Yaan huo mtaa mmoja ndo ugeneralize bukoba ndogo![]()
Manispaa ya bukoba ina area ya 89 kilometres za mraba...moja ya manispaa kubwa nchi halafu unasemaje...
Tena vijanja bado viko kibao...na juzi kati wametangaza viwanja kibao....manispaa ya bukoba ina viwanja zaidi ya 10000 na vyote vimepimwa vinasubiri watu...
View attachment 2368636
Ingawa siyo hoja sana kwa sababu watu wanaweza kwenda hadi Bukoba DC (kama wanatumia jina hilo), hata hivyo Bukoba basi ni moja ya Manispaa ndogo sana wastan wa Km8.8 kwa 10


