Hakuna barabara ni mavumbi tupu.
50% ya Uchumi unategemea migodi .
Huduma za jamii hakuna za kulingana na idadi ya watu.
Mwisho nani alikudanganya kwamba vigezo ni lazima watu laki 2 plus? Ulidanganywa na nani?
Eti Njombe haina sifa hizo,toka Uzi umeanza tuliwaambia onyesheni hoteli hata 5 kali hakuna,sasa hapo nani ana sifa?
Kama ni uwekezaji ndio usiseme,Jana tuu hapo umetoka kusikia Waziri wa uwekezaji anasema muwekezaji yuko mkoani anataka ekari 500 ajenge kiwanda na aanze kulima parachichi,pia kuna viwanda vya chai,mbao,nguzo,nk na uliona Rais katembelea kiwanda cha Tanwat bado unaongea ujinga tuu hapa..
Tumeleta video kibao hapa za kuonyesha maendeleo ya Mji nyie mnatafutiza vipicha vya gesti ndio mnaleta.
Mlipendelewa tuu na Mwendazake wenu,Fikeni hapa kwanza