandiko kama ya da sophy yafuatayo ...

Anonymous said:
Naomba kusema machache ingawa baadhi yenu mtanishangaa. Mimi mume wangu anatoka nje ya ndoa na tena anayetoka nae ni mtu aliyekuwa rafiki yake kabla yangu. mara ya kwanza kufahamu iliniuma sana. Lakini nikasema nitamuomba Mungu tu hadi hii tabia itaisha. Nilikuja kupata wazo hebu nijitafakari na mimi ni wapi nimekosea hadi nisiweze kuwa wake peke yake hadi anitafutie mwingine. niligundua machache nikarekebisha ukweli ni kwamba hata siku moja upendo kwa nyumba yangu na mume wangu haujapungua wala sijawahi kulalamika kukosa haki yangu hakuna jambo naweza lalamika kwake au kwenda kwa washenga au kanisani. ukweli sijawahi kumuuliza nilitumiwa msg najua ni na shoga yangu na nilihakikisha lakini sijamuambia mzee wala shoga yangu kuhusu hayo niliyoyaona ila niliamua kutafuta mikakati yangu ya kuhakikisha haki yangu, heshima yangu ipo pale pale.
ukweli najua bado yupo na huyo hawara yake, wanayoridhishana siyajui na wala sitaki kuyajua ila mimi na yeye, kila sekunde nahakikisha wajibu wangu uliondani ya uwezo wangu ninautimiza juu yake sitaki kuwa mtumwa na sasa ndoa yangu ina miaka 14.

kwa upande wangu nadhani hawa wanaume tukiacha tabia ya kuwauliza uliza kuhusu mahusiano ya nje hata kama tumeyaona watatulia na mmoja na suala la ugonjwa wa ukimwi na mengine mtakuwa mnakumbushana mara kwa mara, Mungu yupo pamoja nasi tuzidi kuomba kwani mengi yapo juu ya uwezo wetu ila kwa yeye yote yawezekana. Kuweni huru mtunze watoto wenu achane malumbano. .
 

mwingine huyu ...

Anonymous said:
Wanaume huonja nje na hula chakula kamili ndani.Uaminifu ni pale unapofanya kitu unachokipenda na hivyo hata ukionja nje ni uaminifu kwa sababu hujaacha kula cha ndani.

Wanaume wanashambuliwa sana kama vile ndo wakosaji.Je hao wanaofanya nao mapenzi si wakosaji?Na hao wanawake ambao wanaliwa maofisini wakiwa ni wake za watu mnawaweka wapi?Kila uchoro wa mambo ya mapenzi wanalaumiwa wanaume wakati mambo ya wanawake tunayaona kwa macho yetu hiviyanakoroga mahusiano

Mimi nina mke, lakini pia nina kasichana kanipa matmu ninapokuwa huko out.Ni sawa na kula hotelini haina maana hakuna chakula nyumbani bali ni kujibinafasi tu lakini cha home kinabaki kuwa chakula halisi.Wanaume onjeni nje kwa akili siyo kufakamia hata unasahau chema chako cha ndani.mambo yote kwa ustaarabu bila papara ...
 
Back
Top Bottom